MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 887
Hahaaaa!
CCM wanatumia magari kusafiria kwenye kampeni zao ndani ya majimbo na kuwakejeli wanaotumia ndege (helkopta).
Jana nimekipata kisa cha CCM kuamua kuukwepa usafiri huu rahisi unaowezesha mgombea kuweza kufanya mikutano mingi ndani ya jimbo kwa siku.
Sababu yenyewe ni aina inayotumika katika kuwaleta wanachama wa CCM kwenye mikutano ya CCM. "CCM inategemea watu wa kutoka sehemu nyingine kwenda kwenye mikutano yetu ya kampeni, ndege inakwenda haraka sana hivyo matumizi ya ndege yatakwamisha taratibu za kuwasafirisha wanachama kutoka sehemu nyingine za jimbo kwenda kwenye mikutano"
Kauli hii imetolewa na mtu anayeaminika ndani ya CCM. Kama wakitumia ndege mikutano yao itakosa watu. Wanafahamu kuwa ndege ndiyo usafiri unaoweza kumfanya mgombea asafiri haraka pamoja na kumuwezesha kufanya kwa usahihi tathimini ya hali ya umaskini wa wananchi kwakuwa anaona nyumba zao na miundombinu yao kwa urahisi akiwa angani kuliko kutumia barabara. Watu wanatabia ya kujenga vizuri kufuata barabara.
Hahaaa! MTI MKAVU MPINGO usiopindika, John MAGUFULI, anatumia barabara na anafanya mikutano mingi kuliko JENEZA LINALOTEMBEA, EDWARD LOWASSA.
Tukubali tu ukweli kuwa Lowassa afya ni mbovu sana na sio ajabu akashindwa kufika hata Oktoba 25.
kaka ungeomba ushauri tukujuze kwanini wanakwepa ndege?
issue ni kwamba magufuli anashida ya moyo na amewekewa kichuma alipofanyiwa upasuaji,so alishauriwa ajaribu kukwepa usafiri wa anga na ndo kinachofanyika
Haiwezi kuwa na kwa sababu ya matatizo ya moyo yanayomsumbua mteule wa kitengo?:A S 39:
CCM wanatumia magari kusafiria kwenye kampeni zao ndani ya majimbo na kuwakejeli wanaotumia ndege (helkopta).
Jana nimekipata kisa cha CCM kuamua kuukwepa usafiri huu rahisi unaowezesha mgombea kuweza kufanya mikutano mingi ndani ya jimbo kwa siku.
Sababu yenyewe ni aina inayotumika katika kuwaleta wanachama wa CCM kwenye mikutano ya CCM. "CCM inategemea watu wa kutoka sehemu nyingine kwenda kwenye mikutano yetu ya kampeni, ndege inakwenda haraka sana hivyo matumizi ya ndege yatakwamisha taratibu za kuwasafirisha wanachama kutoka sehemu nyingine za jimbo kwenda kwenye mikutano"
Kauli hii imetolewa na mtu anayeaminika ndani ya CCM. Kama wakitumia ndege mikutano yao itakosa watu. Wanafahamu kuwa ndege ndiyo usafiri unaoweza kumfanya mgombea asafiri haraka pamoja na kumuwezesha kufanya kwa usahihi tathimini ya hali ya umaskini wa wananchi kwakuwa anaona nyumba zao na miundombinu yao kwa urahisi akiwa angani kuliko kutumia barabara. Watu wanatabia ya kujenga vizuri kufuata barabara.
Ndugu,laana ya maneno haya itakuandama daima,huwa sikosei ,utayakumbuka maneno haya...!Hahaaa! MTI MKAVU MPINGO usiopindika, John MAGUFULI, anatumia barabara na anafanya mikutano mingi kuliko JENEZA LINALOTEMBEA, EDWARD LOWASSA.
Tukubali tu ukweli kuwa Lowassa afya ni mbovu sana na sio ajabu akashindwa kufika hata Oktoba 25.
Angalia shauri yako...marehemu komba ril alijiangalia afya yake akamkfuru mungu yeye katangulia mzee kabaki
Mimi sigombei uraisi lakini Lowassa anagombea.
JENEZA LINALOTEMBEA = EDWARD LOWASSA anatakiwa kuacha kuficha afya yake na kulitaarifu taifa kinachomfanya asiweze hata kukampeni.
Unajijua ww ni mzima hapo ulipo....afya ni TUNU kutoka kwa mungu... Inaweza ikatokea ww ndo ucfike Oct 25.......Kua na akiba ya maneno.
Kila nikisoma post zanko ni za matusi tu,acheni kupiga kampeni maana anatembea na jeneza mnamwogopa wa nini?Kikwete alianguka zaidi ya mara mbili 2010 leo ni nusu ya siku za kampeni lakini hakuna aliyeanguka hivyo uheshimu kila mmoja kwa afya yake.Siasa siyo ugomvi bali ushindani wa hoja maana watakaoamua mwisho wa siku ni wananchi wenyewe.Komba alimtukana mzee wetu Warioba kilichomkuta unakifahamu,mtu akiwa mgonjwa haina maana kuwa atakufa wa kwanza huenda wewe mzima tu ukapanda baiskeli ukapata ajali na ukafa wakati mahututi wanaendelea kuugulia mahospitalini.
1.Nyerere alikufa wakati alikuwa na afya njema wakati anapelekwa nje kimatibabu
2.Mkapa alilazwa huko nje akapona baadae
3.Kikwete alilazwa nje kwa tatizo la Tezi
Hawa wote ni viongozi wetu na tatizo la ugonjwa siyo sifa ya kutokuwa kiongozi.
utakufa wewe kabla yake!..aminiHatujigambi na afya zetu, tunajaribu tu kuonyesha afya za wagombea kama. LOWASSA = JENEZA LINALOTEMBEA.
Uliza madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo pamoja na CNN.
utakufa wewe kabla yake!..amini