SIRI IMEVUJA: Nunueni hisa Boeing kama kweli mnataka kupata ukweli wa Ndege zilizonunuliwa

HNIC

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
1,898
2,195
Kwa uelewa wangu najua kuwa contract language matters in 2 dimensions:

1. Persuasion. Basically People argue over what’s due to them and gain sympathy being able to point to language of what was actually agreed to

2. Legal recourse. The language ultimately matters most if you sue, but the vast majority of contract disputes don’t wind up in court (or arbitration).

Kinachonishangaza ni kuwa watu wako focused kuuliza few info badala ya ku think outside the box ili watu wapate kitu kizima. Kinachoshangaza zaidi ni kuwa mpaka leo hizi media, members wa JF na asasi za kiraia zilizopo hapa Tanzania zinazojisifu kwa kwenye kudemand state accountability na transparency lakini cha ajabu zimeshindwa kununua hata hisa hata 3 tuu za hili shirika hili ili mpate kujua taarifa zifuatazo zinazohusu mkataba wa hizi terrible teens:

1. Wahusika wakuu toka serikali ya Tanzania ni akina nani
2. Role ya Ubalozi wa Tanzania Washington ni na Balozi Masilingi alisema nini?
3. Technical Information za hiyo ndege (apart from hizi tunazopewa na serikali)
4. Overhauls na hasa kuhusu engines za hiyo ndege
5. Pre purchase report inasemaje na je ya TCAA ilisema Boeing warekebishe nini?
6. Majina ya maofisa wa TCAA waliokwenda kufanya hiyo pre purchase inspection ni akina nani?
7. Je tulikubaliana hiyo ndege iwe equipped nini na nini kwa gharama zipi?
8. Terms za malipo ni zipi na na kiasi gani kimelipwa tayari na nani aliidhinisha hayo malipo?
9. Je ESCROW ipo au hakuna? Terms zake zinasemaje?
10. Terms za hiyo delivery ni zipi?
11. Terms za Warranty zinasemaje?
12. Seller (boeing) Inability to Perform clause terms zinasemaje?
13. Buyer (Government of Tanzania) Inability to Perform clause terms ni zipi?
14. Terms za TAX kwenye huu mkataba zinazemaje? na liability huko USA na Tanzania ni kiasi gani?
15. Governing Laws zipi zimetumika kwenye huu mkataba? (tusisahau Richmond....)
16. Kampuni ipi imetoa insurance huko USA? at what cost?
17. Je serikali itakuwa compensated kiasi gani kwa technical problems (kwa hizi ndege?
18. Kwa nini sirikali haijaweka clause ya Rotable Exchange Program kwenye huu mkataba?
19. Kwa nini Boeing wamekataa extended warranty clause kwenye mkataba vipuri ambavyo sifa yao kubwa kwenye hizie terrible teens ni frequent failure?
20.Kwa kwa nini Boeing wamekataa clause kuhusu specific compensation to be paid to GOT/ATCL for increase in the weight of the aircraft Manufacturers design take-off weight (MTOW)? Tatizo hapa ni kuwa mambo yakiharibika ni kuwa boeing hawatokubali liability yoyote ile ya compensation toka kwa GOT/ATCL...
21. Performance Guarantee clause inasemaje?

Mengine nitarudi naenda dukani mara moja....
 
Kwa uelewa wangu najua kuwa contract language matters in 2 dimensions:

1. Persuasion. Basically People argue over what’s due to them and gain sympathy being able to point to language of what was actually agreed to

2. Legal recourse. The language ultimately matters most if you sue, but the vast majority of contract disputes don’t wind up in court (or arbitration).

