Siri ya Kikao cha Diallo na Deus Mallya chavuja movie ya Kifo cha Chacha Wangwe

Hivi asubuhi bado. Moderators please uzi kama huu ulipazwa uwe kwenye dustbin na pia mleta mada awe amekula ban ya kutosha. Maana tunajadili hewa! Na uzi mwingine kule jukwaaa la katiba wa CC kiahirisha bunge

Mkuu unataka kuutupa kwasababu kuna ukweli umetajwa na unakuumiza?
 
Usibishani na "funza" dawa ni kuitoa na kuichoma moto!!

Funza wapo kichawani mwako na wamepenya hadi kwenye Ubongo jaribu kuwatoa uone ! Ukweli unauma sana Mangi wewe najua ni muumini wa Deus mallya Kama si ndugu yako Pia ,lakini ubishe,ukatae,Ukweli unaujua sana.
 
Umbea uliobeba ukweli

Nini Maana ya Umbea ? Kama jibu au Maana ni Mtu kukuletea Habari ambazo haujamtuma akuletee ! au ni Mtu kuvumisha Habari za Uongo? => hivi ikitokea Mtu akakupa Taarifa Kuwa mke/mme yupo Guest na kweli ukaenda Ukamkuta na Kuwa Fumanizi unakuwa Umbea au Ukweli ? Nijuavyo mie umbea ni Uongo mtupu lakini siku hizi kila kitu kinachoitwa Habari kinageuzwa Kuwa Umbea mtupu ! Je? Mtangazaji wa Tv,Radio na waandishi wa magazeti ni Wambea ? Maana wanatuletea Habari ambazo hatujawatuma wakatuletee. Ukweli unauma sana ,vumilia lakini utambue Kuwa Mzimu wa chacha wangwe sasa upo umesimama kidete wale wote walioshiriki kwenye Uovu huo lazima Wataumbuka .
 
Chezea Mzimu wewe..... ! Mwaka huu wale wote walioshiriki Uovu huo wataumbuka .

Hii movie ya kisanii ya ccm na wapumbavu wenzao act na zana za kilimo lazima movie iwatokee puani.... mtaumbuka na visebengo vyenu
 
Funza wapo kichawani mwako na wamepenya hadi kwenye Ubongo jaribu kuwatoa uone ! Ukweli unauma sana Mangi wewe najua ni muumini wa Deus mallya Kama si ndugu yako Pia ,lakini ubishe,ukatae,Ukweli unaujua sana.
Funza nao wana akili eti eh!! Jiggers are fo real!!
 
Ndugu mawazobinafsi sijakupata kabisa.

Join Date : 15th August 2014
Posts : 16
Rep Power : 304
Likes Received 0
Likes Given 0
 
Chadema haikujengwa kwa siku moja na haitauawa kwa siku moja kama ccm wanavyodhani. Pia ccm wafahamu Kuwait asilimia kubwa ya wanachama na wafuasi Wa cdm wanajitambua name ni wasomi ambao huwezi kubadili mapenzi na mtazamo wao kwa siasa nyepesi za maji taka.
 
Ni upumbavu na ushenzi tu!!! Leo hii 2015 inapokaribia ndiyo inagundulika rushwa ilitumika kwenye PM. Haya mkamateni huyo mpumbavu mwenzenu atoe ushahidi wenu mnaoutaka!! Kifo cha nyani miti yote huteleza hata hilo tawi mnalong'ang'ania si tu litateleza bali limeshavunjika!!

Hapo wewe hata upige mayowe vp huwezi kuwabadili mawazo wengi juu ya kifo cha chacha wangwe,nalazimika kuamini kuwa wewe ndiye mhusika wa Uovu dhidi ya kuondoa uhai wa chacha wangwe,hakika mungu atakuonyesha
 
Mnyika na Deus mallya ni marafiki wakubwa kwani baada ya kifo cha chacha kufanikishwa na Deus ,ni huyo huyo Mnyika aliyehakikisha Deus hapati shiiida ili asije akaanika Uovu ulivyofanyika.

Duuuh...ngoja nile ubwabwa wangu hapa gengeni nikalale...siasa za nchi hii ni shedaaah...
 
Really what happened kifo cha Chacha Wangwe? Ilikuwa ajali tu ama kulikuwepo na njama... Na kwa nini watu mnaogopa sinema hiyo kwani nani alomuua Chacha Wangwe maana sielewi hofu hizi zinatokana na kipi haswa. Ya kwamba Chadema itashirikishwa kuwa chanzo? Kama sivyo ushahidi wa kitaalamu unavyoonyesha mbona hapa watakuwa wamejifunga wenyewe huyo Diallo na wenzake kutengeneza sinema ya Uongo na hivyo kujiweka katika nafasi mbaya sana mahakamani -They will pay billions...
 
Not until CCM is ousted. Wangwe anaweza kuwa aliuawa, hofu ni kwamba hizi sinema hazitamgusa muuaji halisi na zimelenga kumsafisha.
 
Hapa kuna mtu anaundiwa tuhuma, km sio Diallo, manake imekuwa kawaida kwa watu kutumia story ya mtu kumpaka mwingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom