Siri mauaji ya bilionea wa madini na mwanaye

Polisi wameona wakibaki na Mkufu nongwa.

Hela zilizokutwa zimepigwa.

Turudi kwenye uzi;
Mwenyenzi Mungu awalaze mahala wanapostahili.
Kwani polisi wamewakoseaga nini nyie raia? Yaani wafanye mema nongwa, wafanye mabaya ndo usiseme. Kwani hao waliowaua marehemu unataka kuniambia hawakuwa na akili ya kuchukua hizo pesa unazoongea? Ninachoamini kwa akili yangu ndogo hao wauaji waliacha huo mkufu kwa kutokujua thamani yake kwasababu wao walitaka pesa tu.
 
Jamaa tamaa ziliwaingia, japo marehemu alipaswa kuwa kwenye machale muda wote na sio kuwaamini all the time.
Hela ni shetani hatari anayeweza kubadili akili ya mtu kila sekunde.

Iliiwahi nikuta hii issue ugenini, tumesafiri na jamaa yangu kwenda kufanya biashara fulani na plan ilikuwa iwe tukifika tunamaliza na kila mtu anakufa na chake tunasambaa, tukakuta wenyeji wametupangia hoteli na kutuambia dili ni next day huku wakijua tumesafiri na hela.

tuliingia hotel vyumbani tukaoga, then tukaset ramani yetu, around saa moja usiku nikaenda kwenye breaker nikazima umeme hotel nzima, mimi na mwanangu tukasepa na hela zetu huku funguo za vyumba tukuziacha ndani, jamaa wakawasha generator bado umeme hakuna, wakagundua breaker imetrip, usiku saa sita kuelekea saa saba ili hotel ikavamiwa na target ni room zetu jamaa wakakuta kweupe. Jamaa walivyokuwa mafala usiku saa nane wanatutafuta kwenye simu, tukapiga nyundo simu zetu, next day tukachukua uelekeo mwingine kuwapoteza maboya.
Yaan wewe sasa ndio ushajua namna ya kuishi ukiwa na keshi.
 
Nilisikia Redioni Kamanda Ruvuma anaongea. Walitoka Kunduchi Dar, Dreva, Baba na Mtoto Kwenda Ruvuma Songea wana kitalu cha Madini fulani kwahiyo walienda kuingia mkataba na muwekezaji, baada ya kupewa visenti vya awali na nyingine watasubili, waliwasha ndinga kurudi Dar, walipofika Makambako, washikaji waliowatafutia hao wawekezaji wakishirikiana na Dreva wao wakawapa ramani ya kununua dhahabu Mbeya. Wakaenda Mbeya na Kufanya hivyo, then wakaanza safari ya kutoka Mbeya kuja Dar, walipofika Makambako Dreva wao akasema amechoka anaomba kupumzika, inavyoonekana Dreva alimuuza boss, Dreva akamuekea dawa za kulevya boss na Mtoto wakalala kwenye gari hapo Makambako. Then Dreva na kundi lake walianza safari kurudi tena Songea badala ya Dar, wakawaua kwa kuwagonga na kitu kizito kati ya Njombe na Songea. Alafu wakatengeneza ajari kwa kuiacha gari kwenye kolongo upande wa Songea. Dreva akaenda polisi huko Songea kwamba amepata ajali. Polisi wameenda kukagua ajari wameshangaa Dreva kapona boss na mtoto wamekufa, polisi wakajiongeza , wakakuta sindano ya dawa za kulevya kwenye gari iliotumika ili wasinzie, pia miili imepimwa na kuonekana walipondwa na kitu kingine sio ajari, pia walikuta faini za polisi kutoka Makambako Kwenda Njombe na ushaidi mwingine. Alipobanwa Dreva sana akataja kundi lingine ambalo lipo mbaroni kwa sasa. Dreva alimuuza boss kule Songea, ile zunguka zunguka ya Mbeya, Makambako ilikua kutafuta site ya kuulia.
Daah! Amakweli binadam sisi sio wa kuaminiana mtu ana kuuza hivi hivi
 
Jamaa tamaa ziliwaingia, japo marehemu alipaswa kuwa kwenye machale muda wote na sio kuwaamini all the time.
Hela ni shetani hatari anayeweza kubadili akili ya mtu kila sekunde.

Iliiwahi nikuta hii issue ugenini, tumesafiri na jamaa yangu kwenda kufanya biashara fulani na plan ilikuwa iwe tukifika tunamaliza na kila mtu anakufa na chake tunasambaa, tukakuta wenyeji wametupangia hoteli na kutuambia dili ni next day huku wakijua tumesafiri na hela.

tuliingia hotel vyumbani tukaoga, then tukaset ramani yetu, around saa moja usiku nikaenda kwenye breaker nikazima umeme hotel nzima, mimi na mwanangu tukasepa na hela zetu huku funguo za vyumba tukuziacha ndani, jamaa wakawasha generator bado umeme hakuna, wakagundua breaker imetrip, usiku saa sita kuelekea saa saba ili hotel ikavamiwa na target ni room zetu jamaa wakakuta kweupe. Jamaa walivyokuwa mafala usiku saa nane wanatutafuta kwenye simu, tukapiga nyundo simu zetu, next day tukachukua uelekeo mwingine kuwapoteza maboya.
Mna akili na bahati sana nyie! Mngeumia😅
 
Hatari sana

Ova
 
Kwahio alitoka kununua madini mbeya ya billion 2, akaenda kuuza Ruvuma, rafiki zake wakammaliza, au sijaelewa vizuri
Habari na simulizi zimekaa kishambenga kweli kweli. Mara mkufu wa milioni 3, mara alikuwa aende India, mara alisaini mkataba wa kulipwa... yaani pengine ni makosa ya hawa makanjanja wetu au msimuliaji ni ''kichwa chepesi''
 
Jamaa tamaa ziliwaingia, japo marehemu alipaswa kuwa kwenye machale muda wote na sio kuwaamini all the time.
Hela ni shetani hatari anayeweza kubadili akili ya mtu kila sekunde.

