Siri kuu kuhusu Escrow zafichuka

Uko sahihi, tena ikihusisha hata benki inajidai ya kanisa. Mkombozi. Wanajidai kuhubiri amani wakati ni walafi wa pesa na inavyoonekana ukabila pia ulitumika.
Mkuu kiongozi wa DINI akifanya mambo yake kwa ajili yake si sawa kusema kafanya kwaajili ya maboss zima au kanisa limehusika!! Shekhe akiiba cyo uislam unaruhusu wizi
 
Mkuu kiongozi wa DINI akifanya mambo yake kwa ajili yake si sawa kusema kafanya kwaajili ya maboss zima au kanisa limehusika!! Shekhe akiiba cyo uislam unaruhusu wizi
Ni kweli unachosema. Padri akiiba siyo kanisa na Sheikh akiiba siyo uislamu, lakini Padri aliyeiba anapoendelea kuenziwa na wafuasi wa kanisa ujue kuna tatizo na hilo kanisa. Au benki inapohusishwa kama taasisi bila kusikia lolote toka kanisani, ujue hilo kanisa lina taabu.

Hatujawahi sikia lolote toka kwa waumini kanisani katoliki tena sasa wengine nawasikia wakiomba msaada wa tetemeko la ardhi wakati mwaka jana tu walishindwa kutueleza pesa za escrow walipeleka wapi. Nani aamini kanisa la aina hiyo na viongozi wao?
 
Unaandika kama yule mama aliyepewa mil 10 za mboga vile! Naye alisema anamfahamu sana huyo mtoa pesa. Nawe naona unamfahamu saaana!
Acha hadithi. Unayemfahamu siyo huyo! Hadithi za BoT na nyingine zimeelezwa sana hapa JF. Naona ulikuwa hujajiunga na sasa unadhani una jipya la kueleza. Hapa JF mtu wako alishavuliwa nguo. siyo mgeni kwetu.

Padri akipewa pesa ya aina hiyo ni nini? Ada ya nini? Mbinguni? au zaka? Labda ukisema ilikuwa indulgence (kama unaijua) nitasema sawa ingawa enzi hizo zilishapita.
 
Atamuonea haya au hatamuonea haya?
 
sju kwanin watu hawana huruma na hii nchi. Tulio huku chini tunafanya kaz kwa bidii tena na kwa uzalendo wote pamoja na vipato kuwa chini sanaa,kumbe kuna wengine wanakula na kutapanya
 
Noma kweli !
 
Reactions: BAK
Anointed Holly Man Rugemalira
Duh!! Yaani Hawa Watu Buanaa!!
 
Hivi mtu haoni aibu kutoa kauli kwamba tumedanganywa na kuibiwa sana nchi hii mimi najua nilikuwa ndani ya Serikali, halafu inapokuja kwenye kuwachukulia hao wezi na wadanganyifu husika hafanyi lolote wala hatii neno!!!

CCM ni ileile mkuu .
 
Mkombozi imetakasa pesa chafu na hadi kilaini kapitishia pesa hizo kwenye account yake binafsi akasingizia ni sadaka. Kanisa limekaa kimya ila ukweli tunaujua huenda wametubu na wanaamini imetosha.
 
Mkuu, huwez kutenganisha padre na kanisa au shekhe na msikiti kwa kosa la huyo kiongozi maana yangu ni kwamba askofu yeye ni kiongoz wangu na sina mamlaka ya kumuhukumu kwa matendo hasa kuhusu mambo yke binafsi na cyo ya DINI!!!
Pia hiyo benk inafanya kaz km benk zingne kumbe km wafanyakazi wamefanya makosa au viongozi ndo wakulaumiwa na cyo kanisa km taasisi
 
Samahani Mkuu hivi Kagera aliyekua mkuu wa Mkoa ni Col Constantine Masawe au ni Col Fabian Masawe ??
 
Mkombozi imetakasa pesa chafu na hadi kilaini kapitishia pesa hizo kwenye account yake binafsi akasingizia ni sadaka. Kanisa limekaa kimya ila ukweli tunaujua huenda wametubu na wanaamini imetosha.
Kwakuwa ni taasisi ya kirumi,ipo salama.
 
Hii sentensi si kweli:
"madhehebu ya kidini", ukweli ni dhehebu moja tu tena ni la kanisa katoliki ndilo lililotumika.

Kwanini mpotoshe na kusema "madhehebu"?

Cc BAK
Umefanya vyema kuambatanisha kanisa katoliki na huu ufisadi. Lakini kumbuka pia watu wanapouambatanisha uislamu na mambo flani flani usitoe mapovu.

[HASHTAG]#ISIS[/HASHTAG]
[HASHTAG]#ALQUEDA[/HASHTAG]
......
.....
.....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…