hilo ziwa tanganyika ndio baba lao... wanaokufa huko huwa hawatajwi!Tanzania tuna maziwa mengi ikiwemo Tanganyika na Nyasa.Mwaka 1996 ilitokea ajali ya meli damu ikamwagika.Miaka 2 iliyopita kivuko kiliua huko Busya sikumbuki jina kamili.Juzi Ndege imeua.Hili ziwa ni kwanini lina kiu ya damu namna hiyo.Huenda hili ziwa linafanyiwa matambiko makali sana.Ajali ni popote ila mbona maziwa kama Tanganyika huko hayanywi damu sana?wataalamu wa Imani na Washirikina mnalisemeaje hili?
Ni sawa kabisa,ila kwa hiyo ndege haikuzidi mizigo,wanadai hali ya hewa ilikua mbaya sana.Wakarudi kuelekea mwanza na ghafla wakajikuta majiniIlikuwa Inaitwa Mv Nyerere. Ajali ilitokea huko Ukara Ukelewe.
Hizi ajali zimeambatana na Uzembe mkubwa sana wa Mamlaka ndani yake.
Ajali huko Nyasa ndio balala, Tanganyika ndio hatusemi kabisa nk
Lakini pia Kuna nadharia nyingi sana za kusadikika nyuma yake.
1.Kafara ya WAKUBWA.
2.Sababu za kibiashara.
3. Uzembe wa Mamlaka
Ukaguzi wa vyombo, idadi ya watu, uzito wa mzigo nk.
Mkuu hizi ndege za kisasa hali ya hewa, ndege nyingi zina uwezo wa kukwepa kutokana na systems zake,pilots wana uwezo wa kujua weather ipoje na mabadiliko yake,air controllers pia always wanawasiliana na pilots kuhusiana na weather, na PIA tusubiri uchunguzi rasmi, unaongea kuhusu weather wakati huna weather report ya siku ile na wakati ule, massacre hii ina stop kwenye serikali ya ccmNi sawa kabisa,ila kwa hiyo ndege haikuzidi mizigo,wanadai hali ya hewa ilikua mbaya sana.Wakarudi kuelekea mwanza na ghafla wakajikuta majini
Pamoja na hayo hilo ziwa haipiti miaka 10,halafu hata hio MV bukoba haikuzama mbaliAkili za kitanzania hizi! Zina ujinga mwingi
Nyenzo za uhokozi hakuna watu wakufa kwa umbali wa 100meter hakuna msaada wowote kwa wakati halafu baba anawaambia wake ile ilikuwa kafara..
Sometimes unambiwa mgeni ukienda kuoga tyu pembezoni mwa maji unazam.... wavuvi wanakufa na mitumbwi ni wengi, hivyo wengu hutumia hirizi huko!Kwa hiyo ni asili au kuna kafara Fulani?
Watu wanakata viungo vya albino Kila siku unategemea Nini? Majuzi tuu hapo wamekata mkono wa albino.Tanzania tuna maziwa mengi ikiwemo Tanganyika na Nyasa.Mwaka 1996 ilitokea ajali ya meli damu ikamwagika.Miaka 2 iliyopita kivuko kiliua huko Busya sikumbuki jina kamili.Juzi Ndege imeua.Hili ziwa ni kwanini lina kiu ya damu namna hiyo.Huenda hili ziwa linafanyiwa matambiko makali sana.Ajali ni popote ila mbona maziwa kama Tanganyika huko hayanywi damu sana?wataalamu wa Imani na Washirikina mnalisemeaje hili?
Sa100 kaenda kanda ya ziwa mara ngapi?Tanzania tuna maziwa mengi ikiwemo Tanganyika na Nyasa.Mwaka 1996 ilitokea ajali ya meli damu ikamwagika.Miaka 2 iliyopita kivuko kiliua huko Busya sikumbuki jina kamili.Juzi Ndege imeua.Hili ziwa ni kwanini lina kiu ya damu namna hiyo.Huenda hili ziwa linafanyiwa matambiko makali sana.Ajali ni popote ila mbona maziwa kama Tanganyika huko hayanywi damu sana?wataalamu wa Imani na Washirikina mnalisemeaje hili?
Mawazo mengine ya hovyo, usimamizi ni mbovu meli zinazidisha kiwango cha ubebaji abiria na mizigo halafu usingizie ni ushirikinaTanzania tuna maziwa mengi ikiwemo Tanganyika na Nyasa.Mwaka 1996 ilitokea ajali ya meli damu ikamwagika.Miaka 2 iliyopita kivuko kiliua huko Busya sikumbuki jina kamili.Juzi Ndege imeua.Hili ziwa ni kwanini lina kiu ya damu namna hiyo.Huenda hili ziwa linafanyiwa matambiko makali sana.Ajali ni popote ila mbona maziwa kama Tanganyika huko hayanywi damu sana?wataalamu wa Imani na Washirikina mnalisemeaje hili?
🤔🤔🤔🤔 kuna kitu naanza kupata picha sasa baada ya kuunganisha dotshilo ziwa tanganyika ndio baba lao... wanaokufa huko huwa hawatajwi!
Kuna shughuli nyingi za kiuchumi na hivyo uwingi wa vyombo na safari. Kiprobability hiyo tu inaifanya iwe juu pia kwa matukio. Ni sawa na dsm ilivyo na shughuli nyingi za kiuchumi na uwingi wa vyombo vya barabarani na safari hivyo kuwa juu pia kwa ajali za barabaraniTanzania tuna maziwa mengi ikiwemo Tanganyika na Nyasa.Mwaka 1996 ilitokea ajali ya meli damu ikamwagika.Miaka 2 iliyopita kivuko kiliua huko Busya sikumbuki jina kamili.Juzi Ndege imeua.Hili ziwa ni kwanini lina kiu ya damu namna hiyo.Huenda hili ziwa linafanyiwa matambiko makali sana.Ajali ni popote ila mbona maziwa kama Tanganyika huko hayanywi damu sana?wataalamu wa Imani na Washirikina mnalisemeaje hili?