Iliiwahi nikuta hii issue ugenini, tumesafiri na jamaa yangu kwenda kufanya biashara fulani na plan ilikuwa iwe tukifika tunamaliza na kila mtu anakufa na chake tunasambaa, tukakuta wenyeji wametupangia hoteli na kutuambia dili ni next day huku wakijua tumesafiri na hela.

tuliingia hotel vyumbani tukaoga, then tukaset ramani yetu, around saa moja usiku nikaenda kwenye breaker nikazima umeme hotel nzima, mimi na mwanangu tukasepa na hela zetu huku funguo za vyumba tukuziacha ndani, jamaa wakawasha generator bado umeme hakuna, wakagundua breaker imetrip, usiku saa sita kuelekea saa saba ili hotel ikavamiwa na target ni room zetu jamaa wakakuta kweupe. Jamaa walivyokuwa mafala usiku saa nane wanatutafuta kwenye simu, tukapiga nyundo simu zetu, next day tukachukua uelekeo mwingine kuwapoteza maboya.
Akili kubwa
 
Mna akili na bahati sana nyie! Mngeumia😅

Michezo ya hela inataka machale machale muda wote, hupaswi kujiamini kwenye hela unapokuwa na mtu kuanzia wa pili.

Hela ni shetani na inabadilisha akili ya mtu dakika sifuri bila hata kufanya risk calculation na wakati huo wewe ushaumia.

Wapumbavu wameshakuua na wao walisahau hesabu nzuri kwa tamaa ya haraka.
 
Nilisikia Redioni Kamanda Ruvuma anaongea. Walitoka Kunduchi Dar, Dreva, Baba na Mtoto Kwenda Ruvuma Songea wana kitalu cha Madini fulani kwahiyo walienda kuingia mkataba na muwekezaji, baada ya kupewa visenti vya awali na nyingine watasubili, waliwasha ndinga kurudi Dar, walipofika Makambako, washikaji waliowatafutia hao wawekezaji wakishirikiana na Dreva wao wakawapa ramani ya kununua dhahabu Mbeya. Wakaenda Mbeya na Kufanya hivyo, then wakaanza safari ya kutoka Mbeya kuja Dar, walipofika Makambako Dreva wao akasema amechoka anaomba kupumzika, inavyoonekana Dreva alimuuza boss, Dreva akamuekea dawa za kulevya boss na Mtoto wakalala kwenye gari hapo Makambako. Then Dreva na kundi lake walianza safari kurudi tena Songea badala ya Dar, wakawaua kwa kuwagonga na kitu kizito kati ya Njombe na Songea. Alafu wakatengeneza ajari kwa kuiacha gari kwenye kolongo upande wa Songea. Dreva akaenda polisi huko Songea kwamba amepata ajali. Polisi wameenda kukagua ajari wameshangaa Dreva kapona boss na mtoto wamekufa, polisi wakajiongeza , wakakuta sindano ya dawa za kulevya kwenye gari iliotumika ili wasinzie, pia miili imepimwa na kuonekana walipondwa na kitu kingine sio ajari, pia walikuta faini za polisi kutoka Makambako Kwenda Njombe na ushaidi mwingine. Alipobanwa Dreva sana akataja kundi lingine ambalo lipo mbaroni kwa sasa. Dreva alimuuza boss kule Songea, ile zunguka zunguka ya Mbeya, Makambako ilikua kutafuta site ya kuulia.
Inasikitisha sana. Adhabu ya kifo ni mbaya, lakini kwa matukio kama hayo... hapana.
 
Jamaa tamaa ziliwaingia, japo marehemu alipaswa kuwa kwenye machale muda wote na sio kuwaamini all the time.
Hela ni shetani hatari anayeweza kubadili akili ya mtu kila sekunde.

Iliiwahi nikuta hii issue ugenini, tumesafiri na jamaa yangu kwenda kufanya biashara fulani na plan ilikuwa iwe tukifika tunamaliza na kila mtu anakufa na chake tunasambaa, tukakuta wenyeji wametupangia hoteli na kutuambia dili ni next day huku wakijua tumesafiri na hela.

tuliingia hotel vyumbani tukaoga, then tukaset ramani yetu, around saa moja usiku nikaenda kwenye breaker nikazima umeme hotel nzima, mimi na mwanangu tukasepa na hela zetu huku funguo za vyumba tukuziacha ndani, jamaa wakawasha generator bado umeme hakuna, wakagundua breaker imetrip, usiku saa sita kuelekea saa saba ili hotel ikavamiwa na target ni room zetu jamaa wakakuta kweupe. Jamaa walivyokuwa mafala usiku saa nane wanatutafuta kwenye simu, tukapiga nyundo simu zetu, next day tukachukua uelekeo mwingine kuwapoteza maboya.
Kama hujasomea ujasusi, basi una kipaji cha ujasusi.
 
Back
Top Bottom