Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    572
So., unataka ujue object ambayo mnadai ipo Miles 93 million ina move vipi?

Unazijua 93 Million miles?
Jua lipo miles kibao lakini tunaweza kujua matokeo ya mambo mbali mbali.

Ikiwepo kupatwa kwa mwezi, kupatwa kwa jua hata vipindi vya mwaka.
 
Jua lipo miles kibao lakini tunaweza kujua matokeo ya mambo mbali mbali.

Ikiwepo kupatwa kwa mwezi, kupatwa kwa jua hata vipindi vya mwaka.
Hivi unajua kama mwanzo hao unaowaaamini 100%...walisema Jua lipo "fixed"?

Baadae wakachunguza wakabadilisha wakasema na Jua lina move pia...

Sasa siku usishangae wakibadilka na kusema "Dunia ipo fixed!"

Kwa bahati mbaya huenda theories zikibadilika in the future Mimi na wewe hatutokua hai.
 
Huko mbali sana, hiyo ni elimu ya mbali sana kwenu mtapasuka vichwa..

Tumalize muelewe kwanza hili tutafika huko mbele taratibu.
 
Usingebumba bumba majibu ungekua umeweka hapa muda sana,
Majibu nishaweka mengi humu na mifano halisia kabisa.... tatizo NASA washamiliki kichwa chako hutaki kusikia chochote.
Screenshot_20240229-022022.png
 
Kila siku jua linachomoza mashariki na kuzama Magharibi,

Kwa nadharia yenu hauna jibu ni kwanini mpaka muda huu.

Shtuka Dunia ni tufe.
Jua halizami wala kuchomoza....mpaka Leo hii Karne ya 21 unaamini Jua linazama na kuchomoza?

That's an old narrative bro!
 
Jua halizami wala kuchomoza....mpaka Leo hii Karne ya 21 unaamini Jua linazama na kuchomoza?

That's an old narrative bro!
Mbona unashindwa kuelezea sasa, Jua ipo juu kwa mujibu wenu kadri linavyoenda mbali lingepotea kwa kufifia taratibu...Kivipi lipotee kwa mtindo huo ? Akili yako haisadiki kama Dunia inazunguka bro ?
 
Ila si unajua kama mwanzo walidai Jua lipo fixed?
Ndio maendeleo hayo,

Imekuja kugundulika magimba yote kwenye ulimwengu wetu yanazunguka centre of the galaxy ( black hole )

Huku tuachane napo kwanza hadi uelewe kuhusu Dunia tufe.
 
Mbona unashindwa kuelezea sasa, Jua ipo juu kwa mujibu wenu kadri linavuoenda mbali lingepotea kwa kufifia taratibu...Kivipi lipotee kwa kwa mtindo huo ? Akili yako haisadiki kama Dunia inazunguka bro ?
Kupotea Kwa mtindo huo hakulifanyi Jua lizame wala kuchomoza...na hakuifanyi Dunia iwe Tufe.

Wewe unaona as if Jua linazama/kuchomoza kutokana na effect ya refraction...
 
Ndio maendeleo hayo,

Imekuja kugundulika magimba yote kwenye ulimwengu wetu yanazunguka centre of the galaxy ( black hole )

Huku tuachane napo kwanza hadi uelewe kuhusu Dunia tufe.
Hahh vizuri,....sasa kama mwanzo walikosea kuhusu Jua,..usishangae siku wakibadilisha theories zao na kusema Dunia ipo stationary!

Utaweka wapi sura yako?
 
Hahh vizuri,....sasa kama mwanzo walikosea kuhusu Jua,..usishangae siku wakibadilisha theories zao na kusema Dunia ipo stationary!

Utaweka wapi sura yako?
Sio walikosea,

Teknolojia haikua inaruhusu kubaini yote haya na ndio maana nmesema ni maendeleo hayo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom