Mkomamanga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 815
- 190
Nani atatungoza sasa? manake wote waliobaki mara utasikia wanamiliki makasino, mara utasikia wameasi kanisa na kukaa na vimada. JK kaza mwendo achana na hawa walevi na wazinzi
Mbinu mpya ni KUTANGAZA HALI YA HATARI KWA NCHI NZIMA.AMIRI JESHI ASEME NCHI HAIKO SALAMA.MCHEZO ATAMALIZA MAPEMA.iLA KUNA CHANGAMOTO KWA HILO KWANI iTABIDI to justify so that the world at large could understand the cause of state of emergency, vingine wataonekana matapeli wa kidunia.welcome to the show
Penye ukweli uongo hujitenga
CCM watakimbiana na mwisho watauana hadharani, i swear.
mimi ni binadamu, alafu hivi pia tunavyotumia ni vifaa vya kutengenezwa na watu, so kukosea matumizi yake ni swala la kawaida! Washangae hao walio jf na kuleta uzi ambao hauna kichwa wala miguu, ambao hauna mashiko.
mimi ni binadamu, alafu hivi pia tunavyotumia ni vifaa vya kutengenezwa na watu, so kukosea matumizi yake ni swala la kawaida! Washangae hao walio jf na kuleta uzi ambao hauna kichwa wala miguu, ambao hauna mashiko.
Asiyekuwa na dhambi awe wa kwanza kumrushia jiwe. hapo kwenye red pamenitisha sana, kuhusu ulevi tumuulize naibu spika, anawafahamu walevi, kuhusu usinzi hebu turejee mambo ya singida na Igunga, nadhani mnayakumbuka vizuri.Nani atatungoza sasa? manake wote waliobaki mara utasikia wanamiliki makasino, mara utasikia wameasi kanisa na kukaa na vimada. JK kaza mwendo achana na hawa walevi na wazinzi
Nakubalina na wewe mkuu, unamlipa mfanyakazi Sh 170,000/= kwa mwezi, sawa na sh 5,600/=kwa siku hizi zitatosha nini kwa mtu mwenye familia ya watoto wawili? wakati mnasema 200,000/= ndio posho inayotosha mtu mmoja kwa siku, licha ya mshahara na marupurupu mengine yanayofikia 12,000,000/= itafikia wakati watu wengi sana watakata tamaa, halafu polisi wakiua mmoja waliobaki kila mmoja ataomba naye auawe, hapo polisi itabidi wakimbie waache maiti uwanjani, ni hatati sana. serikali makini inasoma alama za nyakati, hata wakoloni hawakuwatesa wanyonge kiasi hiki.Na hii ndiyo inayosababisha Tanzania hatuendelei(na kibaya zaidi ni pale Bungen na katika majukwaa tunaposimama na kusema ,"Serikali ya CCM imefanya hili, Serikali ya CCM imefanya lile..badala ya Serikali ya Tanzania"
Viongozi(Nchi na si wa Chama) wako madarakani tayari lakini bado wana-struggle kwa ajili ya awamu(kwa njia za ajabu ajabu)..kama wakatimiza wajibu, na ahadi walizotoa kwa wananchi hiyo ni salama yao, lakini wajue;
-Muda wanaopoteza
-Gharama ya pesa na mali
vinavyotumika kujihakikishia ushindi ndivyo hivyo hivyo vitakavyo wabana watakapokuja kuomba kura( 2015), jambo wasililolijua ni hili Wananchi wengi hawako huko CHADEMA kwa sababu wanaipenda sana, ila kwa sababu wanaichukia CCM kutokana na mambo ya ajabu yanayotokea na kupuuzwa...