bajeti 5000 per day halafu ww unaleta mambo ya supu usiku watu watkula nn acha kuwakalilisha watu maisha kila mmoja ana lifestyle yake
Wadau
hii ni copy
and paste kama ilishakuja humu mniwie radhi
Alafu hamjuagi kuwakalisha waume home.
Hahahahaha. Siku uko home wewe amka anza makeke jikoni.
Mara blenda priiiii juice ama milk shake hahahaha.
Utaona anasogea jikoni..
Wakati anakunywa juice ama milk shake.
Anza kukuna nazi.
Chambua mnafu.
Hapo jikoni kuna kanyama kanachemka katia kitunguu tupia viazi 2 na
ndizi.
Hahaha ile harufu ikianza kutoka utasikia anafuata maji jikoni hahahaha
kwenye friji wala hatumi.
Hahaahha utasikia nini kiko jikoni?
Hahahaa.
Mmiminie supu.
Na ndizi mbili na kiazi kimoja kapilipili mbuzi pembeni.
Muulize kuna chapati.
Mpe hahahahaha.
Akimaliza supu nakuapia atasinzia.
Akishtuka ugali na mnafu na nyama umeiva.
Mpe ale.
Mshushie na glass ya mtindi.
Hahahaha analewa full
Hata kama kuna mama junior anaambiwa usipige.
Hahahahahaha.
Baada ya hapo acha apumzike aoge.
Kisha funga ka khanga kako kepesi jilaze pembeni woiiiiiiiii.
Mkimaliza muombe pesa ya sokoni.
NAKUAPIA HATA KAMA JANA YAKE ALIKUPA ATAKUPA TENA.
Hahahahaha nachekaga jamani.
Hahahahaha yani kwa raha ya supu nakuapia utaambiwa hata mama alipiga
simu jana hahahaha ama utasikia Mamii,njoo uone njoo unaitiwa kitu cha
kwenye tv hahaha. Hata hujaona mwanzo ila kwa raha ya kasupu utaitwa.
Hata kama huna kalio nakuambia utapigwa kibao hata cha mgongo,
hahahahahahahahahaha.
Sasa wewe unaamka chai na mkate kama chuo cha uhazili.
Wali maharage kama jeshi la jwt.
Makande kama kibosho girls.
Pyeeeeeeeeee.
Ataacha kuondoka akafanye yake?
Na hata akija home haupo uko sijui kwenye baby shower.. mara sijui
unapata wine na binamu yako katoka marekani she Is on the way to
airport.
MARA KICHAA CHA CHA NDOA KINAKUUMA
waiiii.
Wacheni kufanya ndoa ngumu. Namaanisha.
Ni mpango kamili wa Mungu mke na mume wawe marafiki.
Kuna watu siku za jumamosi na jumapili nyumba zinageuka restaurant
fulani hivi yani mpaka raha.
Nice breakfast. Nice lunch. Nice dinner na jioni ama mchana inageuka
Rest house hhahahahahaha.
Baadaeeee wanakaa kibarazani ama garden.
Kwa glass of wine ama cold tea ama juice ama cofeee.
YANI MNA MAJUMBA YA KIFAHARI LAKINI HATA HAMUYAINJOY KWA
MTAFIKIRI MMELOGWA
Hahahaha mume akizunguka zunguka home anaambiwa Leo huna pa kwenda eee
malaya wako kasafiri eee hahahaha. Uwiii mama yangu.
Ama basi mume anakaa nyumbani yani hizo hodi uwiii.
Mashoga wanakuja huna hata muda wa kuhudumia mume,alafu wale mashoga
uchwara akija anakaa seating room na mr na kuanza oooo weka chanel 7 saa
hivi kuna series inaendelea.
nyoko series my foot?
Yani wewe uko jikoni yeye kajiachia sebuleni tena na miguu kapandisha
kwenye sofa hahahaha na kuanza kushare story na mumeo woiiiìii.Na
walivyo wachokozi wanawaoigiaga wanaume zao simu karibu na mumeo.
Wanatia oo honey i mc you. I remember the last game,wanna kill you next
time honey.
Mume udenda unamtokaje.
Hahahahahah
Wai natamanigi niwaweke lokapu baadhi ya wake za watu kwa UJINGA WA HEDI
WALUONAO.
Hahahahahahahahahahahaahahahahahahahahahaha. Ninapataje kicheko.
Hahahahahahaha. Kha hivi mnanielewa ama?
Hivi mnanielewa?
