Wewe baki bwana tulijadili hili. Sasa na uzee wako ukikutana na watoto utawaambia unakimbia niniComrade....
Minaogopa kichapo cha nilio waingiza choo cha watoto...
Niliweka akiba ila iliisha mapema si unajua wadau tupo wengiMkuu...
Kama wewe hautunza akiba, utajibeba...
haiya, haiya!!Ili utajirike lazima ufaham mambo makubwa mawili....
Mambo yenyewe hata siyafaham ndo maana sijatajirika...... Tuendelee kuangaika tu ndugu zangu hakuna namna.....
Ili utajirike lazima ufaham mambo makubwa mawili....
Mambo yenyewe hata siyafaham ndo maana sijatajirika...... Tuendelee kuangaika tu ndugu zangu hakuna namna.....