Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,406
- 3,397
Flat earthers empty setInaonekana Flat Earther wameshinda sababu Ellipsoidal Earther wameshindwa kujipambanua kuhakiki nadharia zao au labda Elimu yao ni ndogo, na huu mjadala umewazidi
Flat earthers empty setInaonekana Flat Earther wameshinda sababu Ellipsoidal Earther wameshindwa kujipambanua kuhakiki nadharia zao au labda Elimu yao ni ndogo, na huu mjadala umewazidi
Kwasababu hakuna uthibitisho juu ya uwepo wake kwenye uhalisia,...ilipaswa tuone kweli jinsi gravity inavyoshikilia maji kwenye dunia Tufe.
Lakini pia kama gravity ni force yenye nguvu kubwa ya kuvuta kila kitu towards the center of the earth..... let's say inaweza kumvuta kiumbe mkubwa kama Tembo towards the center of the earth,...then how inashindwa kumzuia kiumbe mdogo kama Tai(Eagle) asifanye flight?
Daah 😂😂, nimesema mlima upo stationary nikichukulia reference earth ground, yaan gari inamove wrt ground while mlima upo stationary wrt earth ground,Refraction haifanyi kitu kipotee,..bali hupelekea kitu kubend na kuonekana ni kikubwa kuliko uhalisia wake.
Umeandika maelezo mengi lakini Mimi naomba nikuulize swali moja Tu mtaalamu,.....
1. Je, Jua lipo stationary as you are trying to claim here?, mpaka umeufananisha na Mlima(at,the same time unaamini Mlima haupo stationary una move pamoja na Dunia,..kisha hapa unasema Mlima upo stationary,Gari ndiyo lina move!
KIVUMBI LEO....
Uthibitisho Gani unaoutaka? Yaani unataka uzionee hizo force zinazovuta vitu kwenye Dunia serious?Kwasababu hakuna uthibitisho juu ya uwepo wake kwenye uhalisia,...ilipaswa tuone kweli jinsi gravity inavyoshikilia maji kwenye dunia Tufe.
Lakini pia kama gravity ni force yenye nguvu kubwa ya kuvuta kila kitu towards the center of the earth..... let's say inaweza kumvuta kiumbe mkubwa kama Tembo towards the center of the earth,...then how inashindwa kumzuia kiumbe mdogo kama Tai(Eagle) asifanye flight?
Alafu Ili tusisumbuane sana, unatakiwa ujibu hoja zifuatazo bila kurukaruka Kwa sababu hoja za Dunia ni tufe zipo straight. ukishajibu then tutaendelea kuhusu Dunia tufe.Kwasababu hakuna uthibitisho juu ya uwepo wake kwenye uhalisia,...ilipaswa tuone kweli jinsi gravity inavyoshikilia maji kwenye dunia Tufe.
Lakini pia kama gravity ni force yenye nguvu kubwa ya kuvuta kila kitu towards the center of the earth..... let's say inaweza kumvuta kiumbe mkubwa kama Tembo towards the center of the earth,...then how inashindwa kumzuia kiumbe mdogo kama Tai(Eagle) asifanye flight?
Umekimbiaaa? Njooo uelezee hakuna kuruka ruka kama maharageSimple sana nakutafutia link soon nitashare upate elimu.
Una kilanga sana, maswali yangu hujibu ila yako unataka yajibiwe, kesho asubuhi ukiamka utakutana na jibu lakoUmekimbiaaa? Njooo uelezee hakuna kuruka ruka kama maharage
Gravity ni hoax kijana,Uthibitisho Gani unaoutaka? Yaani unataka uzionee hizo force zinazovuta vitu kwenye Dunia serious?
Sasa ndugu hujui ni mechanism Gani inafanya ndege mnyama aweze kuruka angani? Aya huyo eagle asipo tanua mbawa zake na kuzipeperusha je ataendelea kukaa angani?
Ni uelewa mdogo tu unahitajika kuelewa kuwa eagle au ndege yeyote hutanua mbawa zao na kupushi air downward or backward Ili waweze kumove upward and foward. Nadhani nimekujibu.
Je wewe unadhani ni kitu gani kinafanya vitu fall back to ground kama sio gravity.
Wanadanganya kwa sababu zipi ?NASA wanajua Dunia ni flat ila ndo hivyo wanafanya kazi kwa maslahi ya Satan kuendekea kuwadanganya dunia ni .
