Kungwi Mtoto
JF-Expert Member
- Jun 27, 2018
- 796
- 780
Na ukaoa bikra akawa kicheche balaa..Naomba nikuulize mtoa mada. Imeandikwa wapi kuwa usiposhika amri za Mungu utachapiwa?
Na imeandikwa wapi kuwa malipo ya dhambi za mwanadamu ni hapahapa duniani?
Kwa uelewa wangu ni kwamba amri pekee yenye zawadi ni ile ya nne. Nayo inasema waheshimu baba na mama upate heri na miaka mingi duniani.
Sasa tukirudi kwa binadamu utagundua kuwa sisi ni viumbe pekee tuliopewa bahati ya kujirekebisha tunapokosea. Na kwa neema hiyo tuliyopewa basi binti anaweza akakosea katika mahusiano na kujikuta anaolewa akiwa sio bikra lakini akajiheshimu na kuitunza ndoa yake bila kuchipuka. Na mwanaume pia anaweza kuwa na makosa yatakayopelekea mkewe kuchepuka lakini akajirudi na mwisho wa siku mke anatuliaa.. Sasa kwa muktadha huo naomba niipinge hoja yako. Japo ni muhimu kushika amri za Mungu lakini si kwa kutishiana kuchapiwa. Unaweza ukashika amri zote na bado ukachapiwa.
Kweli story inagusa...wanawake wanalia kwa mengi [emoji2] [emoji2]Yaani mapenzi yanakuwa hot inatokea hadi kufa mnaweza msipishane hata mwaka.
Mwanamke uliyemtoa bikra ukimjali hata kama huna hela za magorofa na magari si rahisi kuchepuka. Lakini upande wa pili ni kucheza na shilingi chooni.
Embu sikia hii stori ya kweli kumhusu Dada yangu ambayo bila shaka anasadifu wanawake wengi duniani.
Ilikuwa ni harusi ya Dada yangu, Miaka mitano iliyopita. Dada alikuwa amerembwa akarembeka. Kila mmoja home alifurahi nikiwamo mimi. Yalikuwa ni mafanikio ya familia yetu kuona dada yetu akiingia katika ulimwengu wa ndoa. Siku ya Harusi iliwadia. nderemo na shamra shamra zilitawala. Wenye madera walikuwepo, suti haya, magauni ya gharama nao hawakuwa nyuma basi ilimradi harusi ifaane. Matarumbeta na ngoma ziliwafanya waalikwa kuiona siku ile hakuna nyingine ingefuata kumbe ni hisia tuu za furaha.
Tulikuwa ukumbini, maputo na vitu kama unyoya unyoya vilikuwa vikiranda randa mule ukumbini mwa kanisa. Dada yangu alikuwa kapendeza sana. Alivalishwa gauni jeupe kubwa ungedhani asingeweza kuliburuza. Muda mwingi alikuwa kajificha kwa aibu ndani ya shela. Wengi walitaka afunuliwe ili wamuone vizuri lakini wakumfunua alikuwa ni mmoja naam ndiye huyo shemeji yangu aliyekuwa anamuoa.
Muda wa kula viapo uliwadia, sikuamini nilichokiona. Nilimuona Dada akilia kwa hisia kali sana hali iliyompa tabu mshenga wake kumfuta kila mara machozi yake. Moyoni nilijiuliza badala dada afurahi anaolewa yeye analia, ni furaha gani kupitiliza hiyo.
Hatimaye ndoa ilifungwa na historia ikaandikwa.
Baada miezi kadhaa kupita nilienda kumtembelea Dada yangu. Nilipofika tulipiga soga za hapa na pale. Nyingi zilikuwa ni kukumbuka baadhi ya matukio ya harusi yake. Alinionyesha baadhi ya picha na mwisho aliweka CD ya harusi yake. Ndipo nikakumbuka kumuuliza kwa nini alilia siku ile kwa hisia kiasi kile. Hii ni Baada ya kuona kipande kikimuonyesha akilia kwa kwikwi.
Sio Mimi tuu hata wewe usingeamini jibu alilonipa. lilikuwa jibu lililopasua mishipa ya moyo wangu na kufanya mwili kufa ganzi. Aliniambia kuwa alilia kwa sababu hakuamini kama kweli Allen hatamuoa. Binafsi sikumjua huyo Allen zaidi ya Shemeji aliyefunga naye ndoa siku ile. Aliongeza kusema; kilichoniliza si furaha ya kuolewa bali hakuamini ni kweli Alleni mwanaume aliyempenda kwa dhati kuwa hatamuoa tena.
Binafsi nilishikwa na kigugumizi.
mkuu stori hii inahusu wadada wengi wanaoolewa. Wewe wakati unadhani mwanamke unayemuoa analia kwa furaha siku ukiwa kanisani. Kumbe mwenzako analia kutokuamini kuwa hivi ni kweli hatakuwa tena na Ex wake.
Haya ni maandiko enzi za hukumu kwa torati. Sahv tunakombolewa kwa Neema. Ina maana dhambi imekuwa kubwa kias kwamba tukitumia torati haponi mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais anatuwazia viwanda
Wananchi tuko busy na mapenzi.
Ila ulichosema ni ukweli mtupu.
Ni points 2 za uhakika.
Hiyo ya kwanza hasa ikizingatiwa ina faida nyingi mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa thread kaanza kwa kunipa moyo ila wewe umenivunja kabisa moyoYaani mapenzi yanakuwa hot inatokea hadi kufa mnaweza msipishane hata mwaka.
Mwanamke uliyemtoa bikra ukimjali hata kama huna hela za magorofa na magari si rahisi kuchepuka. Lakini upande wa pili ni kucheza na shilingi chooni.
Embu sikia hii stori ya kweli kumhusu Dada yangu ambayo bila shaka anasadifu wanawake wengi duniani.
Ilikuwa ni harusi ya Dada yangu, Miaka mitano iliyopita. Dada alikuwa amerembwa akarembeka. Kila mmoja home alifurahi nikiwamo mimi. Yalikuwa ni mafanikio ya familia yetu kuona dada yetu akiingia katika ulimwengu wa ndoa. Siku ya Harusi iliwadia. nderemo na shamra shamra zilitawala. Wenye madera walikuwepo, suti haya, magauni ya gharama nao hawakuwa nyuma basi ilimradi harusi ifaane. Matarumbeta na ngoma ziliwafanya waalikwa kuiona siku ile hakuna nyingine ingefuata kumbe ni hisia tuu za furaha.
Tulikuwa ukumbini, maputo na vitu kama unyoya unyoya vilikuwa vikiranda randa mule ukumbini mwa kanisa. Dada yangu alikuwa kapendeza sana. Alivalishwa gauni jeupe kubwa ungedhani asingeweza kuliburuza. Muda mwingi alikuwa kajificha kwa aibu ndani ya shela. Wengi walitaka afunuliwe ili wamuone vizuri lakini wakumfunua alikuwa ni mmoja naam ndiye huyo shemeji yangu aliyekuwa anamuoa.
Muda wa kula viapo uliwadia, sikuamini nilichokiona. Nilimuona Dada akilia kwa hisia kali sana hali iliyompa tabu mshenga wake kumfuta kila mara machozi yake. Moyoni nilijiuliza badala dada afurahi anaolewa yeye analia, ni furaha gani kupitiliza hiyo.
Hatimaye ndoa ilifungwa na historia ikaandikwa.
Baada miezi kadhaa kupita nilienda kumtembelea Dada yangu. Nilipofika tulipiga soga za hapa na pale. Nyingi zilikuwa ni kukumbuka baadhi ya matukio ya harusi yake. Alinionyesha baadhi ya picha na mwisho aliweka CD ya harusi yake. Ndipo nikakumbuka kumuuliza kwa nini alilia siku ile kwa hisia kiasi kile. Hii ni Baada ya kuona kipande kikimuonyesha akilia kwa kwikwi.
Sio Mimi tuu hata wewe usingeamini jibu alilonipa. lilikuwa jibu lililopasua mishipa ya moyo wangu na kufanya mwili kufa ganzi. Aliniambia kuwa alilia kwa sababu hakuamini kama kweli Allen hatamuoa. Binafsi sikumjua huyo Allen zaidi ya Shemeji aliyefunga naye ndoa siku ile. Aliongeza kusema; kilichoniliza si furaha ya kuolewa bali hakuamini ni kweli Alleni mwanaume aliyempenda kwa dhati kuwa hatamuoa tena.
Binafsi nilishikwa na kigugumizi.
mkuu stori hii inahusu wadada wengi wanaoolewa. Wewe wakati unadhani mwanamke unayemuoa analia kwa furaha siku ukiwa kanisani. Kumbe mwenzako analia kutokuamini kuwa hivi ni kweli hatakuwa tena na Ex wake.
Naomba nikuulize mtoa mada. Imeandikwa wapi kuwa usiposhika amri za Mungu utachapiwa?
Na imeandikwa wapi kuwa malipo ya dhambi za mwanadamu ni hapahapa duniani?
Kwa uelewa wangu ni kwamba amri pekee yenye zawadi ni ile ya nne. Nayo inasema waheshimu baba na mama upate heri na miaka mingi duniani.
Sasa tukirudi kwa binadamu utagundua kuwa sisi ni viumbe pekee tuliopewa bahati ya kujirekebisha tunapokosea. Na kwa neema hiyo tuliyopewa basi binti anaweza akakosea katika mahusiano na kujikuta anaolewa akiwa sio bikra lakini akajiheshimu na kuitunza ndoa yake bila kuchipuka. Na mwanaume pia anaweza kuwa na makosa yatakayopelekea mkewe kuchepuka lakini akajirudi na mwisho wa siku mke anatuliaa.. Sasa kwa muktadha huo naomba niipinge hoja yako. Japo ni muhimu kushika amri za Mungu lakini si kwa kutishiana kuchapiwa. Unaweza ukashika amri zote na bado ukachapiwa.