Kinachonishangaza ni kuwa watu wako focused kuuliza few info badala ya ku think outside the box ili watu wapate kitu kizima. Kinachoshangaza zaidi ni kuwa mpaka leo hizi media, members wa JF na asasi za kiraia zilizopo hapa Tanzania zinazojisifu kwa kwenye kudemand state accountability na transparency lakini cha ajabu zimeshindwa kununua hata hisa hata 3 tuu za hili shirika hili ili mpate kujua taarifa zifuatazo zinazohusu mkataba wa hizi terrible teens:

1. Wahusika wakuu toka serikali ya Tanzania ni akina nani
2. Role ya Ubalozi wa Tanzania Washington ni na Balozi Masilingi alisema nini?
3. Technical Information za hiyo ndege (apart from hizi tunazopewa na serikali)
4. Overhauls na hasa kuhusu engines za hiyo ndege
5. Pre purchase report inasemaje na je ya TCAA ilisema Boeing warekebishe nini?
6. Majina ya maofisa wa TCAA waliokwenda kufanya hiyo pre purchase inspection ni akina nani?
7. Je tulikubaliana hiyo ndege iwe equipped nini na nini kwa gharama zipi?
8. Terms za malipo ni zipi na na kiasi gani kimelipwa tayari na nani aliidhinisha hayo malipo?
9. Je ESCROW ipo au hakuna? Terms zake zinasemaje?
10. Terms za hiyo delivery ni zipi?
11. Terms za Warranty zinasemaje?
12. Seller (being) Inability to Perform terms zinasemaje?
13. Buyer (Government of Tanzania) Inability to Perform terms ni zipi?
14. Terms za TAX zinazemaje? na liability huko USA na Tanzania ni kiasi gani?
15. Governing Laws zipi zimetumika kwenye huu mkataba? (tusisahau Richmond....)
16. Kampuni ipi imetoa insurance huko USA? at what cost?
17. Je serikali itakuwa compensated kiasi gani kwa technical problems za hizi ndege?
18. Kwa nini sirikali haijaweka clause ya Rotable Exchange Program kwenye huu mkataba?
19. Kwa nini Boeing wamekataa extended warranty kwenye vipuri ambavyo sofa yao kubwa ni frequent failure?
20.Kuna kwa nini Boeing wamekataa clause kuhusu specific compensation to be paid to GOT/ATCL for increase in the weight of the aircraft Manufacturers design take-off weight (MTOW)? Tatizo hapa ni kuwa mambo yakiharibika ni kuwa boeing hawatokubali liability yoyote ile ya compensation toka kwa GOT/ATCL...
21. Performance Guarantee inasemaje?
haya mambo ya kitaalamu sana, ngoja Barafu atoke kwenye karakana ya Boeing.

Mkuu siwez kukupa like zaidi ya moja,but ningeweza ningekupa like zaidi ya trilion mia tisa,upo vizuri mkuu na una facts.
 
Masuala mengine yanahitaji moyo,maswali kama haya hakika majibu yake yatabaki kuwa siri kali only the few chosen one will be able to be hinted with little knowledge to understand this.....
Ni Nafurahi kuona mwenzetu anafikiria kwa maswali ambayo watanzania hatujayazoea,
 
Acha kutuongezea machungu mkuu.
Unajua watu wanadhani kuwa wanaolishikia bango hili swala wanasema ni 'ndege mbovu', kuweka sawa sio ndege mbovu bali mfano wake ni sawa na mtu anayeishi Magomeni au Mikocheni na anataka kununua gari la kumfikisha kazini kila siku katikati ya mji. Sasa kuna option ya Kununua Rav 4 ambayo capacity ya engine ni 1800cc lakini yeye 'anaingizwa mkenge' na kununua Rav 4 hiyo hiyo yenye 3000cc. Sasa wanaosema kuwa hii itakufilisi kwenye mafuta wewe unasema 'wanakuonea kijicho'.
Huu mfano umekaa kienyeji zaidi kuewaeleza wasiolewa 'terrible teen' ni mnyama gani!
 
Mtu anayetumia common sense atafahamu hizi ni kelele za Airbus.

Jiulize, Tanzania imenunua ndege sita lakini inayohojiwa ni hii Boeing kutokana na ushindani wake na Airbus.

Hatusikii Bombardier zikihojiwa kwa sababu hakuna mshindani kibiashara.

