Siri ya Mwenge wa Uhuru

Mimi naongelea concept ya mwenge sio kama jamaa anavyo wandanganya watu mchana kweupe kuwa ni ibaada ya mashetani. Inamaana Watanzania ni mashetani?
 


Sina uhakika kama mnajua mliongealo, unapo jumuisha viongozi wa dini huna abari kuwa nawao wana misingi yao katika endeshaji wa dini zao? mwenge umekuwa damaduni za kitanzania hivyo ni vigumu kuepukika, Remember that the pumpkin of homesteaded should be not uprooted.
 
mwenge huo mwenge, mbio mbio
mwenge huo mwenge, mbio mbio
mwenge tunaukimbiza, mbiombio

nkikumbuka primary tulikuwa tunakoseshwa masomo
wiki nzima kuandaa mazingira ya barabara eti mwenge upite
kwa sasa sio wa kuuendekeza tena inafaa tuuchome moto
 
Sema dini unataka ya nini au wewe mdini pia??
 
...mwenge huo mwenge huo...
..mwenge tunaukimbiza mpaka makao makuu...
 

Wenye nguvu zaidi tumeshazivunja hizo nguvu na laana zinazoambatana nazo na sasa tuko huru ndiyo maana unaona down fall ya uongozi wa CCM. So relax subiri kuijenga nchi yako!
 

Mkuu, ni Mungu aliye kufunulia hili! Mwenge ni laana kubwa! na ni ibada kwa mzimu wa nyamurunda, tutake tusitake ni hivyo! mwenge unawekwa na wasionaufahamu wanauzunguka huku wanaselebuka daah! unauzunguka moto huku unacheza? hee! Taifa lisipoomba toba tutaangamia hakika!
 
kwanza asili za mwanzo za mwenge ni ugiriki nadhani kila mtu anaona hali ya ugiriki hii leo,kukazia pointi hata mwenge waolimpiki una asili ya ugiriki ukibeba jina la mmoja wa miungu saba wa ugiriki aliyeitwa olimpoko,ambapoilikuwa ni moja ya ibada ya kumtukuza olimpoko.kwa kuangalia historia ya mwenge kuendelea kuuendekeza ni kujiendelezea nuksi tu humu nchini.

Lakini kwa sababu tunaongozwana viongozi ambao asili yake ni ushirikina wacha waendelee kuuabudu.na ushirikina wao unaonesha jinsi nchi yetu inavyozidi kuzama na kudidimia.na kudhihirisha ushirikina na ushetani wao hawajali chochote kinachotokea na zaidi wameanza tabia ya kumuua kila anayewapinga kwa haki.
 
Niliishi katika wakati ambapo wazee kijijini walikuwa hawamudu kununua shati na wanatembea na mashati yaliyobakia msitari wa vifungo tu kama uti wa mgogo wa samaki.....lakini wakati huo huo huchangia kwa ari mafuta ya mwenge!
 
Hebu waulize watu wa Tarime kuhusiana na kikimbiza vijinga vya moto toka kaya nyingine hadi nyingine. Hufanyika hivyo kwa imani za kishirikina. Watu wengine wasioelewa wanabeza ukubali usikubali Mwenge ni uchawi wa rais wa kwanza na chama chake. Kama mwenge unamurika mafisadi si wangekuwa wameisha humu? Kweli mwenge unafaa upigwe marufuku
 
Mwenge ulimulika wanyonyaji kipindi kile cha mwl, sasa hivi unawamulika wanyonge. Ndiyo maana hauna effect kwa wanyonyaji ila una wa affect wanyonge, u got it?
 

Mimi nianzie hapo mkuu..kweli kama haujaweza fikia malengo na maadui wanazidi kuwa majasiri wanasogea karibu bila gofu,pengine bado mwenge si nuru bali giza kama si kutotosha kabaisa.
 
Niliishi katika wakati ambapo wazee kijijini walikuwa hawamudu kununua shati na wanatembea na mashati yaliyobakia msitari wa vifungo tu kama uti wa mgogo wa samaki.....lakini wakati huo huo huchangia kwa ari mafuta ya mwenge!

duh umenikumbusha mbali saa, kipindi hiki viraka katika makalio ilikuwa kitu cha kawaida, kwa nje namwota tozi kavaa jeans yenye viraka.Ila zamani ilikuwa si fasheni wala hiari .

mwenge ni ushirikina kama ilivyo ujamaa/ucommunist...ujamaa pamoja na kwamba Nyerere alijitahidi utakasa ila bado hakuweza utoa uti wa mgongo wake.Ndio watanzania wengi wanalalamikia serikali kila kitu kwa vile wanaamini ndio tegemeo lao,ndiye mweza yote.sikiliza kilo cha kila raia toka kila idara.
 
Naanza kuamini kuwa ndio maana inatumika nguvu kubwa ya KUIUA TANGANYIKA na historia yake?????????
 
unapojibu jiulize yanayosemwa unayajua usijibu kwa kutumia akili ya ugali,think out of the box kwanza au ungekuwa mbele ya wazee unaambiwa ww haujakua bado.temea chini kijana
 
Hapo kwenye red?
 
mwenge huo mwenge, mbio mbiomwenge huo mwenge, mbio mbio mwenge tunaukimbiza, mbiombionkikumbuka primary tulikuwa tunakoseshwa masomo wiki nzima kuandaa mazingira ya barabara eti mwenge upitekwa sasa sio wa kuuendekeza tena inafaa tuuchome moto
hivi pale makumbusho ya taifa hakuna nafasi ya kuuegesha pale na ubakie kuwa ni kumbu kumbu tuu????autakaye kuuoma aingie pale.
 

hilo neno kiongozi! MUNGU ATUSAIDIE KUYATAMBUA HAYA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…