Siri ya kumfanya mume ashinde nyumbani

pamoja na manjonjo ya uandishi lkn kuna cha kujifunza..it is a good start
 
bajeti 5000 per day halafu ww unaleta mambo ya supu usiku watu watkula nn acha kuwakalilisha watu maisha kila mmoja ana lifestyle yake

Mkuu yawezekana huyu mwandishi aliwalenga hasa vibosile sababu ndoa zao nyingi zipo halitete, kwetu uswazi bajeti za buku mbili kitu tembele dagaa maisha yanasonga na ndoa hazina nyufa kihivyoo.
 
kwangu hivyo vyote anafanya hausgel
 
heheheee hapo uchumi uzingatiwe we unadhan wote wana uwezo wa kupata vyote ivyo???saingine urefu umeishia kwenye makande... tafakari.....
 

dogo toa ushamba na UCHOYO kwaiyo hayo yoteee unafanya ili asitoke?
mwanaume unae toka jan- dec still unambana asitoke?

mwanamke fanya majukumu yako yoteeee mpikie vizuri tena kaanga na madini
ya tanzanite ukipenda ila ushamba wa kumbana asitoke ni wa kitoto
mwanaume atoke babu akaongee na wanaume wenzake usiku akuletee staili
mpya
sio kila saa unamuwazia kuchepuka utazan hana akiri?

mwanaume akitoka weekend unapata mda wa kubadilisha stail ya chumba ili
akute tofauti!

ebu jiulize kwa nn kakuoa wew na si wengine? so ata akichepuka jiamini
kuwa wew ndo mke wake!

afu nani alikwambia mwanaume wa ukweli utoka weekend??? ahaaaaaa pole
wanaume wa ukweli hutoka mida ya lunch, na mda wa jim in short siku za
kazi. ahaaaaa usivyojiamini unabinuka weekend ili asitoke kumbe hata
hana mpango wa kutoka.

lastly kama mtokaji atatoka tuuuu. na teeena uzuri wa mwanamke kujiamini na si li rohooo juuuu kisa mme asitoke ahaaaaaa
 
hivi kuna watu wanadhani kukomenti lazima ukwoti eeh??
cc Heaven on Earth
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada huu ujinga peleka Facebook
 
kwa nyumba ndogo sawa, lakini huku nyumba kubwa tunavyoishi kwa mazoe sidhani
 

dogo toa ushamba na UCHOYO kwaiyo hayo yoteee unafanya ili asitoke?
 
Ukiwa na mwanamke anaejitambua ndoa huwa tamu sana, it's half paradise...ila ukiwa na mke vise versa basi ndoa huwa km jehanamu ya moto???
 
Mkuu yawezekana huyu
mwandishi aliwalenga hasa vibosile sababu ndoa zao nyingi zipo halitete,
kwetu uswazi bajeti za buku mbili kitu tembele dagaa maisha yanasonga
na ndoa hazina nyufa kihivyoo.

du! hatareee
 

Kamanda unatisha lakini .........hareeeeee
 
Chaiii
 
Hayo ni mapenzi ya boyfriend na girlfriend,pia ndoa changa.....[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…