Chagger boy
Member
- Jan 27, 2018
- 50
- 39
Absolutely.sometimes i weep for the lost time when i open some threads......real
Ww kama sio kiherehere na ww ulifwata nn huku kama sio kujua maisha ya waty ukijifanya unajuwa think twiceWABONGO KWA KUTABIRI MAISHA YA WENZAO.MBONA YENU HAMUWEKI HUMU TUONE MNAVYOJITABIRIA?
AFU HUYO MONDI ASIACHWE YEYE NANI?
Uliombwa uingie unazani kwann mods walitenganish majukwa kama ww nimpenz wq tasniaa unakuja huku ila kama ww Great think unaenda huko baba kama ni sifa umebum na kiki yakosometimes i weep for the lost time when i open some threads......real
Kesho shule,umeshanyoosha unifomu zako?Natumaini ni wazima
Katka kitu nimekuj kushanga kwenye hii tasnia ya Sanaa
Yan bila kiki huwezi kusogeza mziki wqko
Kam shabiki wa damu wa mnyama diamond nilifwatia hili jambo kiundani
Ila nimekuj kuona ni ujing kuchoma vocha kiangalia page za wasani wa kitanzania yani haijirudii ten yupo mwana jamii forom alitoa post kuhusu kuwafollow wasanii wakibongo
Sasa tuje kwenye point ukifwqtilia toka mwanzo wa movie hyo ya masterling ZARI na DIAMOND utakuja kujua ni kiki kwasababu
1:-Diamond anajifanya ajali chchte anajifanya anapost tuzo ili watu wajue anayotuzo kwasababu anajuwa mjakesha kwenye page yake
2;-Ku boost nyimboo za wasanii wa WCB hii ndo kama lengo yani wimbo unaopigiwa kiki niwa maromboso [HASHTAG]#NIMEKUZOEA[/HASHTAG] na wa lavalava UTATULIA yani wanatumia hyo kiki kusema diamond anamwambia mama T kwamba ka miss kwa kutumia wimbo wa Mboso na zari anamjibu kupitia wimbo wa lavalava
Daaq kweli kuwa uyaone Leo nimeyaona LIVE mfn mama T anaanzaje kumuacha diamond ww tumia akili ya la kwanza diamond kampa mimba mobeto akamrudia ety kisa kukumbatiwa sijui na Wema ndo amuwache
Ila sijui ata tembo ni mkubwa ila anauliwa na sisimizi tusubiri hii movie iishe maana ashatupa muda kwamba hii kiki itaisha kabla ya mwezi huu kuisha
Just wait............!
Kuhusu Shule kitamb sana hapo UMEFELI jarbu kingine mkuuKesho shule,umeshanyoosha unifomu zako?
Yani ni ujinga mtupu wanafanya WCBPia kuna ulbum inatakiwa itoke baada ya siku 27..hii kiki ni wazi kbsaa kwa tunaojua onganisha matukio na jinsi movie inavyoenda.
Mmmh atamm nakubali huo mtego umeninasaaBaada media fulani kususa kucheza nyimbo za wcb ilikuwa ni lazima watengeneze tukio ili kuhamisha macho na masikio ya followers kwenye page ya Diamond ili itumike kama chanzo cha kuwatangaza wasanii wake. Na ukiangalia wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa mno
We angalia utaona baada ya hiyo kiki page ya Diamond inafikisha karibu likes 300k inakimbizana na page za akina Sanchez, OzilMmmh atamm nakubali huo mtego umeninasaa