Maelezo ya Katibu Mkuu wa Wizara anatoa picha ya kinachoendelea kati ya Airbus na Boeing.

LINK>>Neither Boeing nor Airbus can win tit for tat war
 
Mtu anayetumia common sense atafahamu hizi ni kelele za Airbus.

Jiulize, Tanzania imenunua ndege sita lakini inayohojiwa ni hii Boeing kutokana na ushindani wake na Airbus.

Hatusikii Bombardier zikihojiwa kwa sababu hakuna mshindani kibiashara.
Aaaah watanzania kwa kuhoji wapo mbele mbona walihoji hata bombardier na kudai ni used sijui iliishia wapi vile ?
 
Kwa uelewa wangu najua kuwa contract language matters in 2 dimensions:

1. Persuasion. Basically People argue over what’s due to them and gain sympathy being able to point to language of what was actually agreed to

2. Legal recourse. The language ultimately matters most if you sue, but the vast majority of contract disputes don’t wind up in court (or arbitration).

Kinachonishangaza ni kuwa watu wako focused kuuliza few info badala ya ku think outside the box ili watu wapate kitu kizima. Kinachoshangaza zaidi ni kuwa mpaka leo hizi media, members wa JF na asasi za kiraia zilizopo hapa Tanzania zinazojisifu kwa kwenye kudemand state accountability na transparency lakini cha ajabu zimeshindwa kununua hata hisa hata 3 tuu za hili shirika hili ili mpate kujua taarifa zifuatazo zinazohusu mkataba wa hizi terrible teens:

1. Wahusika wakuu toka serikali ya Tanzania ni akina nani
2. Role ya Ubalozi wa Tanzania Washington ni na Balozi Masilingi alisema nini?
3. Technical Information za hiyo ndege (apart from hizi tunazopewa na serikali)
4. Overhauls na hasa kuhusu engines za hiyo ndege
5. Pre purchase report inasemaje na je ya TCAA ilisema Boeing warekebishe nini?
6. Majina ya maofisa wa TCAA waliokwenda kufanya hiyo pre purchase inspection ni akina nani?
7. Je tulikubaliana hiyo ndege iwe equipped nini na nini kwa gharama zipi?
8. Terms za malipo ni zipi na na kiasi gani kimelipwa tayari na nani aliidhinisha hayo malipo?
9. Je ESCROW ipo au hakuna? Terms zake zinasemaje?
10. Terms za hiyo delivery ni zipi?
11. Terms za Warranty zinasemaje?
12. Seller (being) Inability to Perform terms zinasemaje?
13. Buyer (Government of Tanzania) Inability to Perform terms ni zipi?
14. Terms za TAX zinazemaje? na liability huko USA na Tanzania ni kiasi gani?
15. Governing Laws zipi zimetumika kwenye huu mkataba? (tusisahau Richmond....)
16. Kampuni ipi imetoa insurance huko USA? at what cost?
17. Je serikali itakuwa compensated kiasi gani kwa technical problems za hizi ndege?
18. Kwa nini sirikali haijaweka clause ya Rotable Exchange Program kwenye huu mkataba?
19. Kwa nini Boeing wamekataa extended warranty kwenye vipuri ambavyo sofa yao kubwa ni frequent failure?
20.Kuna kwa nini Boeing wamekataa clause kuhusu specific compensation to be paid to GOT/ATCL for increase in the weight of the aircraft Manufacturers design take-off weight (MTOW)? Tatizo hapa ni kuwa mambo yakiharibika ni kuwa boeing hawatokubali liability yoyote ile ya compensation toka kwa GOT/ATCL...
21. Performance Guarantee inasemaje?

Mengine nitarudi naenda dukani mara moja....