Van braun baada ya kufa aliamua kuwambia ukweli wa hii Dunia, ila kwakua akili zetu zimefungwa hatung’amui.
Majibu hadi utafutize ndio ujibu watu,Una kilanga sana, maswali yangu hujibu ila yako unataka yajibiwe, kesho asubuhi ukiamka utakutana na jibu lako
Umekuja kujibu kitu hakikuhusu tena bila maelezo, nimekwambia acha kuruka ruka.Gravity ni hoax kijana,
Swali Gani sijajibu ndugu muulizaji?Una kilanga sana, maswali yangu hujibu ila yako unataka yajibiwe, kesho asubuhi ukiamka utakutana na jibu lako
Si nimekwambia Hawa jamaa Wana mtindio wa ubongo, subiri utaona kama watajibu maswali.Majibu hadi utafutize ndio ujibu watu,
Yani unatetea kitu ambacho majibu hauna vituko hivi
Wanaruka ruka tu,Si nimekwambia Hawa jamaa Wana mtindio wa ubongo, subiri utaona kama watajibu maswali.
Okay..andaa Peni na Notebook.Si nimekwambia Hawa jamaa Wana mtindio wa ubongo, subiri utaona kama watajibu maswali.
Tuanzie hapa,..kuna swali la msingi sana nimekuuliza lakini umekwepa kulijibu....nitakurudishia hapa👇🏼Lab
Daah 😂😂, nimesema mlima upo stationary nikichukulia reference earth ground, yaan gari inamove wrt ground while mlima upo stationary wrt earth ground,
Sio kuona force zinavyovuta vitu,..ila tunataka atleast evidence moja tu ambayo itaonyesha jinsi gravity inavyoweza kushikilia maji kwenye dunia Tufe.....Najua unajiuliza itawezekanaje ushahidi wa aina hiyo?......Uthibitisho Gani unaoutaka? Yaani unataka uzionee hizo force zinazovuta vitu kwenye Dunia serious?
Sasa ndiyo ufahamu kwamba kinachofanya huwezi kuruka juu ni kukosa mechanism ya kupaa tu, mechanism ambayo Ndege na Wadudu wengine wadogo wamepewa.,na sio kwamba gravity imekuzuia/kukuvuta.Sasa ndugu hujui ni mechanism Gani inafanya ndege mnyama aweze kuruka angani? Aya huyo eagle asipo tanua mbawa zake na kuzipeperusha je ataendelea kukaa angani?
Ni uelewa mdogo tu unahitajika kuelewa kuwa eagle au ndege yeyote hutanua mbawa zao na kupushi air downward or backward Ili waweze kumove upward and foward. Nadhani nimekujibu.
Je wewe unadhani ni kitu gani kinafanya vitu fall back to ground kama sio gravity.
Jua lipo stationary bila shaka kabisa,Tuanzie hapa,..kuna swali la msingi sana nimekuuliza lakini umekwepa kulijibu....nitakurudishia hapa👇🏼
1. Je, Jua lipo stationary as you are trying to claim here?
Na,. hivi unaona unavyojichanganya?....
kwanini unachukulia Earth Ground ni stationary,...wakati Kwa imani yako Dunia na Ground yake zina move? Logically haiingii akilini!
Na,.Kwa kuwa umesema hakuna kukimbia maswali....naomba pia usiruke swali hata moja ukikosea sema na ukiwa hujui pia sema.
Tuanzie hapa,..kuna swali la msingi sana nimekuuliza lakini umekwepa kulijibu....nitakurudishia hapa👇🏼
1. Je, Jua lipo stationary as you are trying to claim here?
Na,. hivi unaona unavyojichanganya?....
kwanini unachukulia Earth Ground ni stationary,...wakati Kwa imani yako Dunia na Ground yake zina move? Logically haiingii akilini!
Na,.Kwa kuwa umesema hakuna kukimbia maswali....naomba pia usiruke swali hata moja ukikosea sema na ukiwa hujui pia sema.
hateeb10 naww usiruke maswali ndo kitu huwezi.Alafu Ili tusisumbuane sana, unatakiwa ujibu hoja zifuatazo bila kurukaruka Kwa sababu hoja za Dunia ni tufe zipo straight. ukishajibu then tutaendelea kuhusu Dunia tufe.
1. Kama sio gravity ni nini?
2. How eclipses occurs including lunar phases?
3. Unaamini ramani za mabara zilizopo?
4. How sun set/rise occur, nakuruhusu kuelezea upupu wako wa refraction.