sangujoseph
Senior Member
- Nov 30, 2015
- 164
- 184
Mkuu samahani.Hivi huyo kwenye avatar yako ni nani anajiliza kwa "madaha" hivyo?Siri Kubwa? Akiwa hai sikujua kama ana watoto wengi vile na hana mke.
hahhaaha usimuonee naye amejitahid kutoa sredi kwa siku ya leo. nikajua kuna mengineyo ya ndani ndani😊Sawa.Kwa hiyo sisi wazee hatumo kwenye hilo suala?
😂😂😂😂😂hauna maana huu uźi yale yaleNiko nasoma kwa sauti ili mama watoto naye asikie nini kipo kwenye hii thread,, ila umenipa kazi kubwa sana ya kusoma bila kutaja neno boss,, kumbuka Ruge hakuwa boss wa kila mtu,,
Nilikuwa naitafuta hiyo siri sikuiona.Yaani huyo al-marhum anaanzishiwa nyuzi utadhani itakapofika siku ya tatu atafufuka na kuwatokea pale Mawingu.hahhaaha usimuonee naye amejitahid kutoa sredi kwa siku ya leo. nikajua kuna mengineyo ya ndani ndani😊
Nilikuwa naitafuta hiyo siri sikuiona.Yaani huyo al-marhum anaanzishiwa nyuzi utadhani itakapofika siku ya tatu atafufuka na kuwatokea pale Mawingu.
uzi unatitle kubwa halafu ya ndani sasa
Niko nasoma kwa sauti ili mama watoto naye asikie nini kipo kwenye hii thread,, ila umenipa kazi kubwa sana ya kusoma bila kutaja neno boss,, kumbuka Ruge hakuwa boss wa kila mtu,,
Mimi pia nilikuwa sijui kama jamaa hakuwa na mke lakini alikuwa na watoto wengi hivi, kuna mdau kaomba kuonyeshwa watu 10 aliyowasaidia yeye ila mimi bila unafiki naomba mmoja tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na aliwatumia kweli kupata ''vicopy copy''.
By Sangu J
Wakati taifa hususani sisi vijana tukiwa kwenye huzuni kubwa kupotelewa kwa ndugu yetu #Ruge Mutahaba mimi napendelea kumuita ( KING OF YOUTH) kwa uhodari wa kuhakikisha anajitoa kwa ajili ya sisi vijana wa kitanzania ili tuweze kuleta mabadiliko chanya kwenye Taifa letu.
Inawezekana nimechelewa kwa sababu wakati naandika haya Boss Ruge hatunaye tena kwenye uso wa dunia na hawezi kujibu chochote kwa sababu tunayemsimulia ni mwili ambao mzee wangu Mengi aliuita jina la Kasha.
Nilibahatika kukutana naye mara chache lakini nilishuhudia kupokelewa kwa mwili wake na kikubwa nilichokigundua Boss Ruge aliwekeza zaidi kwa vijana, karibia 85% walikuwa ni vijana ambao ndiyo idadi kubwa ya watu tulijitokeza kumlaki Boss Ruge.
Somo pekee alilothibitisha na ametufunza Boss Ruge ukihitaji kufanikiwa kwenye jambo wahamasishe kwa kugusa maisha ya vijana na kuwajaza uzalendo juu ya TZ na ndiyo jambo kubwa lilimfanya Boss Ruge kutuunganisha vijana na kutambua thamani ya nchi, kulinda raslimali, kujua vijana ndiyo tunaotegemewa na kuivusha nchi hii kutoka tulipo ili kufikia uchumi wa kati.
.
#KijanaMzalendo #IloveTz #PumzikaRuge #SanguJoseph
Sent using Jamii Forums mobile app