Siri nzito ya Zombe na Bageni

Hivi naweza kueleweshwa how kina Zombe came to know kuwa hao wafanyabiashara wana pesa nyingi cash?
Niliwahi kusikia kwamba hawa jamaa walifikia hotel moja (magomeni kama sikosei) sasa aliyewatonya hao akina Bageni ni meneja wa hotel, na kwamba huwa ni mchezo wao akifahamu mteja ana pesa ndefu. Baadae wakifanikisha dili naye anapata mgao...
 
Niliwahi kusikia kwamba hawa jamaa walifikia hotel moja (magomeni kama sikosei) sasa aliyewatonya hao akina Bageni ni meneja wa hotel, na kwamba huwa ni mchezo wao akifahamu mteja ana pesa ndefu. Baadae wakifanikisha dili naye anapata mgao...
Oh! Ni chanel ndefu ya kihalifu. I think he is the source of all this! Aunganishwe na yy ktk kesi kwa kweli kwa kuwafisha wenzie
 
Strategy ya akina Zombe na Bageni ilikuwa waripoti kuuwawa kwa majambazi yaliyopora 5m ili wauchukue ule mzigo wote wa madini kiulaini baada ya kuwauwa wenye mali kwa pretext ya majambazi. Hata hilo lori la bidco na kuibiwa 5m was faked. Sasa kitu ambacho wali overlook ni kwamba immediately baada ya tukio kutangazwa Ndugu wa marehemu walikuja juu na taarifa za marehemu kuwekwa wazi kwamba ni wafanyabiashara maarufu wa madini huko kwao. Pia ikaja taarifa kwamba walikuwa na mzigo mkubwa wamepeleka kuuza DSM, mzigo uko wapi? Sasa tension was so high inabidi Rais aunde tume na mambo yakafumuka...
 

wanasheria watusaidie, hiv haiwezekan zombe akafunguliwa upya mashtaka hsta ya kuficha waalifu kama hayo mengine yamekosa ushahidi wa uhakika
 
Kwa nini mnaiita hukumu ya pili na si rufaa?
 
Duuh police nyieeee mtatumaliza kwa kusingizia matukio ya ujambazi eeeh mungu tusaidie
 
Mahakama zetu zilivyooza, kamwe mtu hauwezi kuelezea neno likalingana na maovu yao.
Wengine tushapoteza kabisa imani na mahakama zetu hizi. Zimekuwa ni "vijiwe" vya kupigia madili ya kupoka haki za watu.
Ndiyo maana mafisadi "wenye'elazao" wanuwezo wa ku-control mahakama kama mali zao binafsi. Nasikia kwenye hii kesi, mchezo ulianzia kwenye utayarishaji wa mashitaka. Kwa makusudi kabisa mtayarishaji wa kesi,alipotosha shitaka la Zombe kwa makusudi eti kuwa aliua. Wakati kesi yake ya msingi ilikuwa ni ya uwajibikaji kwa kutumia ofisi vibaya na kuficha uharifu! Kwa kujua kabisa kuwa mwisho wa siku lazima atashinda!
Bado najenga maswali,hivi aliyepotosha kuandaa mashitaka ya Zombe, tuseme yeye hana tuhuma ya kutumia madaraka yake vibaya na je, hastahili kuandikwa mashitaka?
Dhuluma kama hizi, na makandokando mengine ya kishenzi, ndiyo yanasababisha wananchi kutokuwa na imani na mamlaka zilizopo na kusababisha kujichukulia sheria mkononi linapotokea jambo linaloweza kumalizwa kwa haki mahakamani,lkn hawana imani nazo.
 
Ni moja ya mhimili unaoongoza kwa RUSHWA. Yah kesi ya msingi ni KUTUMIA MADARAKA HOVYO NA KUFICHA UHALIFU.
 
Mgao mkubwa alipata na "orders" kwa Bageni, lazima zilitoka kwake kwasababu,kiofisi Zombe ni boss wa Bageni.
 
Ila hapa binafsi sijaelewa, japo hii kesi imechukua muda mrefu sana, nini sababu hasa ya hawa jamaa kuuwawa? Ni kwamba polisi walijua wako na pesa nyingi wakaona njia ya kuzichukua ni kuuua na kusingizia majambazi ama kuna lingine?
Ondoa alama"?" ibaki "kuwa statement" ili liwe ni jibu. Maana ulivoandika ndiyo mkanda wenyewe.
 
Mkuu upo serious na unachokisema? Kesi kukatiwa rufaa ni kurudiwa?
 
Niliwahi kusikia kwamba hawa jamaa walifikia hotel moja (magomeni kama sikosei) sasa aliyewatonya hao akina Bageni ni meneja wa hotel, na kwamba huwa ni mchezo wao akifahamu mteja ana pesa ndefu. Baadae wakifanikisha dili naye anapata mgao...
Dah! Yaweza kuwa ni idea ya kweli.
Kama itakuwa ni hivyo basi waaminifu ni wachache sana nchii hii. Na kusema "tumuogope Mungu" kwa watu wengi ni ngonjera zisizokuwa na maana yoyote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…