Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 372,756
- 863,660
Mshana kidhungu ni Smithan kibantu ni mhunzi au mfua chumaKuna siri gani katika majina ya asili ya kiafrika? wakati huo huo pia tujiulize maana & usiri katika majina ya kizungu.
Mshana Jr hebu tuanze na jina lako, tupe maana ya jina lako.