Siri iliyopo Ziwa Victoria

Siri iliyopo Ziwa Victoria

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,182
Reaction score
11,782
Tanzania tuna maziwa mengi ikiwemo Tanganyika na Nyasa.Mwaka 1996 ilitokea ajali ya meli damu ikamwagika.Miaka 2 iliyopita kivuko kiliua huko Busya sikumbuki jina kamili.Juzi Ndege imeua.Hili ziwa ni kwanini lina kiu ya damu namna hiyo.Huenda hili ziwa linafanyiwa matambiko makali sana.Ajali ni popote ila mbona maziwa kama Tanganyika huko hayanywi damu sana?wataalamu wa Imani na Washirikina mnalisemeaje hili?
 
hilo ziwa tanganyika ndio baba lao... wanaokufa huko huwa hawatajwi!
 
Ilikuwa Inaitwa Mv Nyerere. Ajali ilitokea huko Ukara Ukelewe.

Hizi ajali zimeambatana na Uzembe mkubwa sana wa Mamlaka ndani yake.

Ajali huko Nyasa ndio balala, Tanganyika ndio hatusemi kabisa nk

Lakini pia Kuna nadharia nyingi sana za kusadikika nyuma yake.

1.Kafara ya WAKUBWA.
2.Sababu za kibiashara.
3. Uzembe wa Mamlaka
Ukaguzi wa vyombo, idadi ya watu, uzito wa mzigo nk.
 
Ni sawa kabisa,ila kwa hiyo ndege haikuzidi mizigo,wanadai hali ya hewa ilikua mbaya sana.Wakarudi kuelekea mwanza na ghafla wakajikuta majini
 
Tanzania tunaendesha nchi kama idara ya zimamoto, moto ukizimwa na nchi inazimika,ajali it's someone fault na hatutaki kujifunza ili zikitokea tena tuweze kukabiliana nazo vema, Mv Bukoba ilitakiwa tujifunze including kuwa na kikosi maji cha uokozi lakini mazuzu hayakujifunza chochote, hizi idara za zimamoto zitolewe kule jeshini zirudishwe kwenye metros na municipalities kama zilivyokua mwanzo, hii itasaidia kuboresha idara hizi kitaalamu na technology, uzembe umesababisha wale wenzetu kufa maji pale ziwani, na serikali ya CCM imesha u hijack msiba huu na kuufanyia kampeni wakati this bucket stop with them, mazuzu yatasahau soon na maisha yataendelea bila hata mtu mmoja kuwajibika kwa maafa haya, hii ni massacre sio ajali
 
Ni sawa kabisa,ila kwa hiyo ndege haikuzidi mizigo,wanadai hali ya hewa ilikua mbaya sana.Wakarudi kuelekea mwanza na ghafla wakajikuta majini
Mkuu hizi ndege za kisasa hali ya hewa, ndege nyingi zina uwezo wa kukwepa kutokana na systems zake,pilots wana uwezo wa kujua weather ipoje na mabadiliko yake,air controllers pia always wanawasiliana na pilots kuhusiana na weather, na PIA tusubiri uchunguzi rasmi, unaongea kuhusu weather wakati huna weather report ya siku ile na wakati ule, massacre hii ina stop kwenye serikali ya ccm
 
Akili za kitanzania hizi! Zina ujinga mwingi
Nyenzo za uhokozi hakuna watu wakufa kwa umbali wa 100meter hakuna msaada wowote kwa wakati halafu baba anawaambia wake ile ilikuwa kafara..
 
Damu inahitajika misri huko. Ramli langu linaonyesha baada ya miaka 3 farao wa mwisho tutankamen anahitaj kujiapdeti huko alipo Kwa kufanya karamu nzito. Ziwa Victoria litenganishwe na mnyororo wa Nile ili mambo yaishie. Tutafanya kafara la wiki 7 na kufungua siku 3 wtanzania wote
 
Akili za kitanzania hizi! Zina ujinga mwingi
Nyenzo za uhokozi hakuna watu wakufa kwa umbali wa 100meter hakuna msaada wowote kwa wakati halafu baba anawaambia wake ile ilikuwa kafara..
Pamoja na hayo hilo ziwa haipiti miaka 10,halafu hata hio MV bukoba haikuzama mbali
 
Sehemu za hivyo huwa mambo ya ajabu ajabu hayakosekani.

Nilimuona mhubiri mmoja kanda ya ziwa ,
 
Tanzania tuna maziwa mengi ikiwemo Tanganyika na Nyasa.Mwaka 1996 ilitokea ajali ya meli damu ikamwagika.Miaka 2 iliyopita kivuko kiliua huko Busya sikumbuki jina kamili.Juzi Ndege imeua.Hili ziwa ni kwanini lina kiu ya damu namna hiyo.Huenda hili ziwa linafanyiwa matambiko makali sana.Ajali ni popote ila mbona maziwa kama Tanganyika huko hayanywi damu sana?wataalamu wa Imani na Washirikina mnalisemeaje hili?
Watu wanakata viungo vya albino Kila siku unategemea Nini? Majuzi tuu hapo wamekata mkono wa albino.
 
Tanzania tuna maziwa mengi ikiwemo Tanganyika na Nyasa.Mwaka 1996 ilitokea ajali ya meli damu ikamwagika.Miaka 2 iliyopita kivuko kiliua huko Busya sikumbuki jina kamili.Juzi Ndege imeua.Hili ziwa ni kwanini lina kiu ya damu namna hiyo.Huenda hili ziwa linafanyiwa matambiko makali sana.Ajali ni popote ila mbona maziwa kama Tanganyika huko hayanywi damu sana?wataalamu wa Imani na Washirikina mnalisemeaje hili?
Sa100 kaenda kanda ya ziwa mara ngapi?
 
Mawazo mengine ya hovyo, usimamizi ni mbovu meli zinazidisha kiwango cha ubebaji abiria na mizigo halafu usingizie ni ushirikina
 
Tanzania tuna maziwa mengi ikiwemo Tanganyika na Nyasa.Mwaka 1996 ilitokea ajali ya meli damu ikamwagika.Miaka 2 iliyopita kivuko kiliua huko Busya sikumbuki jina kamili.Juzi Ndege imeua.Hili ziwa ni kwanini lina kiu ya damu namna hiyo.Huenda hili ziwa linafanyiwa matambiko makali sana.Ajali ni popote ila mbona maziwa kama Tanganyika huko hayanywi damu sana?wataalamu wa Imani na Washirikina mnalisemeaje hili?
Kuna shughuli nyingi za kiuchumi na hivyo uwingi wa vyombo na safari. Kiprobability hiyo tu inaifanya iwe juu pia kwa matukio. Ni sawa na dsm ilivyo na shughuli nyingi za kiuchumi na uwingi wa vyombo vya barabarani na safari hivyo kuwa juu pia kwa ajali za barabarani
 
Back
Top Bottom