VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Muongo mwenge hukimbizwa wilaya zote za Tz kila mwaka na co Rombo peke yake. Jipange ndugu.
VUTA-NKUVUTE said:".....Mwenge huo unapofika
Rombo-Kilimanjaro hufanyiwa tambiko mbalimbali ili kulinda viongozi wa nchi."
Twakukaribisha mwenge mgeni wetu uringe.
Na wenyeji tukuchunge huku tukushangilia.
Kwetu ukitoka mwenge uendelee mahenge
Ila mwakani upange kuja kututembelea
Hauna jipya zaidi ya kuabudu mashetani. Kuna taarifa rasmi kuwa Mwenge huo unapofika Rombo-Kilimanjaro hufanyiwa tambiko mablimbali ili kulinda viongozi wa nchi.
Taarifa zinaonesha kuwa kuna Wazee maalum wameandaliwa kule Rombo kwa ajili ya matambiko haya kila mwaka.Mmoja wa wazee hao aitwaye Mzee Malamsha amenithibitishia hicho.
Kwenye matambiko hayo,kafara hutolewa.Na kadhalika na kadhalika.Ndio maana,kila mwaka Mwenge wa Uhuru lazima ukimbizwe Mkoa wa Kilimanjaro na kufika Wilaya ya Rombo.
Mwenge huu ni wa kuupiga vita. Unaleta laana zaidi ya baraka. Unatubakisha kama nchi kwenye kuabudu mizimu badala ya kusonga mbele kimaendeleo.
Laana za Mwenge huu ndizo zinazotufanya tusieendelee. Ni muda sasa wa kuachana na imani hizi za kishirikina kwa kuachana na Mwenge huu.
Muongo mwenge hukimbizwa wilaya zote za Tz kila mwaka na co Rombo peke yake. Jipange ndugu.
Kwanini uwe mjinga? Kwanini usitumie akili? Kwanini ufikirie kuwa kunamashetani?
Mwenge wa Uhuru haunaconnection na imani ya aina yote.
Halafu baadae utasema kumpigia saluti raisi ni kumuabudu.
Dhana ya mwenge wa uhuru ni kuwamulika wanyonyaji wote na kuleta mshikamano.
Hivi umezaliwa mwaka gani vile?
Ondoa imani potofu ndani ya akili zako.
Kwani wazee kuchinja mbuzi au kondoo ndio kuabudi mashetani?
Hiyo ni ishara ya furaha na Mlima kilimanjaro ndio mrefu kuliko yote Africa.
Wewe dotto wewe ni muumini wa dini gani? naomba unijibu kabla wakuendelea ninayotaka kusema.Tumefanywa mazezeta na huu unaoitwa mwenge. ndio maana jamaa wanakuja na kubeba kila kitu hapa nchini. Hapo zamani ilikuwa lazima shughuli zote zifungwe ili kila mmoja akauangalie huo mwenge unapopita. Mwenge huu ukizimika kwa bahati mbaya huwashwa kifichoni kwa nini????
Twakukaribisha mwenge mgeni wetu uringe.
Na wenyeji tukuchunge huku tukushangilia.
Kwetu ukitoka mwenge uendelee mahenge
Ila mwakani upange kuja kututembelea
Kama moja yakazi za MWENGE nipamoja na kuwamulika WANYONYAJI,basi kuna umuhimu wa kuongeza utambi mwingine ili mwanga uongezeke! lakin kwa huu uliopo umeshindwa kabisa kuwamulika wanyonyaji.Tanganyika imejaa viongozi wanyonyaji inakuwaje MWENGE hauwamuliki badala yake unawamulika watu wasio kuwa na hatia kama Mwangosi?Kwanini uwe mjinga? Kwanini usitumie akili? Kwanini ufikirie kuwa kunamashetani? Mwenge wa Uhuru haunaconnection na imani ya aina yote. Halafu baadae utasema kumpigia saluti raisi ni kumuabudu. Dhana ya mwenge wa uhuru ni kuwamulika wanyonyaji wote na kuleta mshikamano. Hivi umezaliwa mwaka gani vile? Ondoa imani potofu ndani ya akili zako. Kwani wazee kuchinja mbuzi au kondoo ndio kuabudi mashetani? Hiyo ni ishara ya furaha na Mlima kilimanjaro ndio mrefu kuliko yote Africa.