Siri ya Mwenge wa Uhuru

Naishi Ilemela
Ahsante mamii kwa kurudi,nilihofu nimekupoteza,basi usijali nitakuja kukutembelea siku nikirudi Mwanza,kwetu mtaa wa uhuru,utanikaangia sato na ugali wa muhogo.
 
Ahsante mamii kwa kurudi,nilihofu nimekupoteza,basi usijali nitakuja kukutembelea siku nikirudi Mwanza,kwetu mtaa wa uhuru,utanikaangia sato na ugali wa muhogo.

Uhuru kwa nani, nipite hata jioni ya leo
 
Wewe ndio shetani unaponda mwenge wa Uhuru wa Tanzania alafu una shangilia mwenge wa Olympic na kukimbilia kupokea kifimbo cha malikia wa uingereza . Shame up on you.
 

Rombo ililaaniewa! Hasa eneo la Kiraeni mimi nimezaliwa Rombo na nimekulia kule hadi miaka 15. Wenye Google Map search. Rombo Kiraeni utaona kipande cha kama kilometa 3 Za mraba ambacho ni Jangwa! Hapo ndipo slhughuli ilifanyikia mwanzo!
 
Ndio Maana Uhuru Anaheshimiwa kwa kuwa pamoja na Kutukanwa Hajawahi Kumkamata Mtu yeyote Huko ndiko Kujiamini, huko ndiko kuwa Na Balls!
Magufuli anapozwa na Mastooge kama hawa, " Kuku zilipe kodi"
 

Yaani hii kitu siku watanzania wakiacha kwenda watafunuka kiakili.Ukitaka kuthibitisha angalia wale wanaoenda kusubiria na akili zao zilivyo.

Kwa sasa hata wale wanaosimamisha magari barabarani kwa muda mrefu huwa siwaelewi,kiasi kwamba nikiwa hata kwenye gari sitoki nje hata maana na wasiwasi na hii migari ya hawa watawala wameweka mavitu yao tuwaabudu tu kama mazuzu
 

Siku huu Mwenge ukipigwa chini ndipo Vujana wa CCM watakapopata AKILI
 
MUONEKANO WA PD TAKO NA SIGNARUTE YAKO INAONESHA KABISA WE UNA UHUSIAO NA KINACHOSEMWA KUHUSU MWENGE
 
Siku mwenge ukizuiwa hta ccm kwenye uchaguz lazma ishindwe. Kwanza mwenge unavielement vya campain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…