Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
watakwambia kila mtoto huja na riziki yake!
But ukweli ni kwamba kila mtoto huja na gharama/bills zake!
I wish angepatikana mtu akaja na estimates za maisha ya kati za kuraise mtoto tangu mimba mpaka say when s/he is 20 in $ ili tupate picha!
kwanza issue ya kuzaliana kwa sana ni ushamba, kuwatesa watoto wasio na hatia kwa kuwanyima haki zao za msingi na kuyafanya maisha yako yasiwe na Amani.
Oa moja uzae wachache, maisha mazuri.
Salama mkuu!! Ni kweli ulivyoelezea stress zinzchangia kwa kiasi kikubwa sana kupunguza siku za kuishi,tena kwa hapa kwetu sasa stress zimeongezeka kwa kiasi kikubwa sana, (1) KULA KWA BAHATI NASIBU (2)MIFUMUKO YA BEI (3) HUDUMA DUNI ZA KIJAMII (4)NA KUKOSEKANA KABISA HUDUMA MUHIMU,serikali inachangia kwa kiasi kikubwa kufupisha maisha yetu,hasa sisi wa hali ya chini ndio inatumaliza kabisa,tunaishi kwa neema za MUNGU tu.
<br />Mwenyezi Mungu ametupa uwezo wa kufikiri na ametupa akili za kutawala shida zote na changamoto zote..............sasa kama hatuwi na utamaduni wa kupangilia maisha kila siku tutazidi kumlilia Muumba naye hatatusikiliza kwa sababu ya kuwa tayari alikwisha tuwezesha kwenye haya maeneo...................ukiwa na familia ndogo utakuta hata kero za kidunia na changamoto zake waweza kuzimudu kwa unafuu zaidi.............
Yes ni kweli kabisa mkuu cha ajabu tumeshindwa kabisa kupangilia mfumo mzuri wa maisha,hatukutakiwa kuishi hivi tunavyoishi kwa jinsi nchi yetu ilivyo,tumebarikiwa kila kitu na MUUMBA wetu cha ajabu ndio tunaishi maisha ya ajabu kabisa.
mkuu ulicho andika ni kweli ila ubishi wa watanzania hasa wale wa vijijini hawawezi kukubaliana maana wanamini kuwa na watoto wengi ni fahari kwa hiyo hilo ndio linatuletea matatizo makubwa sana jaribu kuangalia watu uliomaliza nao darasa kama wanakaa vijijini na wewe ulieko mjini unaishi maisha agalau ya wastani mko tofauti sana una weza ukasema ni kaka/ dada yako mliyepishana umri zaidi ya miaka 15 kwa kifupi ni wazee wameshachoka kabisa na hii ni stress ya maisha na kuwa nafamilia zilizo wazidi uwezo
mkuu ila mbona wazee walizaa watoto wengi na tatizo la watoto wa mitaani halikuwepo kihivi. hatudhani kwamba na sisi wazazi tuko busy kuliko kawaida?ukiangalia kukua kwa tatizo la watoto wa mitaani kunatoka na elimu finyu ya madhara ya kuzaana bila mpangilio.................................wazazi na viongozi wetu wengi wamekuwa wakihimiza ya kuwa tusaidie watoto wa mtaani lakini bila ya kutatua kiini cha tatizo ni familia zisizo na mpango.............sehemu kubwa ya familia kubwa utakuta umri wa kuishi nao ya wanafamilia hao huwa mdogo kutokana na kushindwa kuzimudu changamato zitokanazo na kuhudumia familia kubwa........................................................ikiwemo lishe, huduma za afya usafi n.k................gharama zake ni msongo ngoma........siyo utani kabisa................
unaposema kuzaa sana ni ushamba kwa upande wa pili mimi nakuona wewe ni mume ***** unaogopa majukumu. hivyo basi badala ya kugeneralize concept zungumza kwa upande wako ili nikuone wa maana. hali yangu na yako si sawa dogo!!kwanza issue ya kuzaliana kwa sana ni ushamba, kuwatesa watoto wasio na hatia kwa kuwanyima haki zao za msingi na kuyafanya maisha yako yasiwe na Amani.
Oa moja uzae wachache, maisha mazuri.