Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    545
Anhaa kwahiyo hujui?

Subiri nitakuletea hapa...stay tune
Miaka ya zamani kila mtu alikua anadhani Dunia ni flat,

Watu walioshughulisha bongo zao ambao hawakutaka kuchukulia mambo kwa kukariri kama walivyoyakuta waliamua kufanya tafiti na taratibu safari ya maendeleo kuanza kuijua Dunia na ulimwengu kwa pamoja ikaanza.

So chochote kinachoibuliwa sasa hivi kuhusu ulimwengu ni maendeleo kwenye mambo yanayohusu anga.
 
In 1543, Nicolaus Copernicus, a Renaissance mathematician and astronomer, who formulated a model of the universe that placed the Sun rather than Earth at its center. In his model, the Sun is fixed, and all other "spheres" revolve around the Sun (Copernicus saw the planets as being spheres in perfectly circular orbits).

Unamjua Copernicus?!.....nenda kamsome ndiyo father wa Imani yenu ya Heliocentric model/theory
 
Okay sasa umetafuta maelezo umeyapata,

Soma vizuri alafu ujiulize shida iko wapi hapo ? ( Nliita ni maendeleo kwasababu hiyo ilikua ni hatua kwenda kwenye hatua nyingine )

Ndio maana nmekwambia tumalize kuhusu Dunia tufe ndipo ueleweshwe kuhusu haya mengine ambayo yanaweza kukupasua hata ubongo na kukufanya hayawani kwa muda usiojulikana.
 
1. Jua halipotei Kwa kuzama ni perspective tu ambayo probably inatokana na refraction ya mwanga unapopita kwenye maji.... angalia distance ya Jua na Dunia kisha jiulize how come useme Jua linapotea Kwa kuzama?

2. Jua linakua na muonekano mkubwa wakati wa sunset na sunrise kutokana na optical illusion inayosababishwa na effect ya refraction ya mwanga wa Jua tu kama nilivyosema hapo juu kwenye case ya kuzama Kwa Jua,...na sio kwamba ndiyo uhalisia wake upo hivyo.
Yaan kuhusu Dunia kuwa Duara unapinga Kwa kutuambia tutumie akili ya tunachokiona ila Jua kuzama ndo unaleta habari za perspective. Stop being ignorant.
 
Soma vizuri alafu ujiulize shida iko wapi hapo ? ( Nliita ni maendeleo kwasababu hiyo ilikua ni hatua kwenda kwenye hatua nyingine )
So,. Unakubaliana na Father of Heliocentric Theories kwamba Jua lipo fixed?

Shida ni kwamba,hao unaowaaamini pia wanakosea na wanabadilisha yale wanayoyaamini.....sasa siku wakisema dunia na yenyewe ipo fixed sijui utakua kwenye hali gani.
 
Yaan kuhusu Dunia kuwa Duara unapinga Kwa kutuambia tutumie akili ya tunachokiona ila Jua kuzama ndo unaleta habari za perspective. Stop being ignorant.
Kwani ili ujue kwamba umeona kitu wrongfully Kwasababu ya perspective,... hutumii akili ya ulichokiona?

Yani nikidumbukiza mti kwenye ndoo yenye maji kisha nikaona umepinda......macho hayo hayo ndiyo nitayatumia ili kujua kama nilichokiona ni real or just a refraction
 
Mbona unashindwa kuelezea sasa, Jua ipo juu kwa mujibu wenu kadri linavyoenda mbali lingepotea kwa kufifia taratibu...Kivipi lipotee kwa mtindo huo ? Akili yako haisadiki kama Dunia inazunguka bro ?
Nimeshakwambia utachoka Bure, he can't even explain what he says. Anaruka ruka tu.

Usihangaikenae, Kuna vitu vingi tu vinaoperate Kwa kutumia nadharia(ambayo saivi ni fact) ya Dunia ni ellipsoidal.

Kila kinachoweza kuelezea umbo la Dunia kuwa ni tufe wanakitoa wanasema hakipo, watasema hakuna gravity Bali ni density mara buoyancy, saivi wameanza kukataa Jua kuzama, hivo hivo watakataa as long as vitathibitisha umbo la Dunia ambayo sio tufe.

