Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,843
- 287,852
Ikulu si alikuwepo Sheikh Kikwete ?Rugemalira alishika kila mmoja. Kuanzia Ikulu ya Jakaya Kikwete, TAKUKURU, mahakama, BoT, hazina, ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali, viongozi wa madhehebu ya kidini na hata baadhi ya mawaziri wa zamani wenye ushawishi serikalini,” ameeleza kiongozi mmoja mwandamizi kutoka Ikulu.
Hahahhahaha!!! Badala kusema Maaskofu na Benki ya Kanisa Katoliki Mkombozi, mnajifanya kuandika viongozi wa madhehebu ya dini.
Wagalatia bana....
Mbowe anaendesha gari LA serikali na analipwa mshahara kama KUB.kwani analipwa na serikali huo mashahara?
sasa mbona vyama vyote vinapokea ruzuku toka serikalini sasa why umempick only mboe?Mbowe anaendesha gari LA serikali na analipwa mshahara kama KUB.
Pia anapokea ruzuku ya chadema kutoka serikalini.
Kwa hiyo ni vizuri akaweka wazi mshahara.
Sheria zetu zina mapungufu mkubwa sana, mkikurupuka na kupeleka watu mahakamani tutaishia kushindwa.
Magufuli hawezi ingia kwenye mitego hiyo.
Lakini tujifunze kuthamini kazi za wenzetu, Escrow ni Billion 350, then unasema JPM ana deal na vidagaa.
Kweli TCRA over 600 Billion
TRA zaidi ya Trillio 3
MSD over Bill 100
Taratibu tutafika tunapotaka kufika
hiloooo limeumbuka kimbelembele tuu jamvin
hiloooo limeumbuka kimbelembele tuu jamvin
Nilishasema kama magufuli amezaliwa mwanaume,akamate hawa wa escrow. Otherwise anaonea watu.
Akamate ESCROW uone kama watu watalalamika. Huko ndiko kwenye mahela, sio huko kwenye mke wa waziri anakoromeana na trafikiMnalalamika nchi imeoza, wakikamuliwa waliooza pia mnalalamika, kila kitu kwenu ni kulalamika, wanafiki wakubwa!
Habari zako mama! Kanisa Katoliki lipo pande zote duniani; hadi Iran. Huko hawamjui Ruge"madhehebu ya kidini", ukweli ni dhehebu moja tu tena ni la kanisa katoliki ndilo lililotumika.
Hakuna, katika Kiswahili, neno 'dhehebu'. Neno zima ni madhehebu. Kiambilishi ma- hapo siyo kiishiria cha wingi, bali ni shina la tamko, dada yangu.Hii sentensi si kweli:
"madhehebu ya kidini", ukweli ni dhehebu moja tu tena ni la kanisa katoliki ndilo lililotumika.
Kwanini mpotoshe na kusema "madhehebu"?
Cc BAK
Mimi nichangie hivi: Wakatoliki wanauwakilisha Ukristo, Wapentekoste, Wadventista na Walutheri wote hao ni Wakristo. Mmojawapo wa watumishi wa madhehebu hayo akipata shida ni shida ya Wakristo wote. Hatuwezi kusema hiyo ni ya Wakatoliki ama hiyo ni ya Walokole wa Kipentekoste. Ni Ukristo umepata shida. Walipochanganya mambo pale uwanja wa ndege miaka michache iliyopita, wale jamaa wa Sabato Masalia, wakidai wanao wito wa kwenda Ulaya yote kuhubiri, huku hawajazingatia utaratibu ambao wenzao katika Biblia (Akina Nehemia na Ezra) walizingatia ilikuwa ni aibu ya Ukristo si tu ya Wasabato. Kilichowapata ndugu zetu Wakatoliki hao watumishi kimetugusa wote tulio Wakristo. Tunatubu pamoja nao na tunamwomba Mungu kwa ajili yao tunachukuliana mizigo na kuombeana. Ni kweli jukumu la kuwarudi lipo kwa uongozi wa madhehebu yao moja kwa moja, sisi Wakristo tuliobaki hatuwezi kukwepa na kusema "Sio Mimi!" ama "Sio Sisi!" La Hasha! Bali tutasema Mungu tusaidie sisi Wakristo wenye dhambi tusamehe makosa yetu sisi sote na wenzetu hao uturehemu na utusaidie tusifanye hivyo tena. Hapo ndipo neema ya Mungu itakuja. Nawasilisha!Nafikiri sio dhehebu au kanisani katoliki bali viongozi wa kidini wawili kutoka kanisa katoliki ndio waliotajwa kwa majina!!!
