Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    562
Choosing route, means route zipo na sijasema Kuna route Moja, ww unasema ndege inajiamulia route,
Kwa kuwa anga lipo void Ndege inaweza kuamua ipite wapi kulingana na scenarios tofauti tofauti.....na ikashaamua kupita path Fulani basi hiyo path ndiyo tunaiita route ....sasa njia(route)hizo hazina curve yoyote., kwenye michoro ambayo ni nadharia tu ndiyo utaona curve.

Can something which is void be curved/bend?
 
Wewe ndio huitumii akili, Anga ni la Dunia na Dunia ni duara sasa ukipitia angani kutoka point Moja ya Dunia mpk point nyingne ambayo kimsingi ipo mbali automatically utafata curvature,

Ww akili yako unadhani angankuna route inaonekana
Dunia sio Duara,.....na Ndege haiwezi automatically kufuata curvature,.lazima action ya kufuata curvature ihusike kitu ambacho hakitokei Ndege zinasafiri bila kufuata the so called curve..... Ndege zinasafiri horizontally over a flat surface na ndio maana zikaitwa "AeroPLANE "

Kwa mfano Ndege ikisafiri in the straight line without bending to the curve,..Je haitoweza kufika to the desired destination?
 
Ndiyo maana huwa nasema kwamba upo addicted na videos & picha....... ukiangalia vizuri nje kupitia kioo cha Ndege unaona kabisa jinsi Dunia ilivyo flat cha kushangaza umeamua kuangalia hiyo picha na sio uhalisia unaouona nje.
Ati nipo addicted na picha&video

Ndugu ulitaka niwe addicted na maneno matupu ? Sio wewe ambae huwa unaomba video au picha inayoonyesha curve ? Au sio wewe

Picha au video isingekua muhimu, usingekua unahitaji picha za hivyo vitu unavyoviomba.

Na je ina maana umeshindwa kutambua nmekutumia hiyo clip kwa lengo gani na kwanini ?
 
Unauliza kitu alafu unanicondition Kwa vitu vya kijinga, alafu unaropoka et ndege zinajichagulia route zinazotaka zenyewe yaan kwamba ukitaka kwenda marekani ndege niaamua tu yenyewe, Sasa naona nakuja kama najadiriana na mtu ambae hajielew
Huyu mwamba sio ujinga tu, nna wasi wasi na afya yake ya akili
 
Kabla ya kuangalia michoro kwanini usifocus na uhalisia?

Huoni kama michoro inaku distract na uhalisia ulivyo?
Sasa uhalisia utauonesha vipi? Mbona inazidi kuwa mjinga? Wewe mwenyewe ulisema ndege zina adjust altitude Ili kufata designated path, sasa embu nambie huko angani ulienda utaziona hizo path? Ni imaginary lines zinazokuwa generated Kwa kuziangatia route path ya ndege angani, Sasa ww unataka nikupeleke ukaona hizo path? Utakuwa unatatizo kwenye ubongo wako
 
Kwa kuwa anga lipo void Ndege inaweza kuamua ipite wapi kulingana na scenarios tofauti tofauti.....na ikashaamua kupita path Fulani basi hiyo path ndiyo tunaiita route ....sasa njia(route)hizo hazina curve yoyote., kwenye michoro ambayo ni nadharia tu ndiyo utaona curve.

Can something which is void be curved/bend?
Sasa kwann watumia michoro ambayo Haina uhalisia na route Yao?? Wewe utakuwa na matatizo, ndege haiamui ipite popote na ndio maana Kuna mtu anaecontrol na kuwasiliana na rubani Ili kuwezesha ndege ipite kwenye route inayotakiwa na sio inapita inavyotaka yenyewe.

Scenerio zipo zinazoweza kufanya ndege ubadirishe route tena Kwa sababu maalimu, note ibadirishe route means route hiyo ipo na sio ruban anaamka anaamua tu ngoja nikunjie hapa nitokee kule huo utakuwa ni upumbavu
 
Kwa hiyo ikatokea kundi la watu wakasafiri kulizunguka bara la Atlantica, then case closed?
Sasa utasafirisha wote? Ambao hawatasafiri Bado watakataa na kudai walioenda wamenunuliwa,

We imagine tu watu kwanza wanaamini tunadanganywa yaani nchi zote, mamlaka zote za hapa duniani zinatudanganya😀 yaani Hata Elimu tunayopewa tunadanganywa though wanavyovikataa ndo ivo ivo tunavyofundishwa kwenye mafunzo mbali mbali na kozi mbalimbali za sayansi na tunavi apply daily na vina work out, Bado mtu anakuja anakataa,
 
Kwa hiyo ikatokea kundi la watu wakasafiri kulizunguka bara la Atlantica, then case closed?
Nadharia ya Dunia kuwa flat ni ya zamani sana kabla teknolojia haijakuwa na ilifindishwa hapo zamani kama nadharia tu lkn Kwa Sasa umbo la Dunia sio hoja tena.

Ati nipo addicted na picha&video

Ndugu ulitaka niwe addicted na maneno matupu ? Sio wewe ambae huwa unaomba video au picha inayoonyesha curve ? Au sio wewe

Picha au video isingekua muhimu, usingekua unahitaji picha za hivyo vitu unavyoviomba.

Na je ina maana umeshindwa kutambua nmekutumia hiyo clip kwa lengo gani na kwanini ?
Ungekua na akili yenye afya,... ungejua kutofautisha Kati ya CGI na real pictures,....sasa shida yako ni kwamba unataka uone uhalisia kwa kutumia CGI'S huoni haiingii akilini.

Ninapokuambia ulete picha namaanisha real ones na sio CGI'S.
 
Hivi we jamaa unajielewa kweli ? unazungumzia video ipi ?
Hiii nliyoituma mwishoni ?
 
Hivi we jamaa unajielewa kweli ? unazungumzia video ipi ?
Hiii nliyoituma mwishoni ?
Huyu jamaa ni mgonjwa, sasa kama mtu anakwambia umletee ushahidi wa route za ndege alafu anakwambia usilete michoro, sasa sijui anataka nilete barabara ya ndege,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom