Lakini MUNGU ATABAKI PALEPALE, Au unawazo gani juu ya uwepo wa MUNGU na Umilele Wake...Ukweli ni kuwa zote hizo ni hadithi zakutungwa tu na wengi hapa mtanipinga ila fresh. Ukweli ndio huo.
natamani kukuelewa kiundani lakin nafikiri ukitulia utarudi kutupa maarifa zaidi maana hapa ulipoishia ndo umenipngezea kujidharau na kitendawili changu cha kujiuliza mimi ni nani na anayenitawala ananufaika na nini kwa kunificha ukweli ambao yeye aliutoa wapi na kwa manufaa gani asiuweke waziHizi hadithi za adam na hawa/eve sio za kweli kuanzia mwanzo mpaka mwisho,chanzo na madhumuni ya kumfanya Adam kuwa kiumbe wa kwanza ilikuwa ni kuanzisha historia mpya ambayo watu wa magharibi watajieleza chanzo chao kupitia vitabu vyetu vya dini,watu ambao hawana historia duniani, historia ya watu weupe imeanzia na Adam,kuanzia adam mpaka sasa ni kama miaka 6000,egypt kuna pyramids zimejengwa zaidi ya miaka 15000 ilopita historia yote hio imefutwa na kupandikiziwa historia mpya na chanzo chake ni Adam na sote tunaanzia hapo.
kuhusu matunda yaliyoliwa mpaka sote tukalaaniwa na kutunga duniani na tukawa na makosa na vitu vyengine vya ajabu ajabu,
Hii ipo hivi , ni kama kitendawili au kwa kiingereza ni metaphoric, maana halisi ya matunda tuliyokatzwa kula ni elimu au knowledgeable, na hapa haimaani elimu ya skuli au elimu hizi za kutunga vitabuni. Ni knowledge ya uhalisi wa kila kitu, kuanzia sisi binadamu ni nani kiuhalisia mpaka dunia ni kitu gani na iko wapi kiuhalisia, elimu ya aina hii hairuhusiwi kujulikana na mwanadamu yeyote na elimu tunazosomeshwa haziendani na hali halisi ni mambo ya kutunga ili kutuzuia tusile hilo tunda lilokatazwa kwenye dini na tuishi maisha yote hapa duniani bila ya kujitambua sisi ni nani kuhalisia au tuko wapi,
tunaishi kama mazombi hatujitambui tunapelekeshwa kirahisi na tunatawaliwa kirahisi tu, dunia nzima watu billion 7 wanatawaliwa na watu wasiozidi laki moja, hii yote ni kwa sababu tunaamini hizi hadithi zisizo za uhalisi. Ukweli haujawahi kusemwa duniani,
the truth is the forbidden fruit
nimeandika mbio mbio I hope it’ll make sense
Ndugu,Hizi hadithi za adam na hawa/eve sio za kweli kuanzia mwanzo mpaka mwisho,chanzo na madhumuni ya kumfanya Adam kuwa kiumbe wa kwanza ilikuwa ni kuanzisha historia mpya ambayo watu wa magharibi watajieleza chanzo chao kupitia vitabu vyetu vya dini,watu ambao hawana historia duniani, historia ya watu weupe imeanzia na Adam,kuanzia adam mpaka sasa ni kama miaka 6000,egypt kuna pyramids zimejengwa zaidi ya miaka 15000 ilopita historia yote hio imefutwa na kupandikiziwa historia mpya na chanzo chake ni Adam na sote tunaanzia hapo.
kuhusu matunda yaliyoliwa mpaka sote tukalaaniwa na kutupwa duniani na tukawa na makosa na vitu vyengine vya ajabu ajabu,
Hii ipo hivi , ni kama kitendawili au kwa kiingereza ni metaphoric, maana halisi ya matunda tuliyokatzwa kula ni elimu au knowledgeable, na hapa haimaani elimu ya skuli au elimu hizi za kutunga vitabuni. Ni knowledge ya uhalisi wa kila kitu, kuanzia sisi binadamu ni nani kiuhalisia mpaka dunia ni kitu gani na iko wapi kiuhalisia, elimu ya aina hii hairuhusiwi kujulikana na mwanadamu yeyote na elimu tunazosomeshwa haziendani na hali halisi ni mambo ya kutunga ili kutuzuia tusile hilo tunda lilokatazwa kwenye dini na tuishi maisha yote hapa duniani bila ya kujitambua sisi ni nani kuhalisia au tuko wapi,
tunaishi kama mazombi hatujitambui tunapelekeshwa kirahisi na tunatawaliwa kirahisi tu, dunia nzima watu billion 7 wanatawaliwa na watu wasiozidi laki moja, hii yote ni kwa sababu tunaamini hizi hadithi zisizo za uhalisi. Ukweli haujawahi kusemwa duniani,
the truth is the forbidden fruit
nimeandika mbio mbio I hope it’ll make sense
bado hujaandika kuna kitu unaficha kuwa wazi tu mkuuHizi hadithi za adam na hawa/eve sio za kweli kuanzia mwanzo mpaka mwisho,chanzo na madhumuni ya kumfanya Adam kuwa kiumbe wa kwanza ilikuwa ni kuanzisha historia mpya ambayo watu wa magharibi watajieleza chanzo chao kupitia vitabu vyetu vya dini,watu ambao hawana historia duniani, historia ya watu weupe imeanzia na Adam,kuanzia adam mpaka sasa ni kama miaka 6000,egypt kuna pyramids zimejengwa zaidi ya miaka 15000 ilopita historia yote hio imefutwa na kupandikiziwa historia mpya na chanzo chake ni Adam na sote tunaanzia hapo.
