hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 1,991
- 855
Unasema Tu assume Dunia ni flat,..... Flatness ya Dunia sio assumption ndiyo reality ambayo macho yako yanaona siku zote ila fikra zako ndiyo zimekua corrupted kiasi ambacho hutaki kuyaamini macho yako.Kwanza tu assume dunia ni flat lakini pia jua haliko mabilioni miles na linazunguka juu ya uso wadunia ndani ya dome.
Yes ni kweli kadri kitu kinavyozidi kwenda mbali ndiyo kinaonekana kuwa kidogo zaidi(although size yake actually inabaki constant)Naamini unajua a very simple science kwamba kitu kinavyo kwenda mbali kinazidi kuonekana kidogo mwishowe huonekana kupotea kutokana na upeo wa macho.... but still unaweza kukiona kwa darubini.
Unaweza kuelezea vipi jua lnalozunguka juu ya dunia flat kuchomoza na kuzama kwa muonekano wa ukubwa ule ule namna hii 👇👇
Lakini unapaswa ufahamu kwamba Darubini na yenyewe ina ukomo wa kuona so itashindwa kukuonyesha Jua, endapo Jua litafika umbali na point fulani.
Nikija kwenye swali lako,... kinachofanya Jua lionekane kubwa during sunset and sunrise ni "REFRACTION(Bending )OF SUN'S LIGHT" so it's just an Illusion ambapo due to this unequal bending of light from the vertical diameter the image of the sun gets distorted so it appears oval and larger..... Na hii inatokea Tu pale ambapo Jua linakua at the horizon based on observer's line of sight....