Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

Tatizo la Mange ni moja anataka kuburuza watu kila anachosema anataka aonekane yupo sahihi mfano ashawahi kuzungumzia issue ya (Steven's Johnson Syndrome) hii huwapata wale wenye allergic reaction na Sulphur.... ni mbaya sana maana mtu ubabuka ngozi nzima hapo kuna issue ya dehydration lazima mgonjwa apewe aongezewe maji kila mda na afunikwe mwili mzima ila nguo au mashuka yasiguse mwili wake....na inahitaji Dermatologist aliyekubuhu
Ila nilishangaa kujuta anasema kwamba ni hii issue ndogo tu ... nilivyocomment akaniblock
Mbona unaleta ngonjera pasipohusika

Hata wewe ni lofa kumbe unabisha maneno ya mange unakubali ya mwingine sasa kwanini usianzishe yako ukajiamini mwenyewe
 
Ni kweli kabisa huyu da mange binti hide my I'd please. Anachukua credit za Bure tu jamii forums watu walianza kuponda forever living mpaka Leo hii forex na bitcoin... Hakuna mjadala mkali kama ule wa forex...
Ndio tunakumbushana tu wala msijali
 
Nimemuelewa sana aliposema tuwaachie wale wenye elimu ya financial investment. Si kila mtu anaweza trade kwenye financial market na wala elimu ya wiki haiwezi kukufanya uwe bora kwenye hii field.
 
Tatizo la Mange ni moja anataka kuburuza watu kila anachosema anataka aonekane yupo sahihi mfano ashawahi kuzungumzia issue ya (Steven's Johnson Syndrome) hii huwapata wale wenye allergic reaction na Sulphur.... ni mbaya sana maana mtu ubabuka ngozi nzima hapo kuna issue ya dehydration lazima mgonjwa apewe aongezewe maji kila mda na afunikwe mwili mzima ila nguo au mashuka yasiguse mwili wake....na inahitaji Dermatologist aliyekubuhu
Ila nilishangaa kujuta anasema kwamba ni hii issue ndogo tu ... nilivyocomment akaniblock
Sasa na wewe una shida flani.
Mtu anaejitambua anaenda kubishana na Mange mitandaoni?
Lazima awazuie watu wanaomuumbua kwamba yeye sio mjuzi wa yote au mtu mwenye akili nyingi.

Hata mimi ningefanya hivyo hivyo kama ningekuwa natafuta waumini watiifu kama wa baadhi ya wachungaji fulani wa makanisa ya kipentekoste(kilokole).

Lazima uwaaminishe wewe unajua yote. Wakufuate kama kondoo tu.

Lakini kuhusu kamari, networking market na Forex brokers hayupo mbali na ukweli. Mostly (90%) yupo sahihi.
 
Huyu Mange angekuwa mwanasiasa ningeshajiunga na chama chake muda mrefu, namuamini na ameniteka alipo nipo.
 
Back
Top Bottom