Siri kubwa CCM!!!


Upo sahihi kabisa neno ni mbu hata jk hotuba zake ni za mbu mbu na mbu huwa hawachoki kunyonya matumbo hupasuka lakini wanaendelea kunyonya wanahofia Dawa ya rungu kutoka chadema usiwapulize.. Mie nadhani yakianza machafuka dunia nzima itakuwasaport watanganyika kwani wanajua kilio chao cha maendeleo na maisha bora... JK.(Juma kilaza) Ondoka fasta tushakuchoka watutishia kutuua raisi gani wewe icc ipo ila sie tutaku saadam hapa hapa wenyewe mbu bado siku chache ili siku tisa ziishe. jiondoe ushauri wangu wa bure mapema
 
Wakuu.
Wewe na mleta mada,hapa mumekusudia kuchekesha watu na kuwaudhi baadhi.
Ukisoma kwa kutulia hiyo sentensi basi ni typo error....mbu...mtu.
Tumecheka kidogo. Wenyewe wataliona kosa na webmaster wao atarekebisha.
Vizuri umewafikishia ujumbe.

Kama ni typing error, kidogo nitapunguza woga dhidi ya CCM.
 

nimesikia wanaplan kuweka kisu na uma
 


HAHAHAHAH..... JAMANI ACHENI UCHOKOZI!
Ila CCM na wengineo wawe na utaratibu wa kupitia maandishi yako kabla ya kuyatoa hewani!
 
Inaonyesha wasivyo makini na hawaisomi,mtu kapewa deal kawalipulia mzigo katambaa na chake...ndio maana hata katiba na mikataba ina mapungufu na wanatetea kwa kuwa hawasomi
 
Kweli sisi ccm ni mbu wabaya kwa watz!...tulaaniwe!
 

Alama zao ni hizi hapa!!


 
yapi hayo mema miamoja??
Hivi serikali yetu inatutendea au ni wajibu wake???
sisi tumewaweka madarakani ili watutumikie na wakishindwa basi waondoke waingie wengine
Asante lakini moyoni kwako hakuna jema, nyie ndo wale hata ukitendewa mema miamoja lakini kwa bahati mbaya ukatendewa baya moja tuu unasahau yooote
 

Duh kumbe unyonyaji ni sehemu ya masharti ya kuwa mwanachama wa CCM?
 
Duh kumbe unyonyaji ni sehemu ya masharti ya kuwa mwanachama wa CCM?

Hiki ndicho kimenifanya niwasamehe rasmi akina Rostam, Lowasa na Kalamaghi, walikuwa hawana jinsi ya kuzikwepa hizi tuhuma.
 
Unarukia mada bila hata kutafakari nini konaweza kukuta kisheria, hivi huoni kwamba mtoa mada amekitukana chama kwa kutoa maneno ya kichochezi? hata chama kikiwa hovyo vipi hakiwezi kikawa na sharti kama hilo.

:rain:HOJALESS:rain:
 

Hizo ni TAMBO mwenye KUSHINDWA na aliyefilisika kisera.
Je kuna asiyejua kuwa kuna kughafirika na kusahau ambazo ni sifa kuu za mwanadamu?

Acha mambo hayo. Msituletee balaa bure. wacheni tutese
 
Hizo ni TAMBO mwenye KUSHINDWA na aliyefilisika kisera.
Je kuna asiyejua kuwa kuna kughafirika na kusahau ambazo ni sifa kuu za mwanadamu?

Acha mambo hayo. Msituletee balaa bure. wacheni tutese

Binadamu siyo maraika, huwa tunaghafirika na kusahau lakini inapotokea chama kinaghafirika na kuhimiza tabia za unyonyaji kwa wanachama wake badala ya maendeleo ya wote ni lazima tushituke
 
CCM ni Nzi wa chooni (wale wa kijani). Wanapenda mabo yalooza sana.
 
...ni kosa la kutype jamani achaeni kukuza mambo, mnaishusha hadhi hii forum, kila mtu aje tu hapa apost kitu na atushughulishe bila mantiki, ndio hatuipendi ccm lakini tuwe makin...ilitakiwa isomeke..MTU na sio MBU....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…