Siri nzito ndani ya CCM

Na watashindwa sana , maana CDM kama chama kikuu cha upinzni nchini, kimekuwa kinaelimisha jamii kwenye masuala tofauti kwa mustakabali wa taifa letu, matokeo yake wananchi sasa wana uelewa mkubwa na huwadanganyi kwa lolote
 
Na hii ndiyo inayosababisha Tanzania hatuendelei(na kibaya zaidi ni pale Bungen na katika majukwaa tunaposimama na kusema ,"Serikali ya CCM imefanya hili, Serikali ya CCM imefanya lile..badala ya Serikali ya Tanzania"
Viongozi(Nchi na si wa Chama) wako madarakani tayari lakini bado wana-struggle kwa ajili ya awamu(kwa njia za ajabu ajabu)..kama wakatimiza wajibu, na ahadi walizotoa kwa wananchi hiyo ni salama yao, lakini wajue;

-Muda wanaopoteza
-Gharama ya pesa na mali

vinavyotumika kujihakikishia ushindi ndivyo hivyo hivyo vitakavyo wabana watakapokuja kuomba kura( 2015), jambo wasililolijua ni hili Wananchi wengi hawako huko CHADEMA kwa sababu wanaipenda sana, ila kwa sababu wanaichukia CCM kutokana na mambo ya ajabu yanayotokea na kupuuzwa...
 
Mbinu mpya ni KUTANGAZA HALI YA HATARI KWA NCHI NZIMA.AMIRI JESHI ASEME NCHI HAIKO SALAMA.MCHEZO ATAMALIZA MAPEMA.iLA KUNA CHANGAMOTO KWA HILO KWANI iTABIDI to justify so that the world at large could understand the cause of state of emergency, vingine wataonekana matapeli wa kidunia.welcome to the show
 
kwel weye ni mamaisara vp huyo mtoto ana baba? mambo yanaonekana kip unapinga? jiheshimu angalia mwenendo wako!!
 
Lakini yote tisa hili la NGURI TUNDNU LISSU kudhalilisha tume ya waziri nchimbi, kumbe wizarani hakuna wanasheria wa kumshauri waziri au wapo ila ni vilaza????
 
Nani atatungoza sasa? manake wote waliobaki mara utasikia wanamiliki makasino, mara utasikia wameasi kanisa na kukaa na vimada. JK kaza mwendo achana na hawa walevi na wazinzi

kwa hiyo nani si mzinzi? JK? ukijibu maswali haya hutarudi na hoja ya ki "K" kama hii
J.k anawake wangapi?
vimada je?
juzijuzi yule dereva wa ikulu alipo fariki kwenye msafara wa mama salma walikuwa wanakwenda wapi? na likuwa anatoka wapi? (confidential hiyo).
na kwanini wakosane na mmewe airport on the way to arusha akarudia airport, kisha yakafuata niliyoandika hapo juu?

Sasa kama huwezi jibu hata moja hapo usije siku nyingine na hoja finyu kiasi hiki, hujui mambo ya nchi hii weye
 
Hebu tutafakari namna nzuri ya kukabiliana na vyombo hivi vya DOLA ambavyo vimefunga "NDOA" ya kudumu na CCM.
 

Kwa hiyo ina ukweli ndani yake.
 

hii ni siri au hisia zako.??
 
Lakini yote tisa hili la NGURI TUNDNU LISSU kudhalilisha tume ya waziri nchimbi, kumbe wizarani hakuna wanasheria wa kumshauri waziri au wapo ila ni vilaza????
Tundu Lissu naye alishtuliwa na mabandiko yetu humu JF. Idumu sana JF.
 
Haya lile kundi lenye upeo mdogo wa kufikiri na kutafakari mmeshatupiwa uongo. jadilini.

WanaJF na wa TZ kwa ujumla, kama utaki kuamini taarifa hizi za siri ni juu yako kwani si vizuri kutaja jina, wala makazi ya mtoa siri. Kumbuka kuwa taarifa hizi ni nyeti sana hazitakiwi kuwa vielelezo vingi bali matokeo yake huwa yanaonekana baada ya muda kama ambavyo NAPE alivyotabiri kutokea kifo pale Morogoro na ikawa hivyo. Amini au usiamini hali ndiyo hiyo
 

CUF washafunga ndoa na ccm
 
Kama ni CCM wanaua kwa sababu yoyote ile hawawezi kuacha kuua. Mambo haya ni sawa na kula nyama ya mtu
 
Haya lile kundi lenye upeo mdogo wa kufikiri na kutafakari mmeshatupiwa uongo. jadilini.

Ushahidi uliopo halisi na wa kimazingira unapingana na mawazo yako juu ya hoja hii. Labda utafute mbinu nyingine ya kubadili uelekeo, ambayo kwa hakika haipo. Vumilia tu ukiona ccm inasambaratika.
 
Haya lile kundi lenye upeo mdogo wa kufikiri na kutafakari mmeshatupiwa uongo. jadilini.

labda uwaonyeshe ukweli upo kona gani...hata jicho likingiliwa na vumbi usilifunge, fungua kikakamavu... bangi za mchana mbaya kweli kweli
 
Tundu Lissu naye alishtuliwa na mabandiko yetu humu JF. Idumu sana JF.

Yawezekana walioandika humu na TL walikuwa na same understanding kilichowatofautisha ni platform ya kuongelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…