kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,448
Kwa hiyo hao wanne walioandika ni wahuni wa kariakoo sio maaskofu!
Alisemaje?Umesikia mahubiri ya askofu Dallu Jana?
Hawa wahashamu wote wa kaskazini,sijui ni makusudi au imetokea tuMaaskofu walioandika ujumbe huu ni Mhashamu Askofu Mkuu Beatus Kinyaiya wa Jimbo Kuu la Dodoma, Mhashamu Askofu Mkuu Yuda Thaddaeus Ruwa’ichi wa Jimbo Kuu la Mwanza, Mhashamu Askofu Augustino Shao wa Jimbo la Zanzibar
Hapana..!!hebu tuletee hata kidogo Mkuu.Umesikia mahubiri ya askofu Dallu Jana?
Mimi nimeusoma.Ni waraka mzuri kuliko maelezo.Una upako mkubwa mno.Umeanza na utangulizi wa kitabu cha mwanzo pale kain alivyomuua nduguye Mungu akamuuliza,kwanini umemuua nduguyo naye akamjibu Mungu kwa jeuri kuwa ,je mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?.Nijuavyo hata bungeni sio wabunge wote hupitisha miswaada, wengine hupinga ila ikishatoka hapo inakua ni uamuzi wa bunge na sio wabunge waliounga mkono hoja au waliopinga au waliotoka nje. La msingi hapa ni kuangalia huu ujumbe unsema uongo au ukweli? Kama ni uongo basi tuwabane kwa kusema uongo na sio nani alishiriki kuandika na nani hakushiriki. Nadhani hua kuna utaratibu wa kutoa waraka kila mwaka je huko nyuma ni wote walikua wanashiriki? Na je ili waraka uwe wa kanisa katoliki wanatakiwa maaskofu wangapi washiriki? Je nini nafasi ya pengo ndani ya TEC? Kama maaskofu wameweka vitu vya uongo waulizwe kwa nini wmefanya hivyo na lengo lao ni nini na kama wapo sahihi tuangalie jinsi ya ku address mapungufu. Mimi sijausoma waraka wao so sijui content yake ipoje