kuhusu matunda yaliyoliwa mpaka sote tukalaaniwa na kutupwa duniani na tukawa na makosa na vitu vyengine vya ajabu ajabu,
Hii ipo hivi , ni kama kitendawili au kwa kiingereza ni metaphoric, maana halisi ya matunda tuliyokatzwa kula ni elimu au knowledgeable, na hapa haimaani elimu ya skuli au elimu hizi za kutunga vitabuni. Ni knowledge ya uhalisi wa kila kitu, kuanzia sisi binadamu ni nani kiuhalisia mpaka dunia ni kitu gani na iko wapi kiuhalisia, elimu ya aina hii hairuhusiwi kujulikana na mwanadamu yeyote na elimu tunazosomeshwa haziendani na hali halisi ni mambo ya kutunga ili kutuzuia tusile hilo tunda lilokatazwa kwenye dini na tuishi maisha yote hapa duniani bila ya kujitambua sisi ni nani kuhalisia au tuko wapi,
tunaishi kama mazombi hatujitambui tunapelekeshwa kirahisi na tunatawaliwa kirahisi tu, dunia nzima watu billion 7 wanatawaliwa na watu wasiozidi laki moja, hii yote ni kwa sababu tunaamini hizi hadithi zisizo za uhalisi. Ukweli haujawahi kusemwa duniani,
the truth is the forbidden fruit
nimeandika mbio mbio I hope it’ll make sense
Nimefurahishwa sana na maswali yakonatamani kukuelewa kiundani lakin nafikiri ukitulia utarudi kutupa maarifa zaidi maana hapa ulipoishia ndo umenipngezea kujidharau na kitendawili changu cha kujiuliza mimi ni nani na anayenitawala ananufaika na nini kwa kunificha ukweli ambao yeye aliutoa wapi na kwa manufaa gani asiuweke wazi
An Opium of the Massnatamani kukuelewa kiundani lakin nafikiri ukitulia utarudi kutupa maarifa zaidi maana hapa ulipoishia ndo umenipngezea kujidharau na kitendawili changu cha kujiuliza mimi ni nani na anayenitawala ananufaika na nini kwa kunificha ukweli ambao yeye aliutoa wapi na kwa manufaa gani asiuweke wazi
Nimekugongea"like*Ukweli ni kuwa zote hizo ni hadithi zakutungwa tu na wengi hapa mtanipinga ila fresh. Ukweli ndio huo.
Inategemea tu na upeo wa mtu wakufikiri na kuweza ku pambanua mambo. Mimi sitaki kukuyumbisha amini unachoamini.Lakini MUNGU ATABAKI PALEPALE, Au unawazo gani juu ya uwepo wa MUNGU na Umilele Wake...
Hilo swali langu ninataka ujibu kwa mtizamo wako binafsi bila ya kujali madhara kwa wengine.. nijibu tafadhali.Inategemea tu na upeo wa mtu wakufikiri na kuweza ku pambanua mambo. Mimi sitaki kukuyumbisha amini unachoamini.
Mimi msimamo wangu nitabaki nao mwenyewe. Samahani kwa hilo.Hilo swali langu ninataka ujibu kwa mtizamo wako binafsi bila ya kujali madhara kwa wengine.. nijibu tafadhali.
Hizi hadithi za adam na hawa/eve sio za kweli kuanzia mwanzo mpaka mwisho,chanzo na madhumuni ya kumfanya Adam kuwa kiumbe wa kwanza ilikuwa ni kuanzisha historia mpya ambayo watu wa magharibi watajieleza chanzo chao kupitia vitabu vyetu vya dini,watu ambao hawana historia duniani, historia ya watu weupe imeanzia na Adam,kuanzia adam mpaka sasa ni kama miaka 6000,egypt kuna pyramids zimejengwa zaidi ya miaka 15000 ilopita historia yote hio imefutwa na kupandikiziwa historia mpya na chanzo chake ni Adam na sote tunaanzia hapo.