Huyo dadaako ni kajizi ka mapenzi. Kaambie katubu na kuacha dhambi mara moja kabla sijakasirikaYaani mapenzi yanakuwa hot inatokea hadi kufa mnaweza msipishane hata mwaka.
Mwanamke uliyemtoa bikra ukimjali hata kama huna hela za magorofa na magari si rahisi kuchepuka. Lakini upande wa pili ni kucheza na shilingi chooni.
Embu sikia hii stori ya kweli kumhusu Dada yangu ambayo bila shaka anasadifu wanawake wengi duniani.
Ilikuwa ni harusi ya Dada yangu, Miaka mitano iliyopita. Dada alikuwa amerembwa akarembeka. Kila mmoja home alifurahi nikiwamo mimi. Yalikuwa ni mafanikio ya familia yetu kuona dada yetu akiingia katika ulimwengu wa ndoa. Siku ya Harusi iliwadia. nderemo na shamra shamra zilitawala. Wenye madera walikuwepo, suti haya, magauni ya gharama nao hawakuwa nyuma basi ilimradi harusi ifaane. Matarumbeta na ngoma ziliwafanya waalikwa kuiona siku ile hakuna nyingine ingefuata kumbe ni hisia tuu za furaha.
Tulikuwa ukumbini, maputo na vitu kama unyoya unyoya vilikuwa vikiranda randa mule ukumbini mwa kanisa. Dada yangu alikuwa kapendeza sana. Alivalishwa gauni jeupe kubwa ungedhani asingeweza kuliburuza. Muda mwingi alikuwa kajificha kwa aibu ndani ya shela. Wengi walitaka afunuliwe ili wamuone vizuri lakini wakumfunua alikuwa ni mmoja naam ndiye huyo shemeji yangu aliyekuwa anamuoa.
Muda wa kula viapo uliwadia, sikuamini nilichokiona. Nilimuona Dada akilia kwa hisia kali sana hali iliyompa tabu mshenga wake kumfuta kila mara machozi yake. Moyoni nilijiuliza badala dada afurahi anaolewa yeye analia, ni furaha gani kupitiliza hiyo.
Hatimaye ndoa ilifungwa na historia ikaandikwa.
Baada miezi kadhaa kupita nilienda kumtembelea Dada yangu. Nilipofika tulipiga soga za hapa na pale. Nyingi zilikuwa ni kukumbuka baadhi ya matukio ya harusi yake. Alinionyesha baadhi ya picha na mwisho aliweka CD ya harusi yake. Ndipo nikakumbuka kumuuliza kwa nini alilia siku ile kwa hisia kiasi kile. Hii ni Baada ya kuona kipande kikimuonyesha akilia kwa kwikwi.
Sio Mimi tuu hata wewe usingeamini jibu alilonipa. lilikuwa jibu lililopasua mishipa ya moyo wangu na kufanya mwili kufa ganzi. Aliniambia kuwa alilia kwa sababu hakuamini kama kweli Allen hatamuoa. Binafsi sikumjua huyo Allen zaidi ya Shemeji aliyefunga naye ndoa siku ile. Aliongeza kusema; kilichoniliza si furaha ya kuolewa bali hakuamini ni kweli Alleni mwanaume aliyempenda kwa dhati kuwa hatamuoa tena.
Binafsi nilishikwa na kigugumizi.
mkuu stori hii inahusu wadada wengi wanaoolewa. Wewe wakati unadhani mwanamke unayemuoa analia kwa furaha siku ukiwa kanisani. Kumbe mwenzako analia kutokuamini kuwa hivi ni kweli hatakuwa tena na Ex wake.
Yani dawa ni moja tu usipende kumfatilia sana mwanamke mana utakufa kwa presha na ugomvi, we jipe imani upo mwenyewe tu utafrahi maishani ili mradi uyaoni hadharani tu. Mana yeye ndo anajua anachotaka unaweza mpa hata ndege bt akafanya yake inabd uish nae kwa imani tu kua upo wwe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli story inagusa...wanawake wanalia kwa mengi [emoji2] [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetoa bk nyingi lakin wote hollaa...ila nimekuja kumpata mrs Right wangu hana hata bk
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah. Inauma kweli,,,, yamenitokea juz tu,,,,,,,mpaka sasa cjui nimfanye nn huyu mwanamke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata uko kijijini ni shughuli kwani hata walimu huko shule za msingi na sekondari sio salama tenaBikra labda uende kibaigwa kijijini ndani ndani huko ndo utapata bikra..
Ila ni kweli kuwa na mahusiano na demu ambaye umemtoa bikra wewe mwenyewe ina make sense,demu anakuwa anakufeel kinoma kama utamjali
Sent using Jamii Forums mobile app