Siri iliyojificha kwenye nazi, muhogo na karanga mbichi

Joto hupunguza nguvu za kiume, angalia tatizo hili lipo sana ktk nchi za sahara na zenye joto kali mfano dubai na Oman hasa Oman naweza sema robo wanatatizo hili akili yangu inanituma hivyo, pia kwa wanaume wa Dar sijui wana shida gani, dar lazma guvu ztapungua tuu KWANZA KUKAA MUDA MREFU KTK FOLENI HUKU UKIWA UMESIMAMA IWE MWENDO KASI AU DALADALA HUKU DUME LENZAKO LIMEKUSIMAMIA KWA NYUMA LINAKUPUMULIA KISOGONI,tabia hii ikiendelea kila siku unajikuta unazoea kupanda mwendo kasi ili uguswe na zipu za wenzio, Urijali hauji kwa kutafuna mihogo njiani huku ukifika kwako unaenda kula chips yai na pepsi ya baridi ama unanudi nyumbani umebeba ki broiler chako unapelekea familia,

Kuleni mbegu za maboga, kuleni maboga, tafuneni vitungunguu maji, tumieni matikiti, kunyweni juice za ndizi na maziwa, mihogo ya kuchemsha asali, chocolate kabla ya, kahawa ya buni, mamung'unya, magimbi viazi vitamu, lakini ninyi wazee wa wali na mchuzi wa mafuta, angalieni ndugu zetu wapemba mchuzi maji na samaki na nyanya mbili kamaliza, akipigilia na urojo wake hapo, sasa mwauzarau urojo bila kujua mla ulojo na mla broiler wako tofauti sana

Endeleeni kutupa promotion wa mikoani maana ukiona mkeo safari za mikoani haziishi na akirudi atabasamu tuu ujue huko aendako anakutana na wanaume...shenz kbsa.....unakula nazi, karanga za mia mbili, njiani wakati vitu hizi watakiwa ule nyumbani inatakiwa ukimwaga mzigo ujaze kikombe cha kahawa na muda wowote uwe tayari kwa game.......Wavulana wa Dar.....unaingia na manzi alafu wewe ndio unaskika unagumia huku nje badala ya manzi wewe ndio unaonekana kama unabanduliwa huko ndani.......mnapotea kwa kukosa maarifa
Upo sahihi 100% mkuu maana kuna manzi za dar kwa sasa zimefika 3 ya kwanza ilipokuja tukacheza show mbili ikaachana na mchizi wake wa dar ila kwa sababu ambazo sikuzifaham na ya pili tukacheza show moja ilikuwa kwenye mausiano na msela ikamvua na ya tatu ina mwezi yangu imefika nimecheza show 2 imeachana na mwana, Sasa nimeanza kuupata ukweli mkuu mwanzoni nliisi washkaji ndo wanazingua kumbe labda ni low game quality.
 
Concentration ya zinc katika mwili ikipungua ndiyo hasa sababu ya kupungua nguvu za kiume , zinc inapatikana katika vitu kama mihogo, karanga,Nazi . kwa asilimia ndogo ila asilimia kubwa ni samaki hasa aina ya pweza , ana asilimia kubwa sana . kingine ni ulaji wa buluga na ule ugali wa kinigeria selimona
 
Joto hupunguza nguvu za kiume, angalia tatizo hili lipo sana ktk nchi za sahara na zenye joto kali mfano dubai na Oman hasa Oman naweza sema robo wanatatizo hili akili yangu inanituma hivyo, pia kwa wanaume wa Dar sijui wana shida gani, dar lazma guvu ztapungua tuu KWANZA KUKAA MUDA MREFU KTK FOLENI HUKU UKIWA UMESIMAMA IWE MWENDO KASI AU DALADALA HUKU DUME LENZAKO LIMEKUSIMAMIA KWA NYUMA LINAKUPUMULIA KISOGONI,tabia hii ikiendelea kila siku unajikuta unazoea kupanda mwendo kasi ili uguswe na zipu za wenzio, Urijali hauji kwa kutafuna mihogo njiani huku ukifika kwako unaenda kula chips yai na pepsi ya baridi ama unanudi nyumbani umebeba ki broiler chako unapelekea familia,