Tuko kwenye hoja ya maslahi ya taifa hayo ya mbowe we mkewe mpaka ujue mshahara wake?Tunataka mshahara Wa Mbowe kwanza , mambo mengine baadae.
Akamate ESCROW uone kama watu watalalamika. Huko ndiko kwenye mahela, sio huko kwenye mke wa waziri anakoromeana na trafiki
Toka humo we! Hapa wanajadili mambo ya moto yanayounguza moyo wa ngosha wewe unazungumzia mambo ya mshahara! Nenda kwa Ndugai atakuambiaMbowe anaendesha gari LA serikali na analipwa mshahara kama KUB.
Pia anapokea ruzuku ya chadema kutoka serikalini.
Kwa hiyo ni vizuri akaweka wazi mshahara.
Wacha porojo. Lililohusika ni dhehebu moja la kikristo, Roman Catholic. Benki yao imetajwa na maaskofu wao wawili, Kilaini na Nzigirwa wote hao wa kanisa katoliki.Hakuna, katika Kiswahili, neno 'dhehebu'. Neno zima ni madhehebu. Kiambilishi ma- hapo siyo kiishiria cha wingi, bali ni shina la tamko, dada yangu.
Ni kama vile maji, mavu/i, maslahi, mamlaka, maskani,machweo, maisha, mauti....nk
Hivyo: madhehebu ya Kiislamu, Kinaswara, Kihindi, Kikalasinga n.k.
Nilishasema kama magufuli amezaliwa mwanaume,akamate hawa wa escrow. Otherwise anaonea watu.
Dhalilisha. Ndiyo Kiswahili, hicho kingine ni......nadhani kimatumbi.Mbona unamzalilisha huyo mungu wako ww
Jf!!! toka lini kukawa na dhambi ya jumla ya waislamu au wakristo?Mimi nichangie hivi: Wakatoliki wanauwakilisha Ukristo, Wapentekoste, Wadventista na Walutheri wote hao ni Wakristo. Mmojawapo wa watumishi wa madhehebu hayo akipata shida ni shida ya Wakristo wote. Hatuwezi kusema hiyo ni ya Wakatoliki ama hiyo ni ya Walokole wa Kipentekoste. Ni Ukristo umepata shida. Walipochanganya mambo pale uwanja wa ndege miaka michache iliyopita, wale jamaa wa Sabato Masalia, wakidai wanao wito wa kwenda Ulaya yote kuhubiri, huku hawajazingatia utaratibu ambao wenzao katika Biblia (Akina Nehemia na Ezra) walizingatia ilikuwa ni aibu ya Ukristo si tu ya Wasabato. Kilichowapata ndugu zetu Wakatoliki hao watumishi kimetugusa wote tulio Wakristo. Tunatubu pamoja nao na tunamwomba Mungu kwa ajili yao tunachukuliana mizigo na kuombeana. Ni kweli jukumu la kuwarudi lipo kwa uongozi wa madhehebu yao moja kwa moja, sisi Wakristo tuliobaki hatuwezi kukwepa na kusema "Sio Mimi!" ama "Sio Sisi!" La Hasha! Bali tutasema Mungu tusaidie sisi Wakristo wenye dhambi tusamehe makosa yetu sisi sote na wenzetu hao uturehemu na utusaidie tusifanye hivyo tena. Hapo ndipo neema ya Mungu itakuja. Nawasilisha!
Dhalilisha. Ndiyo Kiswahili, hicho kingine ni......nadhani kimatumbi.