Siri niliyooneshwa kuhusu nchi yangu Tanzania

Ndoto ina maana 3 kwa mujibu wa theology

1. Kutabiri yajayo
2. Kuona yaliyopita

Au

3. Kubeba maana ya KINYUME
 
Nashangaa hukuota Satellites, Maisha ya Mars!! kabisa mtu na zivuma zako unaota hivi? eti unaota vi Gari jamani hee? hizi zinazotumia dizel au!! ndiyo ukaona Bonge la maendeleo?

Acha zako hizo za kuota na njaa ya matatizo Yesu alifunga kwa kupenda kwake akaonyeshwa na Shetani live bila kificho, wewe nae ungekataa palepale km Yesu!

Hujui Soon wazungu watakimbilia Mars? watatususia Dunia yote? hkn Mwafrica asiyejua, wewe hiyo ni neema kwako? wataacha kila kitu, rhuksa kuishi popote Duniani, make mmezidi kulia lia! mara Oooh! wabaguzi, mara Wakoloni, mara Mabeberu. yaani hawapumui!

Mafuta Almasi dhahabu nk mtachimba tani yenu sijui mtafanyia nini zaidi ya kuundia pete, vinu vya Nuclear vitaachwa huru mkitaka mjilipue kazi kwenu hawatakuja tena wataenda ishi anga za juu wote na watoto wao!

Mpaka sasa hivi wanakula vyakula toka anga za juu, kuna Mashamba huko ni Hatari, wewe unatuletea ndoto za arinacha tena bila aibu? labda uliona Wazaire wakija huko kwenu KIgoma. Bangi hizi bila msosi! muwe mnakula kwanza!!!
 
9. Nikamuona kiongozi mkuu wa Nchi akihutubia huku nchi yote ikiwa KIMYA . Watu wakimfuatilia kwa makini lakini pia akishangiliwa kila pembe ya nchi.
 
Back
Top Bottom