Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,420
- 4,034
una maana gani? mi nafundisha kwa bidii usiku na mchana siwazii tu kama kuna siku ntakuwa tajiriKuna matajiri wengi sana hawapo upande hata mmoja kati ya hizo mbili, na wengi pia wapo kote kote. Kazi na maarifa bado vitabaki kuwa ndio msingi mkuu wa utajiri. Imani itakuja kukutia nguvu na kuongezea tu