Siri ya Kuchapiwa hii hapa

nakubaliana na mtoa mada % 75 ni kweli kabisa na tutazimie maumivu huku tuendako.....
Na kama ulipendwa kwa ajili fedha ukweli mpaka sasa huyu sio mke wako peke yako

Watu wanahangaika kutafuta pesa, wanahangaika kula vumbi la kongo. Wangehangaika kumcha Mungu wallah usingesikia hivi vilio
 
Swala la kutoka nje ya ndoa ni swala la kimaadili ,sabab kubwa ni kutozishika amri za mungu kiukamilifu,swala la kuoa bikra sio lazima ,wangapi wameoa bikra lakini kuchepuka kupo kwa pande zote,wanawake wanalaumiwa kutoka nje ila hata wanaume ni chanzo cha haya yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Bikra sio ishu ya kimaadili Mkuu?
 
Hilo LA kwanza ndilo lenye ukweli zaidi na umuhimu ktk maisha yetu ya Leo.Ukiwa mwana wa Mungu kwelikweli basi Mungu wakweli atakuwa kielelezo ktk maisha yako yooote na sio mke pekee Bali yooote.Turudini ktk maadili na sheria za Mungu wakweli.Nasisitiza Mungu wa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nakubaliana na ww kwa asilimia mia moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…