Itabadilishwa matumizi na kuwa ndege ya Jeshi

Huyu mtu ni Fisadi kuliko mafisadi wote waliowahi kutokea Tanzania
 
Mkuu siwez kukupa like zaidi ya moja,but ningeweza ningekupa like zaidi ya trilion mia tisa,upo vizuri mkuu na una facts.
Maswali kama haya wangeuliza gazeti la Jamhuri, badala ya kutuletea stori uchwara ya kujaribu kuonyesha kuna vita baina ya serikali na Zitto na sasa Zitto eti kashindwa!
 
Mtu anayetumia common sense atafahamu hizi ni kelele za Airbus.

Jiulize, Tanzania imenunua ndege sita lakini inayohojiwa ni hii Boeing kutokana na ushindani wake na Airbus.

Hatusikii Bombardier zikihojiwa kwa sababu hakuna mshindani kibiashara.
Mkuu MsemajiUkweli, kwanini hutaki ukweli katika jambo hili? Ni nani atumie "common sense"? Wale wanaohoji maswali kama alivyofanya mleta thread au wale wanapoona maswali kama hayo wanakimbilia kujaribu kuwahusisha na Airbus wale wanaohoji? Wengine tunafikiri kwamba ni kuukimbia ukweli pale mnapoanza kuibuka na hoja za ni kwanini hamsikii Bombadier zikihojiwa badala ya kujibu hoja zinaelekezwa kwenye Boeing. Na ni muhimu kufahamu kwamba kutosikia Bombadier zikihojiwa haimaanishi kuwa huko kuko safi!
 
Mtu anayetumia common sense atafahamu hizi ni kelele za Airbus.

Jiulize, Tanzania imenunua ndege sita lakini inayohojiwa ni hii Boeing kutokana na ushindani wake na Airbus.

Hatusikii Bombardier zikihojiwa kwa sababu hakuna mshindani kibiashara.

Maelezo ya Katibu Mkuu wa Wizara anatoa picha ya kinachoendelea kati ya Airbus na Boeing.

Mkuu
Kuna haja gani ya kuwaona wenzio kuwa wachangia bila kutumia 'common sense'? Kisa mnatofaitiana kimawazo. This world could be hell and a stupid place to live in, kama watu wote tungekuwa na mawazo sawa.

Pamoja na hayo, kwanini Airbus wafanye hicho unachokiwaza wewe kwa kidege kimoja tu cha bongoland? Tumia common sense yako.

Kwanini hilo kampuni la ndege lisijitokeze kujibu hizo tuhuma incase, ili kusababisha waaminiwe na Wateja wao? (Biashara yao inachafuliwa halafu wao wakae kimya? Marketing ethics za wapi ushaziona ziko shallow hivo? ..... Eti bongoland tunajibu na hadi leo ksmpuni inayoharibiwa business yake wako iko kimya..,hahahaha

Tunavohtaji majibu lazima yatolewe mapema na yawe bold and sincere issues zinapo backfire ili kutengeneza public trusts,,,, mstokeo yake,hata bei hsijawa disclosed kwenye hayo majibu ya wizara. Why?

Mwisho, viongozi wetu wsnajua kutuchezea akili, hili nalo litapita kama ilivyopita issue ya sembe.

Am out
 
Acheni kuwalaumu Airbus. Wanachofanya ni kitu cha kawaida kabisa. Hamkumbuki kwenye ununuzi wa hotel ya Kilimanjaro Mengi alilalamika kuhusu unfair business practices wakati wa mchakato??? Haya mashirika ni makubwa, na yanauza ndege kwa nchi na mshirika mbalimbali duniani. You can google and see how many each has sold recently. Kwa akili zenu mnafikiri na kwingine wanakouza wanalalamikiana hivi hivi kila siku???? kwa nini walalamikie uuzaji wa ndege moja au mbili kwa nchi kama Tanzania ambayo hata si mnunuzi wao mkubwa???. Let's face it, kama wanalalamika kuna jambo wameliona ambalo kwao ni unfair business practice. Tunaweza kuwa hatuoni kwa sababu tumezoea mambo ya ovyoovyo, lakini kwao ni kitu kikubwa ambacho hawawezi kukaa kimya.
 
Back
Top Bottom