Kaka habariBetting ni uwekezaji, wekeza muda na pesa za kutosha ...sio kuingia na kuanza kubonyeza bonyeza tu unaotea...style yako ya kuweka 500 upate malaki au mamilioni ni nzuri ila itakukuchua muda so uwe mvumilivu...Mimi nimejifunza nimeamua kubase kwenye tennis only..odds 2 Hadi 4 kukosa ni Mara chache Sana ( kama Nina mikeka 10 kwa wiki ujue naweza kosa mikea 2 tu)..lakini uchambuzi wangu unaweza chukua hata masaa 2....Tafuta mchezo mmoja komaa nao kama ni basketball au soccer etc
Betelitehub fika hapo 🤝Nimeona watu wanahangaika sana na kupoteza pesa nyingi bila kupata mshindo kwenye betting.
Iga mifano kwa wanao jua. nini siri ya mafanikio yao?
Ukishaipata siri hyo, nidokeze na mimi, kwa sababu hali ni mbaya!!View attachment 2507675