SIRI YA MWANAFUNZI KUFAULU KTK MASOMO

SIRI YA MWANAFUNZI KUFAULU KTK MASOMO

Walimu wa miaka hii hovyo kabisa! Mfano mtoto yuko boarding mzazi atahusika vp? Walimu timizeni wajibu wenu. Ama kweli siku hz hakuna walimu, bali kuna magenge ya wahuni wanaotafuta liziki kupitia ualimu. Ebo! Unamhusisha mzazi kwenye ufaulu wa mtoto!

Pole sana Sexless japo jina ni maarufu kwelx2.
Ukishaita walimu genge la wahuni ni mwanzo wa mwanao kufeli.
Mwalimu wa siku hizi ni wa miaka gani? Mwalimu naye Wazazi wa siku hizi ni wahuni tu. Acha hizo Sexless. Tabia ya mwanao ni taswira yako ulivyo. Like son/daughter like you if you are a father
 
Kwa hiyo mtoto wa Boarding Huwa harudi likizo? Au Mtoto wa Boarding anaanza shule akiwa na miaka 0 mpaka we ukose muda wa kumfunza tabia njema.Watoto wanaofanya vizuri familia zao pia Huwa zinachangia Kwa kiasi fulani[/QUOT
Hapo ndo ujue kuba wazazi hewa
 
Mtoa post atakuwa mwl Sekela.

Am not Sekela. Naitwa Mwl. Nelson Salema
nimefundisha miaka 30 sasa na nimeshuhudia mafanikio makubwa ya wanafunzi wangu. japo kenge hawakosekani kabisa.
Nashangaa ati nami naitwa muhuni. Its not only insult to me bt curse as well
 
Back
Top Bottom