1800
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 2,215
- 603
Siamini sana katika taaluma ya forensic kwa jeshi letu la polisi,nafikiri iko theoritical zaidi,kwa wenzangu wenye kumbukumbu za kutosha labda wanisaidie kuniweka wazi ni cases ngapi ambazo zilihusishwa na forensic science kupitia jeshi la police na zikaja na majibu yaliyojitosheleza?
Hata hivyo mbaya zaidi kwa case hii ya Mwakyembe ni kama vile watu wameshakosa imani na jeshi la polisi kwa mwanendo mzima toka Dr H.Mwakyembe hajadhurika na mpaka baada ya kudhurika,hasa ufuatiliaji mzima wa suala ilo toka awali mpaka sasa kauli za kujikanganya zinavyotolewa baina ya viongozi