Wadau hii ni copy

Mkuu yawezekana huyu
mwandishi aliwalenga hasa vibosile sababu ndoa zao nyingi zipo halitete,
kwetu uswazi bajeti za buku mbili kitu tembele dagaa maisha yanasonga
na ndoa hazina nyufa kihivyoo.
kwangu hivyo vyote anafanya hausgel
dogo toa ushamba na UCHOYO kwaiyo hayo yoteee unafanya ili asitoke?
mwanaume unae toka jan- dec still unambana asitoke?
mwanamke fanya majukumu yako yoteeee mpikie vizuri tena kaanga na madini
ya tanzanite ukipenda ila ushamba wa kumbana asitoke ni wa kitoto
mwanaume atoke babu akaongee na wanaume wenzake usiku akuletee staili
mpaya.
sio kila saa unamuwazia kuchepuka utazan hana akiri?
mwanaume akitoka weekend unapata mda wa kubadilisha stail ya chumba ili
akute tofauti!
ebu jiulize kwa nn kakuoa wew na si wengine? so ata akichepuka jiamini
kuwa wew ndo mke wake!
afu nani alikwambia mwanaume wa ukweli utoka weekend??? ahaaaaaa pole
wanaume wa ukweli hutoka mida ya lunch, na mda wa jim in short siku za
kazi. ahaaaaa usivyojiamini unabinuka weekend ili asitoke kumbe hata
hana mpango wa kutoka.
lastly kama mtokaji atatoka tuuuu. na teeena uzuri wa mwanamke kujiamini na si li rohooo juuuu kisa mme asitoke ahaaaaaa
hivi kuna watu wanadhani kukomenti lazima ukwoti eeh??
cc Heaven on Earth
Mkuu nimekukwoti.......du......hatareeeeee
ChaiiiWadau hii ni copy and paste kama ilishakuja humu mniwie radhi
Alafu hamjuagi kuwakalisha waume home.
Hahahahaha. Siku uko home wewe amka anza makeke jikoni.
Mara blenda priiiii juice ama milk shake hahahaha.
Utaona anasogea jikoni..
Wakati anakunywa juice ama milk shake.
Anza kukuna nazi.
Chambua mnafu.
Hapo jikoni kuna kanyama kanachemka katia kitunguu tupia viazi 2 na ndizi.
Hahaha ile harufu ikianza kutoka utasikia anafuata maji jikoni hahahaha kwenye friji wala hatumi.
Hahaahha utasikia nini kiko jikoni?
Hahahaa.
Mmiminie supu.
Na ndizi mbili na kiazi kimoja kapilipili mbuzi pembeni.
Muulize kuna chapati.
Mpe hahahahaha.
Akimaliza supu nakuapia atasinzia.
Akishtuka ugali na mnafu na nyama umeiva.
Mpe ale.
Mshushie na glass ya mtindi.
Hahahaha analewa full
Hata kama kuna mama junior anaambiwa usipige.
Hahahahahaha.
Baada ya hapo acha apumzike aoge.
Kisha funga ka khanga kako kepesi jilaze pembeni woiiiiiiiii.
Mkimaliza muombe pesa ya sokoni.
NAKUAPIA HATA KAMA JANA YAKE ALIKUPA ATAKUPA TENA.
Hahahahaha nachekaga jamani.
Hahahahaha yani kwa raha ya supu nakuapia utaambiwa hata mama alipiga simu jana hahahaha ama utasikia Mamii,njoo uone njoo unaitiwa kitu cha kwenye tv hahaha. Hata hujaona mwanzo ila kwa raha ya kasupu utaitwa.
Hata kama huna kalio nakuambia utapigwa kibao hata cha mgongo, hahahahahahahahahaha.
Sasa wewe unaamka chai na mkate kama chuo cha uhazili.
Wali maharage kama jeshi la jwt.
Makande kama kibosho girls.
Pyeeeeeeeeee.
Ataacha kuondoka akafanye yake?
Na hata akija home haupo uko sijui kwenye baby shower.. mara sijui unapata wine na binamu yako katoka marekani she Is on the way to airport.
MARA KICHAA CHA CHA NDOA KINAKUUMA
waiiii.
Wacheni kufanya ndoa ngumu. Namaanisha.
Ni mpango kamili wa Mungu mke na mume wawe marafiki.
Kuna watu siku za jumamosi na jumapili nyumba zinageuka restaurant fulani hivi yani mpaka raha.
Nice breakfast. Nice lunch. Nice dinner na jioni ama mchana inageuka Rest house hhahahahahaha.
Baadaeeee wanakaa kibarazani ama garden.
Kwa glass of wine ama cold tea ama juice ama cofeee.
YANI MNA MAJUMBA YA KIFAHARI LAKINI HATA HAMUYAINJOY KWA
MTAFIKIRI MMELOGWA
Hahahaha mume akizunguka zunguka home anaambiwa Leo huna pa kwenda eee malaya wako kasafiri eee hahahaha. Uwiii mama yangu.
Ama basi mume anakaa nyumbani yani hizo hodi uwiii.
Mashoga wanakuja huna hata muda wa kuhudumia mume,alafu wale mashoga uchwara akija anakaa seating room na mr na kuanza oooo weka chanel 7 saa hivi kuna series inaendelea.
nyoko series my foot?
Yani wewe uko jikoni yeye kajiachia sebuleni tena na miguu kapandisha kwenye sofa hahahaha na kuanza kushare story na mumeo woiiiìii.Na walivyo wachokozi wanawaoigiaga wanaume zao simu karibu na mumeo.
Wanatia oo honey i mc you. I remember the last game,wanna kill you next time honey.
Mume udenda unamtokaje.
Hahahahahah
Wai natamanigi niwaweke lokapu baadhi ya wake za watu kwa UJINGA WA HEDI WALUONAO.
Hahahahahahahahahahahaahahahahahahahahahaha. Ninapataje kicheko. Hahahahahahaha. Kha hivi mnanielewa ama?
Hivi mnanielewa?