Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

Mbona huyu mwenzako anafanya Forever Living na anamiliki hili lindinga teh teh teh
 
forex inahitaji mtu mwenye uwezo mkubwaaa kwene mambo ya financial market wabongo tuliowengi hatuwezi hizi mambo yaani kutafuta education kwetu ni jau. ...sisi zetu tunataka biashara ambazo hatutumii uwezo mkubwaaa wa financial education sisi niwazee wakujumua nguoo kariakoo 1000 tukauze mwenge 2000 haya mambo ya forex sio utapeli ila tiwaachie tu wenye uelewa mpana
 
Binafsi uwa siamini michezo sijui tatu mzuka, biko ambayo mtu unapigiwa simu sijui nini nini, poor fake testimony za watu.
Always napenda gambling in football dakika tisini tu unajua ulishindwa vipi.
MPIRA GOLINI, PESA MFUKONI
 
Who is mange?

Credible Whistle blower, Great Thinker, Think Tank, Fearless and Brave Woman, Number One News Source in the spheres of Intelligence, Government and Social affairs, Entrepreneur, CHADEMA Member, Political Activist and No - Nonsense Woman.

All the best!
 
%70 anavyopost mange ni ukweli mtupu ila kwasababu akili zako kuna mtu kazishikilia hapo ulipo ni kopo tupu.
Mange akikwambiwa firw......utandandiwa....ww ji.nga kabisa.
Nyie ndio wale wa "Da mange leo kuna mtu ananidandia"
akikwambia dandiwa unatendwa ww shwain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…