Siri ya Heche na DGIS yatikisa CHADEMA

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
768
Reaction score
688
Hakuna aliyekuwa anajua hata kufikiri kwamba Heche anaweza akawa anazungumza na DGIS. Umeibuka mtafaruku mkubwa sana ndani ya CHADEMA, hadi mwenyekiti jana ameshindwa kula huko gerezani baada ya kusikia Heche kumbe ana mazungumzo ya siri na DGIS. Kweli CCM sio chama cha kuchezea.
 
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
huenda hiyo ikathibitisha sasa kwamba kweli heche ni fisadi wa pesa za chadema ๐Ÿ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