Siri ya Ushindi wa RPF Rwanda 1994

Ralph Tyler

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
2,828
3,580
Badala ya kupambana na waasi, majeshi ya serikali yalitumia muda mwingi na rasilmali kunyanyasa na kuua raia wasio na silaha, nyumba kwa nyumba. Ndivyo RPF walivyoweza ku-gain ground almost unopposed hadi Kigali wakachukua nchi. Chungu tamu.
 
Unajua ukifanya dhambi hata kama hukimbizwi utajikuta unakimbia tu mwenyewe, hata kama huulizwi unajikuta unaweweseka tu. Kila siku mnaleta threads za kurudia historia ya RPA as if watu hawajui what really happened.
 
Kilichowasaidia RPA kushinda vita ni kua FAR hawakua na vifaa vya kutosha, discipline ndogo, viongozi wazalendo na wengi wao walijali maslahi binafsi.
 
Badala ya kupambana na waasi, majeshi ya serikali yalitumia muda mwingi na rasilmali kunyanyasa na kuua raia wasio na silaha, nyumba kwa nyumba. Ndivyo RPF walivyoweza ku-gain ground almost unopposed hadi Kigali wakachukua nchi. Chungu tamu.
Katafute Nini RPF walichokifanya kabla ya genocide, kipindi, na Baada ya genocide
 
Back
Top Bottom