MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
Wewe kwa akili yako unadhani sheria ni msahafu wa maneno ya Mungu kwamba binadamu hawezi kutabadilisha?Mtu anagombea urais anajinadi kwa kufuta posho za wafanyakazi. Hivi Magufuli hajui posho za safari semina mafunzo n.k ziko kisheria? Hili sio jambo la kujivunia hata kidogo. Au autuambie hizo posho za mawaziri ni tatizo kwenye serikali hii ya kwao tutamwelewa. Halafu raisi anajinadi kwa sera . Hivi kweli kupunguza au kuondoa kabisa posho za wafanyakazi ni sera au kipaumbele cha Rais ajeye 2015? Magufuli anatakiwa ajue tofauti ya utendaji wa serikali na miongozo yake na sera ya nchi. Huwezi kujinadi kwa vitu vidogo namna hii halafu ukaniambia wewe una uwezo wa kuwa Rais.
Sasa kama utafuta posho za mawaziri ina maana sisi wafanyakzi wa kawaida utatufanyaje? Yaani hata tukisaifri kikazi tujitegemee posho ?
Musukuma atawasukuma tu!! Jana Mzee Makamba kachana na anasema bado ataendelea kuleta michano!!Ndo hapo ukawa itakuwa ukiwa.. I wonder why wanajiamini na kutudanganya kuhusu mabadiko kwa kutumia uozo ulio bwaga na ccm
Waziri mkuu ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa, Sumaye atawezaje kua mbunge wa kuchaguliwa? Hapo ndo uongo unapodhihirika.[/QUOTE
Kama kweli huyo msukuma kaongea hayo hafai kuwa mbunge mtu ambaye hata katiba haijui a
Hiyo ya Sumaye haijakaa sawa kwa kuwa kwa Katiba ya sasa Waziri Mkuu lazima awe mbunge wa kuchaguliwa na wala si wa kuteuliwa. Sijaona Sumaye akigombea!Sumaye waziri mkuu tena aaaaargh jamani. Tanzania yangu mbona hivyo? Mpiga madili Mbowe form 6 failure ndiyo waziri wa fedha? Poor Tanzania! Nakuombea sana kikombe hiki na kikupite!