Kuleni mbegu za maboga, kuleni maboga, tafuneni vitungunguu maji, tumieni matikiti, kunyweni juice za ndizi na maziwa, mihogo ya kuchemsha asali, chocolate kabla ya, kahawa ya buni, mamung'unya, magimbi viazi vitamu, lakini ninyi wazee wa wali na mchuzi wa mafuta, angalieni ndugu zetu wapemba mchuzi maji na samaki na nyanya mbili kamaliza, akipigilia na urojo wake hapo, sasa mwauzarau urojo bila kujua mla ulojo na mla broiler wako tofauti sana

Endeleeni kutupa promotion wa mikoani maana ukiona mkeo safari za mikoani haziishi na akirudi atabasamu tuu ujue huko aendako anakutana na wanaume...shenz kbsa.....unakula nazi, karanga za mia mbili, njiani wakati vitu hizi watakiwa ule nyumbani inatakiwa ukimwaga mzigo ujaze kikombe cha kahawa na muda wowote uwe tayari kwa game.......Wavulana wa Dar.....unaingia na manzi alafu wewe ndio unaskika unagumia huku nje badala ya manzi wewe ndio unaonekana kama unabanduliwa huko ndani.......mnapotea kwa kukosa maarifa
Ha ha ha bro umetulazia mpaka natamani ata niihame dar yenyewe mana daaaa
 
Nmeishiwa bando hata huninunulii
Mama yoyo unanitia aibu.
Bando la nn wakati nimelipia wifi na kuna router ndani hapo.
Washa wifi kwenye simu yako upate internet.

Ila nilikukataza kumfualitia yule mpare mchawi mshana
 
Mama yoyo unanitia aibu.
Bando la nn wakati nimelipia wifi na kuna router ndani hapo.
Washa wifi kwenye simu yako upate internet.

Ila nilikukataza kumfualitia yule mpare mchawi mshana
Hahaha kwa haya maneno naona ameshakologaa
 
Nna mazoezi maalumu ya miezi 3 ila kwa wiki unafanya siku 5....kwa dakika 20-30....n pm au 0768798281
 
Kwanza mihogo ya dar sijui inaota chini ya bahari, maana mibayaaa tofauti na kwetu Mbeya, iringa, hata kule kukaja Kwa Mwakaleli
 
Nasikia mihogo ina sumu kali ya xiyanide ambayo husababisha ugonjwa wa kupooza, hivyo inafaa ilowekwe kwanza kabla ya kuliwa.
 
Mimi huwa nakunywa SOYA iliyochanganywa na IRIKI, MDALASIN na TANGAWIZI. Huu mchanganyiko ni balaa. Inarekebisha sana mzunguko wa damu na kuimarisha misuli ya dushe. Hi kitu imenifanya dushe liwe linasimaa na kuwa kama chuma vile, si mchezo
 
Shida ya daa... Nguvu za kiume lazma zipungue dushe husimama Mara nyingi zaidi kwa Siku..suruali..znatuna kisa vitopu na nusu uchi...asee ngoja nirudi kwetu...Hamna kutamanishana jijini ni shida

Nilikua sitaki ku reply kwenye huu uzi ila comment yako mmkuu daah! Huu ndio ukweli na siku hizi dar kusimamisha ishakua kitu cha kawaida kabisa wala mtu hashtuki, inagine kila dakika ukiinua macho unaona swhemu za ke zilizonona unategemea dushe lifanyeje sasa, Lord have mercy kwa kweli!
 
Huu uzi nahisi kama Niko kwenye ze comedy show.

Maana, siyo kwa hizi povu na ngumi za uso Ila Kwa style ya kuchekesha.
 
Wazee wa ugoro, na matapu tapu watajazana sana kwenye huu uzi, waMKOA bhana.
 
wanaume fanyisheni tupu zenu mazoezi,i mean gym ya uume,ubebeshe uume wake kitu kizito ukiinue ups and downs daily,unakua unaongeza uzito kila wiki,ukiinua nusu kilo wiki hii,wiki ijayo una upgrade to one kilo....uume utakua mpana na imara kiasi unaweza kuinua hata nazi mbili zilizofungwa kwenye kamba huku na huku na kuning'inia kwenye uume bila shida,ukifikia kiwango hicho umetisha,hata ukigusana na mwanamke kwenye daladala bahati mbaya sehemu za uume na makalio yake au mkono wake lazima ashuke kituo utakachoshukia kukufuata
 
Back
Top Bottom