Siri nzito ya 'muccob's" hii hapa.

Acha kudanganya kijana kabla ya TCU kuwapangia Ushirika Moshi ilikuwa hata dv 3 unapata chuo huko ndo vijana walioboronga fm6 lilikuwa kimbilio lao.

Bora wewe umesema maana wengine tukisema hivyo tunaonekana tuna gubu tena nimegundua vitoto vinavyobisha humu ni vifirst year walosoma hapo nakumaliza wanajijua walikuwa wanaingia na division ngapi.
 

Tatizo lako dogo umevamia convo kuanzia sijui page ya 7 na kudandia treni kwa mbele rudi mwanzo wa topic na usome post yangu ya kwanza ndo uje kurudia rudia hapa mbona huelewi ndo maana uko Muccobs inaelekea darasani mgumu sana kuelewa na kujisomea ukitaka ubishi kubali na kupitia post za nyuma kwani me nimewaambia hakuna div I na II au nimesema hizo div ni chache nyingi ni III kwa degree na IV kwa Diploma.. kha ndo shida ya uvivu wa kusoma mwili mkubwa akili size ya diclopar.
 

Takwimu hizi umezipata wapi?
 
Lazima wasome kwa nguvu na masomo wayaone magumu coz wengi wao pale hawakufanya vizuri secondari. Mbona SUA watu kitabu kinaenda na masomo magumu na watu hawatafuti sifa za kijinga humu.

hahahah unaijua SUA wewe? au unaisikia? eti kitabu kinaenda sio kama unavyodhania mkuu
 
Teh teh bahati yann yani Muccobs hata ningesomeshwa bure nisingekuja na hata fomu za kujiunga enzi hizo hata sikuchukua any way ngoja nije kufundisha hapo iki niinjoy kuziona div 3 zikistruggle.

Nasikia una CPA.....utakuwa mchepuko wangu.....sauwa?
 
Kwa upande wangu sipendi masuala ya kushabikia vyuo. Mara ooh chuo chetu bora, Mara sisi kwa kozi fulani yumebobea n.k Suala la muhim ni kwamba pale ulipo unalisaidiaje taifa na wananchi maskini kuondikana na matatizo yao na si ubora wa chuo. Hizi data sijaziamini na sitoziamini hata kwa posho.
 
hahahah unaijua SUA wewe? au unaisikia? eti kitabu kinaenda sio kama unavyodhania mkuu

Acha ushamba wewe am speaking with experience ww naijua SUA zaidi ujuavyo sio wewe uliyehadithiwa na my two family member wamesoma hapo na mmoja kafundisha hapohapo Shule ngumu ila wenye uwezo wao wanafaulu na kupata GPA za kuwawezesha kubaki hapo.
 
Ninazo maana niliokuwa nao darasani wote najua vyuo walivyoenda na matokeo yetu ya form six ninayo sijarukupuka ndugu ingawa tulishamaliza chuo mudaa

unachekesha sana mkuu kwa hiyo takwimu za watu10 wakati darasa lina watu 120, ndio unazijengea hoja,
 
unachekesha sana mkuu kwa hiyo takwimu za watu10 wakati darasa lina watu 120, ndio unazijengea hoja,

Combi yetu tu tulikuwa 120 ndugu kwangu hao ni wachache coz tulikuwa tuna interact sana na mpaka sasa tuna groups zetu na hata vyuo tulivyoenda tulikuwa na umoja wetu pia na tulikuwa tunatembeleana hata hapo Muccobs na wote classmate wangu waliosoma hapo nawajua na matokeo yao yako wazi Necta na huo ndo ukweli hakukuwa na Div I aliyeenda hapo na wa II hawakuzidi 10 wengi walikuwa III na hata combination nyingine kutoka shule yetu wenye 3 walienda hapo hasa za HGK na HKL usibishe bishe tu dogo kataa kubali ukweli ndo huo japo ngumu kumeza.
 

sema hivi kwenye shule yenu hakukuwa na mwanafunzi aliepata one akaenda ushirika,ila shule nyingine wapo wenye one na wakaenda ushirika okay
 

Kumbe nidhamu ya Mpigamsuli ni mfano wa kuigwa?
 
Last edited by a moderator:

Chunga uandishi wako......
 
qn of sheba,hilo jina umelitendea haki lakini? Na maanisha yaliyomo yamo? Sio unajiita hilo jina halafu upo tofauti
 
sema hivi kwenye shule yenu hakukuwa na mwanafunzi aliepata one akaenda ushirika,ila shule nyingine wapo wenye one na wakaenda ushirika okay

Hehehe unachekesha hata shule za jirani ndugu hata rafiki zangu wa olevel boys na girls waliosoma shule nyingine wenye three tu ndio walienda pale wenye one na two hata hicho chuo walikuwa hawakijui too local.
 
qn of sheba,hilo jina umelitendea haki lakini? Na maanisha yaliyomo yamo? Sio unajiita hilo jina halafu upo tofauti

Wewe hilo jina lako naona umelitendea haki kabisa Kya-low yes your too low.
 
Mimi ankubaliana na hilo muccobize ni noma pale huendi kuchukua degree diplomaa au degree au masters ni unakwenda kuitafuta. Halafu kuna maprofessor kutoka mpaka nje ya nchi kama jamaa mnaona anapiga promo mtafuteni chambo aende akanuse wewe ila kiki simama chenyewe kisiwe chini ya sua university hapo nahisi kitakuwa cha kawaida kwa upande wangu ila kwasasa yaani hapafai tena kwenye upande wa BAAF ndo usiseme kabisa cctv kamre mpaka ndani kama umezoea chabo asee pole sana pale hapako hivyo arifu.Na pass mark 50% sasa wewe nenda nenda na 49% ukaombe kujiunga na chuo uone kama utakubaliwa yaani wanakuacha bila tabu nahata tcu wakipeleka wasio kidhi vigezo asee hawakubali.Unajua kuna vitu vingine sio vya kubisha chunguza kabla ya kubisha asee.:A S-alert1::A S-alert1:delivered
 
Nlipiga pale diploma IT na ss nko napiga computer engeering huku dom nkimaliza natamani nkachukue masters ya businees management pale muccobize tena.Yani nkipafikiria pale palivyo pagumu ngoja kwanza ntigishe kishe kchwa :A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:maana msuli shule nahisi naenda urudia tena dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…