Kile kitendawili kilichokosa jawabu cha kwa nini madogo wa mwaka huu wamefeli sana kidato cha nne sasa kimefichuka.
Baada ya Serikali na Bunge kuidhinisha kuwa watu wote hawatajiunga na vyuo vya ufundi ama vyuo vikuu bila kupitia jeshi, madogo wakaona bora lawama kuliko fedheha na kuamua kufeli tangia form four ili waepukane na kadhia ya jeshi sehemu inayoaminika kuwa na mateso zaidi kama umekwenda kwa kulazimishwa.
Wakaamua kujisemea 'hata na kama ni kesi na iwe' ila haendi mtu jeshini hapa wataenda hao hao wakulya