Siri ya CCM kukwepa ndege kupiga kampeni yafichuka

Siri ya CCM kukwepa ndege kupiga kampeni yafichuka

Mti mkavu MPINGO hauyumbishwi, ukiwa hai au umekufa.

You seem to be so desperate rafiki!..

Siasa zisikufanye kuwa mjinga ndugu yangu. Fikiri vizuri na mshukuru Mungu kwa kuwa wewe unapumua na kusema chochote, lolote, wakati wowote na kwa yeyote!!

But you never know, kwa sababu huijui kesho yako itakuwaje!!

Ni ushauri tu
 
Utoto huo Mbona lowasa anatumia helikopta NA bodo mnasomba watu

Wewe umejibu vyema...mkutano wa Dodoma nikiwa shuhuda kuna watu walitoka Arusha na Manyara...mtu anapost habari bila kuwa na mizani kisa mahaba na ushabiki..
 
CCM wanatumia magari kusafiria kwenye kampeni zao ndani ya majimbo na kuwakejeli wanaotumia ndege (helkopta).
Jana nimekipata kisa cha CCM kuamua kuukwepa usafiri huu rahisi unaowezesha mgombea kuweza kufanya mikutano mingi ndani ya jimbo kwa siku.

Sababu yenyewe ni aina inayotumika katika kuwaleta wanachama wa CCM kwenye mikutano ya CCM. "CCM inategemea watu wa kutoka sehemu nyingine kwenda kwenye mikutano yetu ya kampeni, ndege inakwenda haraka sana hivyo matumizi ya ndege yatakwamisha taratibu za kuwasafirisha wanachama kutoka sehemu nyingine za jimbo kwenda kwenye mikutano"

Kauli hii imetolewa na mtu anayeaminika ndani ya CCM. Kama wakitumia ndege mikutano yao itakosa watu. Wanafahamu kuwa ndege ndiyo usafiri unaoweza kumfanya mgombea asafiri haraka pamoja na kumuwezesha kufanya kwa usahihi tathimini ya hali ya umaskini wa wananchi kwakuwa anaona nyumba zao na miundombinu yao kwa urahisi akiwa angani kuliko kutumia barabara. Watu wanatabia ya kujenga vizuri kufuata barabara.

Ufanye na utafiti na kuleta mada yenye mizania linganifu, mbona hata UKAWA wanasomba watu kutoka maeneo mengine kujaza mikutano?
Jangwani kwenye uzinduzi ulitafiti vizuri mkutano wa kuzindua kampeni UKAWA ?
Dodoma watu walivotoka mikoa ya Arusha na Manyara hukuliona hili?
Jaribu kubalance hizo habari kiliko ushabiki wa kuwafanya wanajukwaa kuwa na akili za kuambiwa
 
sote tu marehemu watarajiwa.Usijigambe wala usijidai Mungu tu ndo anajua mwisho wetu.Aijalishi wanasombwa na malori,sijui Lowasa mgonjwa tusubirie tuone What will come out from ballot boxes 25 October 2015.hapa tutaongea,tutakashifiana,bado atutopata jibu lets wait and see
 
Utafiti mzuri na wenye kuzaa matunda haupaswi kuwa biased!
Pima kila upande na mwishoni ulete tofauti mezani!
 
CCM wanatumia magari kusafiria kwenye kampeni zao ndani ya majimbo na kuwakejeli wanaotumia ndege (helkopta).
Jana nimekipata kisa cha CCM kuamua kuukwepa usafiri huu rahisi unaowezesha mgombea kuweza kufanya mikutano mingi ndani ya jimbo kwa siku.

Sababu yenyewe ni aina inayotumika katika kuwaleta wanachama wa CCM kwenye mikutano ya CCM. "CCM inategemea watu wa kutoka sehemu nyingine kwenda kwenye mikutano yetu ya kampeni, ndege inakwenda haraka sana hivyo matumizi ya ndege yatakwamisha taratibu za kuwasafirisha wanachama kutoka sehemu nyingine za jimbo kwenda kwenye mikutano"

