nelson salema
Member
- Mar 18, 2016
- 74
- 19
Siri ya mwanafunzi kufanya vizuri shuleni:
1.Mzazi mfunze adabu njema.
2.Mzazi fuatilia kila mwenendo wamwanao.
3.Mzazi tambua ufaulu wa mwanafunzi ni mambo 3. Mwanafunzi anayejitambua,Mzazi na Mwalimu.
4. Mzazi kubali kugharamika kwa ajili ya mwanao.Kama utaona ni gharama utasubiri sana.
5. Amini fahari ya mwalimu ni mwanafunzi kufanya vizuri.
KOSA UKIWASIKILIZA WALE KUWA WATABANA FULANI ATI MWANAO AFAULU SI KWELI. MAFANIKIO YA MWANAO YAKO KWAKO KWANZA.
MZAZI NI MWALIMU WA KWANZA.