Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    570
Kama unahisi hatujasoma, basi tuelezee vzr Kwa kujibu hoja hizo(debunk) sio unazunguka sana sasa nani atakuamini au kukuelewa
Elimu ipo itafute kabla ya kuipinga... Then ukirudi baada ya kuipata njoo useme hawa wanasema kwa utafiti wao wa kisayansi mchana na usiku unapatikana hivi na sisi yunasema hivi... hapo nitaamini unaweza kujoji na ukajibiwa kihoja.. hapa umejiandaa kupinga hautaweza kujifunza chochote..
 
Katika mengi uliyonijibu niishie kukibali hatukubaliani.. na katika hili nikuache na swali..
Elimu uliyonayo juu ya umbo la dunia, ilianza kuipata kwa kuhoji au bila hiyari yako ulijikuta unafundishwa kilazoma?

Vopi kwa hii ya flatealth unalazimisha nikifundishe kwa kinohoji?
Aiseeee
 
Picha mbona ina maelezo mkuu,...inasema hivi "No Curvature means no Tufe"

Hicho ndiyo inacho prove,.. naamini nimejibu swali lako.
Ok
Kwahiyo hii ndio proof dunia sio tufe
Hongera mkuu wewe ni genius 😂
 
Umeuliza ina prove nini?

Hujasema unataka prove.....au huoni kama hizo statements ni tofauti?

Inashangaza.
ukiona picha kama hii unaona kama vile NASA wako busy kulinda uongo wao mkuu
 
Attachments

  • BC37B641-D0C3-4603-B674-86BCBC914CE6.png
    BC37B641-D0C3-4603-B674-86BCBC914CE6.png
    385.6 KB · Views: 6
ukiona picha kama hii unaona kama vile NASA wako busy kulinda uongo wao mkuu
Kuhusu umbo la Dunia na whether inazunguka or not,...Mimi natumia akili yangu Tu,

So sizingatii sana kama NASA wanadanganya/not.
 
Kuhusu umbo la Dunia na whether inazunguka or not,...Mimi natumia akili yangu Tu,

So sizingatii sana kama NASA wanadanganya/not.
Hapa sasa nimekuelewa mkuu

Kwasababu FACT na akili yako vinaweza kuwa vitu viwili tofauti
 
Hapa sasa nimekuelewa mkuu

Kwasababu FACT na akili yako vinaweza kuwa vitu viwili tofauti
Sahihi,..akili ndiyo inatufanya tujue kipi ni fact na kipi si sahihi.......

Mtu asiyetaka kutumia akili yake atajua vipi kuhusu fact?
 
Kama Dunia ni Tufe linalozunguka 👉🏼 🌍 kwanini large water bodies kama vile bahari na maziwa yana appear flat and level,......?

Na hiyo haitoshi,.....ni kipi kinachoshikilia maji yasimwagike away from Dunia Tufe ikiwa Dunia yenye umbo la namna hiyo inazunguka Kwa Kasi mno.

Je, kuna uthibitisho wowote unaoonyesha namna maji yanavyoshikiliwa kwenye dunia Tufe linalozunguka,... apart from nadharia?

Nadhani hayo ni baadhi ya maswali machache fikirishi,.... ambayo mpaka sasa hayajapatiwa majibu ya kueleweka.
 
Kama Dunia ni Tufe linalozunguka 👉🏼 🌍 kwanini large water bodies kama vile bahari na maziwa yana appear flat and level,......?
Ingekuwa flat ungeona to infinity, hauoni to infinity kwa sababu haipo flat kuna mfano ulipewa wa taa za zanzibar ukiwa kwenye pwani ya dar. Hazionekani ukiwa kwenye pwani ya bahari ila zinaonekana ukiwa juu ya jengo refu.
Na hiyo haitoshi,.....ni kipi kinachoshikilia maji yasimwagike away from Dunia Tufe ikiwa Dunia yenye umbo la namna hiyo inazunguka Kwa Kasi mno.

Je, kuna uthibitisho wowote unaoonyesha namna maji yanavyoshikiliwa kwenye dunia Tufe linalozunguka,... apart from nadharia?
Kinachoshikilia maji yasimwagike ndo hicho hicho kinachoshikilia vitu vyote visimwagike.

Kwa bajeti ya chini ya 100000/- unaweza kufanya experimentation nyumbani kwako zinazoweza kukuonesha ni vipi dunia ingebehave kama ingekua tufe au sahani.
Katika baadhi ya taaluma, kitu kinachoitwa simulation ni muhimu sana hasa kwenye kupunguza cost, kusave time na kuzuia ajali.
Badala ya kutegeneza kitu katika scale yake unategeneza katika small scale, unajifunza kinavyofanya kazi, baada ya hapo unaweza kuscale up. Tabia za dunia zinaweza kuwa simulated kwa bajeti chini ya 100000/-

Gravitational constant, radius ya dunia unaweza hata wewe kuzitafuta kwa kupitia experiment utakazoamua kuzifanya. Jana nimejifunza kuwa hata latitude yako unaweza kuipata kwa measurement pekee.

Nasa sio wagunduzi wa shape ya dunia, shape ya sphere imekuwa ikijulikana tangu miaka 2000 iliyopita, kuna nchi nyingi sana zilizoweza kutoka nje ya dunia au kurusha vifaa nje ya dunia hazina sababu ya msingi ya kuendeleza uongo.

Mkuu nakushauri panga safari ya kwenda Antarctica, kule utapa majibu ya maswali yako.
Ps:
kuna nchi huko ambazo jua halizami kwa miezi kadhaa na likizama halichomozi kwa miezi kadhaa
kuna website huko ambayo inauwezo wa kusema ni nyota zipi zinaweza kuonekana leo kulingana na location yako, eclipses na kadhalika.
 
Ingekuwa flat ungeona to infinity, hauoni to infinity kwa sababu haipo flat kuna mfano ulipewa wa taa za zanzibar ukiwa kwenye pwani ya dar. Hazionekani ukiwa kwenye pwani ya bahari ila zinaonekana ukiwa juu ya jengo refu.
Hujajibu swali mkuu,.... nimeuliza 👉🏼kwanini large water bodies kama vile bahari na maziwa always yana appear flat and level,......?
 
Kinachoshikilia maji yasimwagike ndo hicho hicho kinachoshikilia vitu vyote visimwagike.
Kwa maana hiyo unasema,...Dunia inazunguka Kwa Kasi lakini maji hayamwagiki, si ndiyo?

Kama jibu ni ndiyo, Je una uthibitisho wa unachokisema?

Namaanisha ushawahi kufanya observation yoyote na ukaona Dunia inazunguka whilst maji yamestick kwenye dunia Tufe?
 
Hujajibu swali mkuu,.... nimeuliza 👉🏼kwanini large water bodies kama vile bahari na maziwa always yana appear flat and level,......?
Yangekuwa yanaappear flat ungeona mpaka mwisho wa dunia kama vile unavyoweza kuona nyota na vitu vilivyopo kwenye anga la mbali
 
Sahihi,..akili ndiyo inatufanya tujue kipi ni fact na kipi si sahihi.......

Mtu asiyetaka kutumia akili yake atajua vipi kuhusu fact?
Fact ni fact tu ama uwe na akili au usiwenazo

Kama akili zako zinakufanya uamini jua lina ukubwa kama mpira wa miguu kwasababu ndivyo unavyoliona hizo zitakua ni akili zako tu na sio FACT
 
Kwa maana hiyo unasema,...Dunia inazunguka Kwa Kasi lakini maji hayamwagiki, si ndiyo?

Kama jibu ni ndiyo, Je una uthibitisho wa unachokisema?

Namaanisha ushawahi kufanya observation yoyote na ukaona Dunia inazunguka whilst maji yamestick kwenye dunia Tufe?
Kwani mchanga wa kwenye desert unabehave tofauti???
Evidence ya rotation ya dunia ndo hiyo hiyo inayoweza kukusaidia wewe siku moja kujua latitude yako bila kutumia electronic devices.
Alafu pia hiyo "inazunguka kwa kasi" ukumbuke inatumia masaa 24 kumaliza mzunguko mmoja.
Jaribu kuzunguka kwa hii speed, alafu urudi kuuliza tena swali lako, pia zingatia kuna kitu kinaitwa acceleration, ukiwa kwenye gari unaweza kunywa chai vizuri tu kama gari linamaintain speed au linaaccelerate taratibu sana, ila kinyume chake ni ngumu.
 
Fact ni fact tu ama uwe na akili au usiwenazo

Kama akili zako zinakufanya uamini jua lina ukubwa kama mpira wa miguu kwasababu ndivyo unavyoliona hizo zitakua ni akili zako tu na sio FACT
Fact na kujua kuhusu fact ni vitu viwili tofauti.....fact always ipo kama ilivyo ila kujua kuhusu fact ndiyo itakubidi utumie akili.

Kama akili zako zinakufanya uamini kwamba unahitaji Dunia ziwe takribani 109.86 ili ziweze kufit ndani ya Jua,.hizo pia zitakua ni akili zako Tu na sio fact.

So,ikiwa ninachokiamini Kwa upande wako unaona si fact basi na Mimi Nina room hiyo hiyo ya kuona unachokiamini sio fact,.. unless uwe na uthibitisho usio na shaka kuhusu madai yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom