anthony_art
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,033
- 369
Elezea hapa mbona sisi hatujakwambia uende ukasome NASA wameelezea umbo la Dunia?1. Publication za Einstein zipo nyingi kasome kuhusu maoni yake.
2. Narudia,...nimejibu swali kulingana na ulivyouliza kama hukutaka nihusishe camera kwenye majibu yangu basi hata wewe hukutakiwa kuhusisha kwenye swali lako,..... Naamini hii ipo clear.
Na hana haki ya kusema ni Jua ama lah!Akisema camera ni Jua basi atuambie tunaishi kwenye Jua, maana observer yupo karibu na camera.
Kwa mantiki hiyo mfano wako ni irrelevant,......Camera ni mfano Dunia ndio maana unatumia camera kama jicho, means wewe ulipo duniani (camera) huwezi kusema camera ni Jua kwahy sisi tupo kwenye jua? Sisi tupo duniani (Camera) tunaona majengo(Jua) yanatoka katika position yaliyokuwapo mpka yanapotea wakat kiuhalisia Dunia (camera) ndio inamove.
Wewe ukishaleta video/hoja yoyote hapa huna mamlaka tena ya kupanga namna watu watakavyoitafsiri hoja/video yako.Na hana haki ya kusema ni Jua ama lah!
Maana hii clip umeileta wewe ili kuwapa wao mifano,
La sivyo yeye atuletee mifano yake kuhusu Jua kuzunguka Dunia ( Najua hili hawezi hataa kwa kujaribu )
Unaelewa maana ya neno mfano ?Wewe ukishaleta video/hoja yoyote hapa huna mamlaka tena ya kupanga namna watu watakavyoitafsiri hoja/video yako.
Ukishaanza kuweka masharti,... inaonyesha wazi kwamba wewe ni muoga wa kuwa challenged.
Sawa?
Nikikuuliza we umeona camera inamove utanipa uthibitisho Gani kutoka kwenye hiyo clip?1. Kwasababu kwenye uhalisia Dunia haionekani Ku move(tayari mpaka hapa huwezi kufananisha na camera ambayo kwenye video yako unasema ina move)....so haiingii akilini kufananisha Dunia iliyo stationary na camera ambayo kwenye video yako unasema ina move! β
Ndio maana nimekuuliza swali kama unasema camera ndio Jua, kwahy sisi tunaishi kwenye Jua Kwa sabab wewe hayo majengo unayaobserve through camera iliyorekodi ambayo wewe unasema ni Jua π, sisi tuna observe Jua tukiwa duniani, embu weka point zako sawa usiforce.2. Jua mfano wake ndiyo unaendana na camera as we observe,.... Jua halipo stationary na pia camera kama ulivyotumia kwenye video yako haipo stationary ina move!
Ndio maana nimekuuliza swali kama unasema camera ndio Jua, kwahy sisi tunaishi kwenye Jua Kwa sabab wewe hayo majengo unayaobserve through camera iliyorekodi ambayo wewe unasema ni Jua, sisi tuna observe Jua tukiwa duniani, embu weka point zako sawa usiforce.
Hiyo bangi unayovuta ni hatari, ko jua kuchomoza na kuzama ndiyo kitu cha kukuonesha kwamba dunia ina move? Ko wewe ukichukua kitabu ukakining'iniza hewani halafu sisimizi ukamuweka juu ya hicho kitabu, baadaye ukaanza kuzunguka hicho kitabu katika nyuzi 360Β°, huyo sisimizi atajitungia kwamba kitabu kina move, sio? ππππSunrise and sunset, Ship visibility
Huo hapo ushahidi na unashuhudia kila siku.
Akili yako itakua ndogo sana ikiwa unadhani najikoroga,...Nlishasema tangu mwanzo kajikoroga,
Acha nione majibu yake, Maana akili yake anaifahamu yeye mwenyewe jinsi ilivyo.
Mfano unapaswa uwe relevant,...na sio kufananisha vitu visivyoendana.Unaelewa maana ya neno mfano ?
Okay tuache hayo, Basi tunaomba utupe mfano wako namna Jua linavyofanya mzunguko wake ( kuizunguka Dunia )
Kwa Mtu yoyote mwenye uoni timamu ataona kwamba object (camera) ambayo imetumika Ku capture majengo ndiyo ina move hapo,....Nikikuuliza we umeona camera inamove utanipa uthibitisho Gani kutoka kwenye hiyo clip?
Tumia akili vizuri.......ipo hivi ππΌNdio maana nimekuuliza swali kama unasema camera ndio Jua, kwahy sisi tunaishi kwenye Jua Kwa sabab wewe hayo majengo unayaobserve through camera iliyorekodi ambayo wewe unasema ni Jua π, sisi tuna observe Jua tukiwa duniani, embu weka point zako sawa usiforce.
Nipe sababu kutoka kwenye hiyo clip inayokufanya useme camera inamoveKwa Mtu yoyote mwenye uoni timamu ataona kwamba object (camera) ambayo imetumika Ku capture majengo ndiyo ina move hapo,....
Na huo ni uthibitisho tosha.
HahahAkili yako itakua ndogo sana ikiwa unadhani najikoroga,...
Ninachoongea nina uhakika nacho....tulia utaelewa.
Okay nmekuelewa, Tupe mfano wako ambao ni relevant kuhusu Jua kuzunguka DuniaMfano unapaswa uwe relevant,...na sio kufananisha vitu visivyoendana.
Kwahiyo ukisema navuta bangi ndio umeniprove wrong kuwa hivyo nlivyovitaja si uthibitisho ?Hiyo bangi unayovuta ni hatari, ko jua kuchomoza na kuzama ndiyo kitu cha kukuonesha kwamba dunia ina move? Ko wewe ukichukua kitabu ukakining'iniza hewani halafu sisimizi ukamuweka juu ya hicho kitabu, baadaye ukaanza kuzunguka hicho kitabu katika nyuzi 360Β°, huyo sisimizi atajitungia kwamba kitabu kina move, sio?
Wewe nadhani huitumii akili yako vzr kufikiria, wewe hiyo video umeiona kupitia nini kama sio camera? Na ndio kama sisi tunaliona Jua tukiwa duniani, yaani observer yupo karibu na camera, tumia akili yakoTHEN,...TUNATIZAMA CAMERA ambayo kimsingi kwenye video hapo ndiyo inafanya movement........
Halafu nimeshakupa task, record video uoneshe Jua linamove. Simple tu kama Jua ni local na lipo km chache kutoka tulipo na ni dogo kulinganisha na Dunia ni rahisi kuona mjongeo wake, so wewe record video uje utuoneshe Jua linamove.Tumia akili vizuri.......ipo hivi ππΌ
Sisi tunaishi kwenye majengo ambayo kimsingi kwenye video yako yapo "Stationary"...... So hapo MAJENGO = DUNIA
THEN,...TUNATIZAMA CAMERA ambayo kimsingi kwenye video hapo ndiyo inafanya movement........
So,... CAMERA = JUA.....as per the video you've shared.
Sasa angalia maelezo yangu yanavyoendana na reality,..kisha Tazama maelezo yako yalivyojaa nadharia,.. unashindwa kueleweka.