Kauli hii imetolewa na mtu anayeaminika ndani ya CCM. Kama wakitumia ndege mikutano yao itakosa watu. Wanafahamu kuwa ndege ndiyo usafiri unaoweza kumfanya mgombea asafiri haraka pamoja na kumuwezesha kufanya kwa usahihi tathimini ya hali ya umaskini wa wananchi kwakuwa anaona nyumba zao na miundombinu yao kwa urahisi akiwa angani kuliko kutumia barabara. Watu wanatabia ya kujenga vizuri kufuata barabara.

mtanyooka tu,ngoja aingie mzee wa kazi magufuli
 
sasa wakitumia ndege, watakuwa na ndege ngapi? tot, diamond, ya moto, yusuph, fid q na malodlofa wengine, watakuwa na ndege ngapi? ukawa inakutana na watu real kwa kutumia dege lkn ccm inakutana na watu fake kwa kutumia magari
 
kaka ungeomba ushauri tukujuze kwanini wanakwepa ndege?
issue ni kwamba magufuli anashida ya moyo na amewekewa kichuma alipofanyiwa upasuaji,so alishauriwa ajaribu kukwepa usafiri wa anga na ndo kinachofanyika
Kumbe na yy ni mgonjwa? mie nilifikiri ukiwa CCM HUUMWI
 
Hahaaa! MTI MKAVU MPINGO usiopindika, John MAGUFULI, anatumia barabara na anafanya mikutano mingi kuliko JENEZA LINALOTEMBEA, EDWARD LOWASSA.

Tukubali tu ukweli kuwa Lowassa afya ni mbovu sana na sio ajabu akashindwa kufika hata Oktoba 25.
Tumekusoma "KUBWA JINGA"
Mbona mnajiaibisha?
Fikiri mwanao asubuhi anakuamkia
shikamoo kubwa jinga?
Kweli njaa mbaya,mnajiita majina mengi ili muongeze post?
itawatokea puani.
 
Alishawai kuanguka na helicopter
ImageUploadedByJamiiForums1442908325.571412.jpg
 
Tumekusoma "KUBWA JINGA"
Mbona mnajiaibisha?
Fikiri mwanao asubuhi anakuamkia
shikamoo kubwa jinga?
Kweli njaa mbaya,mnajiita majina mengi ili muongeze post?
itawatokea puani.


FYI. Hilo jina la Kubwajinga nililianzisha maalum likimuwakilisha Lowassa nilipokuwa ninampiga vita. Ndio maana picha yake naitumia kwenye profile yangu.

Wengine sisi tumebarikiwa kuwa ni waona mbali na hatubadiliki-badiliki. Angalia postings zangu za tokea miaka ya 1950s-1980s na kuendelea (LOL).... wakati Jamiiforum ilipokuwa changa na Lowassa alikuwa hana mvi.

Tusifuate tu mkumbo kwa vile Mbowe kanena. Ni bora ukawa na mke mwenye sura mbaya kuliko kuoa changu-doa mwenye ukimwi ingawa ni mzuri kama malaika (Remmy Ongala). Fungua macho dogo.
 
Hahahahahaaaaaaa! Lowasa alitoa milioni 23 kuandaa watu Chato na watu wakala fedha zake na watu hawakujitokeza. Unasemaje hapo?

Pimbi kweli wewe,,,unamaaanA haukuona ule umati?unafikri kuna malori pale?
 
Sehemu nyingine ni ipi, huko hawakai watanzania, hiki ni kipindi adimu cha kukutana na Rais uso kwa uso!acha watu wapande hta matoroli wakamuone President Magufuli

Kavulata .....mawzo yako yanathamani zaidi ya ccm na chadema au ukawa acha kuyumbishwa kisaikolojia wewe ...chukua hatua badili fikra zako
 
Kavulata .....mawzo yako yanathamani zaidi ya ccm na chadema au ukawa acha kuyumbishwa kisaikolojia wewe ...chukua hatua badili fikra zako
Nitaitafakari kwa makini kauli yako hii na kuifanyia kazi. ahsante, lakini wenye akili kubwa si vema tukanyamaza kimya na kuwaachia wanafunzi na machinga peke yao ku-determine future ya taifa letu. We may fail to do the hardware of the politics but the software. Kwaajili ya ustawi wa taifa letu mimi ninaamini kwenye taifa lenye vyama vinavyopokezana Ikulu. Tukifikia hapo kashfa serikalini zinapungua kama sio kwisha kabisa.
 
Back
Top Bottom