So nakushauri achananae he add nothing to your head, atleast angekuwa straight na ana-make sense, yeye anarukaruka na kukataa vitu na kukimbia maswali.
 
Kwani ili ujue kwamba umeona kitu wrongfully Kwasababu ya perspective,... hutumii akili ya ulichokiona?

Yani nikidumbukiza mti kwenye ndoo yenye maji kisha nikaona umepinda......macho hayo hayo ndiyo nitayatumia ili kujua kama nilichokiona ni real or just a refraction
Nimekwambia stop being ignorant.
Kwamba tunachokiona ni refraction? How refraction inafanya kitu kipotee kisionekane, How?

Kwa experience na logic ya kawaida tu mwanga au kitu chochote kinapokuwa kinaenda mbali zaidi yako ulipo kinapungua size means Kwa Jua litapungua size Kwa nadharia yako, but tunachoona ni Jua linaonekana kuwa Kubwa zaidi, ukitumia akili utakuwa umenielewa.

Alafu unapokaza kichwa kusema tunaona Jua linamove, lini umeona Jua linamove ww ni lini hiyo?, em kaa angalia Jua Kwa muda nambie kama unaona linamove.

Kinachotokea ni kwamba after some time utaona Jua halipo kwenye position lililokuwepo. Ukitaka kuelewa nachosema, ulishawahi kusafiri alafu upo ndani ya gari unaona mlima upo Kwa mbali tuseme upo kulia mwa direction mnayoenda, mlima upo stationary nanyi mna-move lakin utakuwa unaona mlima upo pale pale(position) lakn after some time ndo utaona mmeupita mlima.
Kama pia utatumia akili utanielewa.
 
Hana pa kuyatolea majibu,.. Kwasababu hata anaowategemea pia hawana majibu.

Some people have left others to think on their behalf..."
Wazungu 80% wanajua ukweli wa hii Dunia, pia nafurahi kuona watu wanaamka
 
Attachments

  • IMG_5844.jpeg
    IMG_5844.jpeg
    81.7 KB · Views: 6
Hivi unajua kama mwanzo hao unaowaaamini 100%...walisema Jua lipo "fixed"?

Baadae wakachunguza wakabadilisha wakasema na Jua lina move pia...

Sasa siku usishangae wakibadilka na kusema "Dunia ipo fixed!"

Kwa bahati mbaya huenda theories zikibadilika in the future Mimi na wewe hatutokua hai.
Mpka kufikia mwaka 1960 ramani ya Dunia ilikuwa ni flat, baada ya NASA kuundwa kila kitu kikabadilika😂
 
Nimeshakwambia utachoka Bure, he can't even explain what he says. Anaruka ruka tu.

Usihangaikenae, Kuna vitu vingi tu vinaoperate Kwa kutumia nadharia(ambayo saivi ni fact) ya Dunia ni ellipsoidal.

Kila kinachoweza kuelezea umbo la Dunia kuwa ni tufe wanakitoa wanasema hakipo, watasema hakuna gravity Bali ni density mara buoyancy, saivi wameanza kukataa Jua kuzama, hivo hivo watakataa as long as vitathibitisha umbo la Dunia ambayo sio tufe.

So nakushauri achananae he add nothing to your head, atleast angekuwa straight na ana-make sense, yeye anarukaruka na kukataa vitu na kukimbia maswali.
Embu wewe tuambie ndugu, tuelezee curvature vizuri, kwanini tukiwa angani hatuoni Dunia ikispin, kwanini pilots wote wanatumia flat earth map na sio globe??. Tuanzie hapa kwanza
 
Embu wewe tuambie ndugu, tuelezee curvature vizuri, kwanini tukiwa angani hatuoni Dunia ikispin, kwanini pilots wote wanatumia flat earth map na sio globe??. Tuanzie hapa kwanza
Kwanini sasa ukielekea west unatokea east,mfano kunandege zinazotoka New York kwenda Australia kupitia Pacific Ocean
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom