GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,661
- 128,084
Ikiwa kweli ntakupa milioni kumi ila note kutoka kwangu hizi ni tarifa za uongo kabisa ambazo hazina kichwa wala miguu.Aisee basi tena LOWASSA kaishakua rais manake atapata promo ya kufa mtu ha ha hanha
Hapo kama namuona papaa Ephraim kibonde akikalia kiti cha ukurugenzi wa clouds media,---Kama taarifa hii ni ya kweli.
Mbona hilo ni jambo la kawaida mno, labda unifafanulie manunuzi hayo yatakuwa na madhara gani kwa taifa !! Angekuwa amenunua TBc kwa bei ya kutupwa ningekuelewa maana inaendelezwa kwa kodi za wananchi.
Haujamuelewa! Clouds ni tbccm3!
Napenda confidence zako,hii inaonyesha umefanya utafiti kwanza, ndio ukatupatia taarifa:thumbup:
Ndio maana wale watangazaji wa kile kipindi cha asubuhi wanasoma magazeti na kuongeza ama kuyaponda. Niwajuavyo wapiga kura wa tanzania hawaongozwi na tv hata kama watatishwaje. Isitoshe ni wangapi wanamiliki au kuwa na muda wa kuangalia tv? Akainunue na itv kwani startv ni mali ya ccm
Na kweli sijamwelewa kuna madhara gani kwa taifa kama Rostam atanunua Cloud media, Sahara media, Tumaini Media, Radio Imaaan, Radio Kwizela, Upendo FM na vituo vingine vyote !! Tatizo liko wapi, kama Clouds ni tbcc3 kama ulivyosema kuna shida gani hata ikiwa tbccm1000 ?