Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    561
Hivi we jamaa unajielewa kweli ? unazungumzia video ipi ?
Hiii nliyoituma mwishoni ?
Mimi najielewa vizuri,...inafaa ujihofie mwenyewe.

Yes,.nazungumzia video ya mwisho uliyotuma,. Kwanini usitazame kila ambacho unakiona nje kupitia kioo cha Ndege na badala yake una focus na CGI map uliyowekea hapo? Huoni kama una matatizo makubwa?
 
Kwa kutumia COMPASS tu unaweza kuthibitisha dunia ni duara

Kwa kutumia app ya Google map tu unawezaku navigate kujua umbo la dunia

Kwa kuangalia anga la dunia tu unaweza kubaini umbo la dunia
 
hapa ni kwa mkapa.
20240420_171707.jpg
 
Kwa kutumia COMPASS tu unaweza kuthibitisha dunia ni duara

Kwa kutumia app ya Google map tu unawezaku navigate kujua umbo la dunia

Kwa kuangalia anga la dunia tu unaweza kubaini umbo la dunia
Endelea kujifunza zaidi...
 
Mimi najielewa vizuri,...inafaa ujihofie mwenyewe.

Yes,.nazungumzia video ya mwisho uliyotuma,. Kwanini usitazame kila ambacho unakiona nje kupitia kioo cha Ndege na badala yake una focus na CGI map uliyowekea hapo? Huoni kama una matatizo makubwa?
Wewe endelea kukariri, Maana ndio jambo pekee unaloliweza
 
Mtu aliposema kwamba air resistance hutokea pale tu object inapokwenda juu pekee, ndipo nilipojua huu Uzi tunabishana hoja na vilaza wanaojiona wanajua.
 
Sawa siielewi basi nipe hiyo elimu kupitia hayo maswali 😀
Katika mengi uliyonijibu niishie kukibali hatukubaliani.. na katika hili nikuache na swali..
Elimu uliyonayo juu ya umbo la dunia, ilianza kuipata kwa kuhoji au bila hiyari yako ulijikuta unafundishwa kilazoma?

Vopi kwa hii ya flatealth unalazimisha nikifundishe kwa kinohoji?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom